Ijue sababu ya ' Kisayansi ' kabisa kwanini Wanawake huchokwa kimahusiano wakishaliwa 'uroda'

Mapenzi yameharibika baada ya wanawake kuanza kutumia tupu zao kujipatia fedha......huku wanaume wakitumia fedha kupata anachokitaka kwa mwanamke....

Kila mtu anaangalia uwezekano wa kupata chochote kitu kwenye hayo mahusiano....na sio kuangalia namna gani watawayajenga mahusiano hayo....

Ndio maana haishangazi kuona mwanamke ana mahusiano na wanaume zaidi ya kumi na bado akaona ni kawaida....na mwanamme kununua wanawake wanaojiuza pia ni jambo la kawaida.....
 
Ndio Maana mimi huwa nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele...

Wanaume acheni kuumiza akili zenu kuwaza hutu tu viumbe tulitotokana na UBAVU wetu wa kushoto...

DAWA NI MOJA TUU..
GONGA BANJUA PIGA CHINI SEPA MBELE...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Nimeipenda hii. Bila pesa, sepa. Yaani pesa ndio 'anti-sepa' Swali kwenu kina dada mnaosema mnapenda pesa tu. Je, huko vijijini na 'Uswazi' ambako pesa ni kidogo sana mabinti wa huko hawapendi wanaume?
 
Kwa hiyo wale wanao owana nakuishi miaka 80 kwenye ndoa unawazungumziaje na% zako hizo
 
Mkuu mtoa mada umeongea ukweli hilo jambo limezungumziwa katika saikolojia kama nadharia. Lakini ungeweka reference labda ingepunguza mashaka, pia huko mwishoni umeongeza maoni yako si vibaya.
 
Back
Top Bottom