yutong
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 1,601
- 338
Mapenzi ya dhati hawana.
Wewe funga tu macho ingia kwenye ndoa
utakalolikuta mshukuru mola na uvumilie
loh
sikutegemea kama yangekuwa haya? Mtu kaolewa kumbe mwanaume ana watoto 9 wa nje?
Sio kwamba naponda mtu kuoa akiwa na watoto wa nje ila 9 tena mama tofauti?
Bado mke yupo leba kujifungua kaleta mwanamke mwingine ndani?
Sasa hapo daaaah si heri uishi peke yako jamani?
Hapo ni msaada au ni mzigo wa maisha?
Ee mungu ninusuru maana wa kwangu kaniambia ana binti mmoja isiwe ni kipa tu huyo wachezaji wapo uwanjani.
Shida iko wapi hao watoto au? tatizo la wanawake wengi hawawapendi watoto wa wanawake wengine. Nendeni mkazaane mkaijaze dunia. Sasa je ungesikia mume wako wanamkameruni ingekuwaje? si bora hawa watoto tena unatakiwa ufurahi, acheni kuwa na roho mbaya nyinyi akina dada huo ni ubinafsi.
Man at work