Ila wanaume ki ukweli wengi sio.( kwa wanawake tu)

Mapenzi ya dhati hawana.
Wewe funga tu macho ingia kwenye ndoa
utakalolikuta mshukuru mola na uvumilie
loh
sikutegemea kama yangekuwa haya? Mtu kaolewa kumbe mwanaume ana watoto 9 wa nje?
Sio kwamba naponda mtu kuoa akiwa na watoto wa nje ila 9 tena mama tofauti?
Bado mke yupo leba kujifungua kaleta mwanamke mwingine ndani?
Sasa hapo daaaah si heri uishi peke yako jamani?
Hapo ni msaada au ni mzigo wa maisha?
Ee mungu ninusuru maana wa kwangu kaniambia ana binti mmoja isiwe ni kipa tu huyo wachezaji wapo uwanjani.

Shida iko wapi hao watoto au? tatizo la wanawake wengi hawawapendi watoto wa wanawake wengine. Nendeni mkazaane mkaijaze dunia. Sasa je ungesikia mume wako wanamkameruni ingekuwaje? si bora hawa watoto tena unatakiwa ufurahi, acheni kuwa na roho mbaya nyinyi akina dada huo ni ubinafsi.

Man at work
 
ndo maana kipindi cha uchumba au bf na gf mnatakiwa mchunguzane vya kutosha. Au ukiona mwanaume chovya chovya think twice
 
Mapenzi ya dhati hawana.
Wewe funga tu macho ingia kwenye ndoa
utakalolikuta mshukuru mola na uvumilie
loh
sikutegemea kama yangekuwa haya? Mtu kaolewa kumbe mwanaume ana watoto 9 wa nje?
Sio kwamba naponda mtu kuoa akiwa na watoto wa nje ila 9 tena mama tofauti?
Bado mke yupo leba kujifungua kaleta mwanamke mwingine ndani?
Sasa hapo daaaah si heri uishi peke yako jamani?
Hapo ni msaada au ni mzigo wa maisha?
Ee mungu ninusuru maana wa kwangu kaniambia ana binti mmoja isiwe ni kipa tu huyo wachezaji wapo uwanjani.

Jamaa nimemzidi watoto wa tatu na sijaoa. Hebu piga simu polisi waje waniokoe nipo tandale juu ya paa nikipotea watoto wataishi maisha magumu.
 
Mambo mengine ni magumu jamani.... Dah!
 
hata ukintisha bada nina nia ya kuolewa hata awe na watoto 9 njee
 
Huwa kila siku nasema mwanadam ni kiumbe wa ajabu sana,mpaka tutafutika kwenye uso wa dunia malalamiko hayataisha,leo smile analalamika kuhusu wanaume kesho eiyer atalalamika kuhusu wanawake,mpaka lini?
 
sijui kwa nini
lakini watanzania huwa hawaelewi kabisa vitu vya msingi na taarifa zinazotangazwa mara kwa mara
takwimu rasmi ni kuwa watanzania wenye 'matatizo ya akili ' ni zaidi ya milioni moja na nusu.....
now go figure....
Mkuu kuzaa ni kuwa na mataizo ya akili?
 
Jamaa nimemzidi watoto wa tatu na sijaoa. Hebu piga simu polisi waje waniokoe nipo tandale juu ya paa nikipotea watoto wataishi maisha magumu.

Pole sn broda!kwenu helcopta haijafika kuja kuwaopoa?nishampigia mhusika anawatuma vijana wake soon!
 
Dah!hii taasisi ya ndoa pasua kichwa sn!kwa stahili hiyo bora kuishi peke yako,haja km ndio kuijaza nchi huyu mwanaume kazidi lol!hata km ndio majaliwa ya urijali imezidi bwana anahitaji kuchunguzwa kitaalam wenda ni abunomo khaa!watoto 9 kwa mama tofauti!!!
 
Lakini Canta mi sina hata wa kusingiziwa usihofu!
 
Kwa hiyo na mimi nikileta mfano wa mwanamke mmoja aliyemdanganya mwanaume kuwa hakuwahi kuzaa kumbe ana watoto wanalelewa na mama yake huko kijijini, nitakuwa sahihi kusema kuwa wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli.......kama kichwa cha mada yako?

Kati yenu, mnapoolewa kuna mtu anamweleza ukweli mwanaume kuwa alishatoa mimba 9 za wanaume tofauti?

Siungi mkono mada. Sina mapenzi na utawala wa hisia. Napenda fikra
 
Basi kwa taarifa yako, kwa jinsi wanawake wasivyo waaminifu, kati ya hao watoto 9 unaotuambia ni wa huyo mwanaume, usikute ni wawili tu ndio wake. The rest ni wa wanaume wengine

Siungi mkono mada. Sina mapenzi na utawala wa hisia. Napenda fikra
 
ndo maana kipindi cha uchumba au bf na gf mnatakiwa mchunguzane vya kutosha. Au ukiona mwanaume chovya chovya think twice

Usiumize kichwa na manung'uniko ya kina mama. Kuna mambo hata ukikaa na gf miaka 10 huwezi jua. Au unaweza kuniambia namna ya kumgundua mwanamke aliyetoa mimba 10?

Huyo jamaa unaweza ukakuta na yeye ni victim wa kusalitiwa. Kati ya hao watoto 9 ni watatu tu ndio wake, waliobaki ni wa njemba zingine.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom