Ikulu sasa ni BMW kwa kwenda mbele

Status
Not open for further replies.
Ni mara ngapi umewahi kuona Cadillac DeVille taxi?

Ukienda Ujerumani unakuta karibu kila model ya Benz sedan ambayo ni taxi.....kama unabisha nenda mwenyewe ukajionee...hizo hizo taxi sehemu zingine watu wanaziona bab kubwa....hata US

Wajerumani wengi wana regard BMW na Porsche kuwa ndio gari za kifahari....

Baki kwenye mada. Matumizi ya Benz kama taxi hayafanyi, benzi kutokuwa magari ya kifahari.

Na wajerumani ku-regard BMW na Porsche kuwa ndio gari za kifahari hakufanyi Benz kutokuwa katika kundi la gari la kifahari.

Wajerumani sio Barometer ya magari ya kifahari. Na sina sababu ya kurudi huko.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom