Muhimu: Visa vya mauaji ya wanawake. Sababu, ushauri na ukweli (wanaume tu)

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,278
5,518
Note: Kama huna mke usihukumu aliye kwenye ndoa. Maisha ya ndoa siyo ngono tu na kuna mengine.

Wanawake wengi sana wanauawa, wengi sana na wanaoripotiwa kwenye media ni wachache, nenda vituoni utachanganyikiwa.

Sababu kuu inariporiwa ni wivu wa kimapenzi lakini ukiangalia kiukweli hiyo ni sababu ya pili au ya tatu. Ngoja nikwambie, sababu kuu ni;

1. Kiburi, dharau na masimango na pia unyanyasaji wa mwanamke dhidi ya mwanaume.

2. Ya pili ndio inaweza kua kukosa uaminifu kwa mwanamke dhidi ya mwanaume.

3. Kulipa kisasi kwa mwanamke dhidi ya kutokuwa na uaminifu kwa mume dhidi ya mwanamke.

4. Wanawake wengi sasa hivi wanajiuza na siyo kwasababu ya tamaa ya ngono hapana, kwasababu ya kutaka pesa.

5. Wanawake wamejikwamua sana kiuchumi sasa hapa ndio dharau huanza, na hapo mume huamua kumaliza mchezo. Tukose wote!

Kwanini mwanaume asimuache tu mke aondoke zake?

Investment alizofanya mwanaume, mali, watoto na muda anaona ni ujinga bora ammalize.

Pia anaona njia sahihi akifa yeye ataenda jela na ndani ya miaka 5 atakua katoka.

Kundi la pili la sababu:

1. Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao ni wazuri sana ila tabia ni mbaya na baya zaidi wanawake hao hawawapendi.

Sababu kuu unakuta mwanaume ana hela ya kummudu huyo mwanamke ila hela ikipungua au akaja mwenye hela zaidi utata unakua mkubwa.

2. Wanaume wengi watoto wa town huwa ni ngumu kukuta hana tatizo na mwanamke. Ni rahisi kwa mtoto wa town kumuacha mkewe wa ndoa kuliko mtu wa kijijini aliefanikiwa kimaisha. Hawa wa kijijini ndiyo huua sana wake zao maana wana misimamo sana.

3. Ukimya wa wazazi upande wa mwanamke humfanya mwanaume asiwe na option. Mwanaume anategemea mke aonywe au akaripiwe na wazazi wa huyo mwanamke na wazazi wanashindwa maana wanalelewa na binti yao kwa hela hizo hizo za wanaume wa nje.

4. Mwanaume akiwa malaya sana mke mwenye akili huwa hamrudishii, ila anakua busy kwenye maendeleo. Sasa mke akifanikiwa anakua ana kisasi na mume na hii huleta dharau ya hali ya juu ndani na tension ya kufa mtu.

5. Wanaume wengi wana msongo wa mawazo ukichukulia hali ya uchumi, ada, matumizi na mengineyo, sasa mke akizingua tena ndiyo balaa.

6. Kukosa washauri wazuri wa ndoa, hapa mwanaume anakosa wa kumshauri na hufanya maamuzi anayoona yanafaa.

> Wanawake wengi huwa na mahali pa kusemea matatizo yao na wanaume hawana. Mwanamke atamwambia mama yake hata baba yake au dada yake kuwa mume wangu kawa malaya na jana kalala nje au analewa sana au anatembea na dada wa kazi au anapenda kinyume na maumbile. Akisema hupewa ushauri.

Ila mwanaume hana pa kusemea, ukisema kaliwa unaambiwa humridhishi, na pia ni aibu kusema mke kawa malaya au analiwa na jirani. sasa hapa matokeo yake ni tension ya kufa mtu na matokeo yake ni kuua au ww upate BP, stroke, ufilisike au uwe mlevi kipitiliza. Na hakuna atakayekusaidia, watasikitika tu!

USHAURI:
1. Kama hujaoa jitahidi kuangalia sana tabia ya mwanamke bila muonekano. Sana sana mfanye kwanza rafiki asijue unataka mahusiano, then njoo kwenye mahusiano asijue kuna ndoa, then ndoa.

2. Dhibiti sana kipato cha mkeo kama uko kwenye ndoa, hii ni kitu muhimu sana. Kama anakipato kukuzidi, hakikisha unalobby hizo hela zake zinakua zako (watoto wa town mnaijua hii).

3. Kila kitu kina mpaka, akiuvuka kuwa mkali kama pilipili usikubali uanaume wako utishiwe. Hakikisha kila wakati kuna gape la baba linakuwepo.

4. Pambana uwe na hela na usimuwezeshe sana itakucost sana. Nina mifano hai ya matajiri hapa Dar namna walivyoteseka na hela wanazo.

5. Punguza umalaya, au fanya kwa siri na akili sana ili asiwe na sababu ya kuchepuka au kukufanyia lolote.

6. Wekeza mali zako nyingi kwenye jina lako ikiwezekana nyingine asizijue, kitokea la kutokea hela na mali zako ndiyo mfariji wako mkuu na hata ukifa ghafla ndugu zako watabaki na mali.

UKWELI:
1. Ni kweli kwamba wanaume wengi tumezidiwa kipato na wanawake zetu.

2. Ni kweli pia wanawake zetu sasa wana maamuzi magumu na hawaogopi chochote kama mama zao.

3. Ni kweli maadili yamepungua sana.

4. Ni kweli na sisi wanaume tumekua waoga au tunajisahau sana hadi tunakua tumepigwa gap.

NB: Ila haimaanishi tuwaue, huo ni ushamba. Dawa ni kumuacha na ukimuacha abaki mtee, thumni moja asiwe nayo. Hapo atateseka sana na wewe unavuta chuma kipya kabisa.

Tutafute hela na tuwadhibiti.

Naruhusu povu, maswali na ushauri.

MP. Kaka Mkubwa
 
Ukioa oa mwanamke Bikira,tofauti na hapo umekwisha!.

Haya mauaji chanzo chake ni Umalaya uliyoletelezwa na wote mwanaume na mwanamke kuyajua mahusiano kabla ya ndoa!.

Dawa ni ubikira tu
 
Hao wanawake ni warembo ila tabia mbovu. Tuache kuoa pisi kali zenye usumbufu na mambo mengi, kama huyo wa Tabata jana ana tattoo kifuani. Uzungu mwingi kwenye ndoa ni upuuzi sasa.

Tunashauriana sana ila hawa wanawake wamekuwa viumbe hatarishi kadri siku zinavyozidi kwenda
 
Kwenye ushauri naunga mkono hoja namba 3.Inafikia mahali nyumba inaonekana kama haina Baba,mwanamke anatoka na kinguo kifupi mapaja yote yako nje na mwanume yupo anachekacheka tu,kama sijakuoa sawa,lakini kama ni mke wangu no way,ni bora niitwe mshamba...
 
Sisi ambao Bado hatujaoa tunazidi kupata ukakasi juu ya Hili suala.Ndoa zinapigwa pini Sana humu jf.
Sio pini hii ni real life experience bro...wake za watu ni changamoto na nikwambie kitu hawaogopi kabisa we imagine habari za wanawake kuuawa..na bado wao wanazidisha wehu
 
Kwenye ushauri naunga mkono hoja namba 3.Inafikia mahali nyumba inaonekana kama haina Baba,mwanamke anatoka na kinguo kifupi mapaja yote yako nje na mwanume yupo anachekacheka tu,kama sijakuoa sawa,lakini kama ni mke wangu no way,ni bora niitwe mshamba...
Shida ya hapa wanaanza kidogo kidogo...usipokua mjanja inakula kwako
 
Hao wanawake ni warembo ila tabia mbovu. Tuache kuoa pisi kali zenye usumbufu na mambo mengi, kama huyo wa Tabata jana ana tattoo kifuani. Uzungu mwingi kwenye ndoa ni upuuzi sasa.

Tunashauriana sana ila hawa wanawake wamekuwa viumbe hatarishi kadri siku zinavyozidi kwenda
Dem akishakua na tatoo ni tatizo..saaana ile ni level ingine
 
Ukioa oa mwanamke Bikira,tofauti na hapo umekwisha!.

Haya mauaji chanzo chake ni Umalaya uliyoletelezwa na wote mwanaume na mwanamke kuyajua mahusiano kabla ya ndoa!.

Dawa ni ubikira tu
Mkuu wanawake bikra wapo kweli? Hizi pisi kali za town mkuu hukuti chochote...
 
Sijaona ulipo point mapungufu ya mwanaume.

Note: Kama huna mke usihukumu aliye kwenye ndoa. Maisha ya ndoa siyo ngono tu na kuna mengine.

Wanawake wengi sana wanauawa, wengi sana na wanaoripotiwa kwenye media ni wachache, nenda vituoni utachanganyikiwa.

Sababu kuu inariporiwa ni wivu wa kimapenzi lakini ukiangalia kiukweli hiyo ni sababu ya pili au ya tatu. Ngoja nikwambie, sababu kuu ni;

1. Kiburi, dharau na masimango na pia unyanyasaji wa mwanamke dhidi ya mwanaume.

2. Ya pili ndio inaweza kua kukosa uaminifu kwa mwanamke dhidi ya mwanaume.

3. Kulipa kisasi kwa mwanamke dhidi ya kutokuwa na uaminifu kwa mume dhidi ya mwanamke.

4. Wanawake wengi sasa hivi wanajiuza na siyo kwasababu ya tamaa ya ngono hapana, kwasababu ya kutaka pesa.

5. Wanawake wamejikwamua sana kiuchumi sasa hapa ndio dharau huanza, na hapo mume huamua kumaliza mchezo. Tukose wote!

Investment alizofanya mwanaume, mali, watoto na muda anaona ni ujinga bora ammalize.

Pia anaona njia sahihi akifa yeye ataenda jela na ndani ya miaka 5 atakua katoka.

Kundi la pili la sababu:

1. Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao ni wazuri sana ila tabia ni mbaya na baya zaidi wanawake hao hawawapendi.

Sababu kuu unakuta mwanaume ana hela ya kummudu huyo mwanamke ila hela ikipungua au akaja mwenye hela zaidi utata unakua mkubwa.

2. Wanaume wengi watoto wa town huwa ni ngumu kukuta hana tatizo na mwanamke. Ni rahisi kwa mtoto wa town kumuacha mkewe wa ndoa kuliko mtu wa kijijini aliefanikiwa kimaisha. Hawa wa kijijini ndiyo huua sana wake zao maana wana misimamo sana.

3. Ukimya wa wazazi upande wa mwanamke humfanya mwanaume asiwe na option. Mwanaume anategemea mke aonywe au akaripiwe na wazazi wa huyo mwanamke na wazazi wanashindwa maana wanalelewa na binti yao kwa hela hizo hizo za wanaume wa nje.

4. Mwanaume akiwa malaya sana mke mwenye akili huwa hamrudishii, ila anakua busy kwenye maendeleo. Sasa mke akifanikiwa anakua ana kisasi na mume na hii huleta dharau ya hali ya juu ndani na tension ya kufa mtu.

5. Wanaume wengi wana msongo wa mawazo ukichukulia hali ya uchumi, ada, matumizi na mengineyo, sasa mke akizingua tena ndiyo balaa.

6. Kukosa washauri wazuri wa ndoa, hapa mwanaume anakosa wa kumshauri na hufanya maamuzi anayoona yanafaa.

Ila mwanaume hana pa kusemea, ukisema kaliwa unaambiwa humridhishi, na pia ni aibu kusema mke kawa malaya au analiwa na jirani. sasa hapa matokeo yake ni tension ya kufa mtu na matokeo yake ni kuua au ww upate BP, stroke, ufilisike au uwe mlevi kipitiliza. Na hakuna atakayekusaidia, watasikitika tu!

USHAURI:
1. Kama hujaoa jitahidi kuangalia sana tabia ya mwanamke bila muonekano. Sana sana mfanye kwanza rafiki asijue unataka mahusiano, then njoo kwenye mahusiano asijue kuna ndoa, then ndoa.

2. Dhibiti sana kipato cha mkeo kama uko kwenye ndoa, hii ni kitu muhimu sana. Kama anakipato kukuzidi, hakikisha unalobby hizo hela zake zinakua zako (watoto wa town mnaijua hii).

3. Kila kitu kina mpaka, akiuvuka kuwa mkali kama pilipili usikubali uanaume wako utishiwe. Hakikisha kila wakati kuna gape la baba linakuwepo.

4. Pambana uwe na hela na usimuwezeshe sana itakucost sana. Nina mifano hai ya matajiri hapa Dar namna walivyoteseka na hela wanazo.

5. Punguza umalaya, au fanya kwa siri na akili sana ili asiwe na sababu ya kuchepuka au kukufanyia lolote.

6. Wekeza mali zako nyingi kwenye jina lako ikiwezekana nyingine asizijue, kitokea la kutokea hela na mali zako ndiyo mfariji wako mkuu na hata ukifa ghafla ndugu zako watabaki na mali.

UKWELI:
1. Ni kweli kwamba wanaume wengi tumezidiwa kipato na wanawake zetu.

2. Ni kweli pia wanawake zetu sasa wana maamuzi magumu na hawaogopi chochote kama mama zao.

3. Ni kweli maadili yamepungua sana.

4. Ni kweli na sisi wanaume tumekua waoga au tunajisahau sana hadi tunakua tumepigwa gap.

NB: Ila haimaanishi tuwaue, huo ni ushamba. Dawa ni kumuacha na ukimuacha abaki mtee, thumni moja asiwe nayo. Hapo atateseka sana na wewe unavuta chuma kipya kabisa.

Tutafute hela na tuwadhibiti.

Naruhusu povu, maswali na ushauri.

MP. Kaka Mkubwa
 
Note: Kama huna mke usihukumu aliye kwenye ndoa. Maisha ya ndoa siyo ngono tu na kuna mengine.

Wanawake wengi sana wanauawa, wengi sana na wanaoripotiwa kwenye media ni wachache, nenda vituoni utachanganyikiwa.

Sababu kuu inariporiwa ni wivu wa kimapenzi lakini ukiangalia kiukweli hiyo ni sababu ya pili au ya tatu. Ngoja nikwambie, sababu kuu ni;

1. Kiburi, dharau na masimango na pia unyanyasaji wa mwanamke dhidi ya mwanaume.

2. Ya pili ndio inaweza kua kukosa uaminifu kwa mwanamke dhidi ya mwanaume.

3. Kulipa kisasi kwa mwanamke dhidi ya kutokuwa na uaminifu kwa mume dhidi ya mwanamke.

4. Wanawake wengi sasa hivi wanajiuza na siyo kwasababu ya tamaa ya ngono hapana, kwasababu ya kutaka pesa.

5. Wanawake wamejikwamua sana kiuchumi sasa hapa ndio dharau huanza, na hapo mume huamua kumaliza mchezo. Tukose wote!

Investment alizofanya mwanaume, mali, watoto na muda anaona ni ujinga bora ammalize.

Pia anaona njia sahihi akifa yeye ataenda jela na ndani ya miaka 5 atakua katoka.

Kundi la pili la sababu:

1. Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao ni wazuri sana ila tabia ni mbaya na baya zaidi wanawake hao hawawapendi.

Sababu kuu unakuta mwanaume ana hela ya kummudu huyo mwanamke ila hela ikipungua au akaja mwenye hela zaidi utata unakua mkubwa.

2. Wanaume wengi watoto wa town huwa ni ngumu kukuta hana tatizo na mwanamke. Ni rahisi kwa mtoto wa town kumuacha mkewe wa ndoa kuliko mtu wa kijijini aliefanikiwa kimaisha. Hawa wa kijijini ndiyo huua sana wake zao maana wana misimamo sana.

3. Ukimya wa wazazi upande wa mwanamke humfanya mwanaume asiwe na option. Mwanaume anategemea mke aonywe au akaripiwe na wazazi wa huyo mwanamke na wazazi wanashindwa maana wanalelewa na binti yao kwa hela hizo hizo za wanaume wa nje.

4. Mwanaume akiwa malaya sana mke mwenye akili huwa hamrudishii, ila anakua busy kwenye maendeleo. Sasa mke akifanikiwa anakua ana kisasi na mume na hii huleta dharau ya hali ya juu ndani na tension ya kufa mtu.

5. Wanaume wengi wana msongo wa mawazo ukichukulia hali ya uchumi, ada, matumizi na mengineyo, sasa mke akizingua tena ndiyo balaa.

6. Kukosa washauri wazuri wa ndoa, hapa mwanaume anakosa wa kumshauri na hufanya maamuzi anayoona yanafaa.

Ila mwanaume hana pa kusemea, ukisema kaliwa unaambiwa humridhishi, na pia ni aibu kusema mke kawa malaya au analiwa na jirani. sasa hapa matokeo yake ni tension ya kufa mtu na matokeo yake ni kuua au ww upate BP, stroke, ufilisike au uwe mlevi kipitiliza. Na hakuna atakayekusaidia, watasikitika tu!

USHAURI:
1. Kama hujaoa jitahidi kuangalia sana tabia ya mwanamke bila muonekano. Sana sana mfanye kwanza rafiki asijue unataka mahusiano, then njoo kwenye mahusiano asijue kuna ndoa, then ndoa.

2. Dhibiti sana kipato cha mkeo kama uko kwenye ndoa, hii ni kitu muhimu sana. Kama anakipato kukuzidi, hakikisha unalobby hizo hela zake zinakua zako (watoto wa town mnaijua hii).

3. Kila kitu kina mpaka, akiuvuka kuwa mkali kama pilipili usikubali uanaume wako utishiwe. Hakikisha kila wakati kuna gape la baba linakuwepo.

4. Pambana uwe na hela na usimuwezeshe sana itakucost sana. Nina mifano hai ya matajiri hapa Dar namna walivyoteseka na hela wanazo.

5. Punguza umalaya, au fanya kwa siri na akili sana ili asiwe na sababu ya kuchepuka au kukufanyia lolote.

6. Wekeza mali zako nyingi kwenye jina lako ikiwezekana nyingine asizijue, kitokea la kutokea hela na mali zako ndiyo mfariji wako mkuu na hata ukifa ghafla ndugu zako watabaki na mali.

UKWELI:
1. Ni kweli kwamba wanaume wengi tumezidiwa kipato na wanawake zetu.

2. Ni kweli pia wanawake zetu sasa wana maamuzi magumu na hawaogopi chochote kama mama zao.

3. Ni kweli maadili yamepungua sana.

4. Ni kweli na sisi wanaume tumekua waoga au tunajisahau sana hadi tunakua tumepigwa gap.

NB: Ila haimaanishi tuwaue, huo ni ushamba. Dawa ni kumuacha na ukimuacha abaki mtee, thumni moja asiwe nayo. Hapo atateseka sana na wewe unavuta chuma kipya kabisa.

Tutafute hela na tuwadhibiti.

Naruhusu povu, maswali na ushauri.

MP. Kaka Mkubwa

Umetema‘madini ’ ya maana sana… maneno ya dhahabu haya @ Kaka Mkubwa .
 
Back
Top Bottom