Ijue sababu ya ' Kisayansi ' kabisa kwanini Wanawake huchokwa kimahusiano wakishaliwa 'uroda'

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Natumai nyote ni wazima wa afya kabisa na mnaendelea na majukumu yenu ya kawaida na kwa wale ambao pengine leo hamkuamka vizuri poleni na kwa wale ambao mmepotelewa na " Wapendwa " wenu namaanisha ( mmefiwa ) basi nanyi pia nawapa pole na Mwenyezi Mungu awapeni uvumilivu na uwepesi hasa katika kipindi hiki Kigumu.

Leo nimeona si vibaya nikawaletea sababu kuu ya " Kisayansi " kabisa ambayo inaonyesha ni kwanini Wanaume wengi hupenda ghafla Wanawake na tukishakipata tulichokuwa tunakitaka ( yaani kuwabandua / kufanya nao tu mapenzi ) huwa haipiti muda mchache tunawakinai na kuanza kuwachoka LAKINI pia nitaeleza ni kwanini Wanawake wengi mwanzoni huwa " Wagumu " kutongozeka lakini kadri muda unavyoenda huingia katika " mtego " kisha " wanamegwa " na wakimegwa sasa Wao ndiyo Mapenzi yao / Upendo wao huongezeka ambao baadae huja kuwaathiri na kujikuta wakiumia na hata kujuta.

Iko hivi Scientifically kabisa siku ya kwanza tu pale Mwanaume akimwona Mwanamke na kuanza kumtongoza basi kiwango cha Tamaa ya Ngono kwa Mwanaume huwa kipo 100% na kwa Mwanamke anayetongozwa huwa katika 0%.

Hivyo basi Mwanaume anapokuwa anaendelea kumfuatilia yule Mwanamke ile " curve " yake ya Upendo huanza kushuka na kufikia 75% na automatically kwa kuwa tayari huyu Mwanamke anakuwa ameshaanza kupewa maneno yetu ya uwongo na kweli ya Sisi Wanaume huanza taratibu nae kushawishika hivyo kuipandisha ile " curve " yake ya Upendo kutoka katika ile 0% ya awali na sasa kuwa 25%.

Kwakuwa Wanaume tumebarikiwa " mbinu " nyingi hasa za kiushawishi mbele ya hawa Wanawake hasa pale anapoona kuwa yule Mwanamke ni mzuri na ana " mvuto " wa ajabu kwake huyu Mwanaume huongeza jitihada zake za " ushawishi " ambazo nyingi huwa na mafanikio ambapo hujikuta ameweza kufanikiwa kufanya mapenzi na yule Mwanamke na hapo ile " curve " ya Upendo ya Mwanaume hushuka hadi kufikia " equilibrium " yaani 50% na hata yule Mwanamke ambaye alikuwa akishawishiwa kwa maneno matamu matamu na ahadi " hewa " nyingi za Mwanaume na yeye ile " curve " yake hupanda hadi kufikia 50% hivyo kuwa sawa na ile ya Mwanaume na hapo ndipo hufanya " Ngono ".

Naturally kwakuwa Mwanaume ameumbiwa " tamaa " ya ghafla na ya muda mfupi na ukizingatia pia kuwa Kisaikolojia Wanaume wote tumeumbwa na ile ya " roho " ya Matamanio kama ya Mnyama Chui ambaye hata akiwa ameshakamata Swala na anapanda nae mtini kwenda kumla basi akiona tu Mnyama mwingine huku chini atamweka yule aliyepanda nae juu mahala salama na kukimbia kushuka chini kuja kumkamata huyu Mnyama mwingine.

Hapa nataka kusisitiza kwamba Wanaume wengi huwa hatupendi bali huwa tunatamani tu kumfunua Mwanamke huyu na yule ili tu kuimarisha Heshima zetu za " Kiumeni " hivyo basi wakati wa " equilibrium " ile yaani wote Mwanaume na Mwanamke wapo katika 50% ya ile " curve " ya Upendo ( ambapo huwa wanafanya sasa Mapenzi ) automatically curve ya Upendo ya Mwanaume sasa kwakuwa ameshapata alichokuwa akikitaka hushuka kutoka 50% hadi 25% na kwakuwa tayari yule Mwanamke alishalishwa " matango pori " na Mwanaume ( namaanisha kudanganywa sana ) yeye sasa ile curve yake ya Upendo hupanda kutoka 50% na kwenda hadi 75%.

Kwakuwa Wanaume wengi wakishakuwa na tamaa ya kutaka kulala / kumbandua Mwanamke fulani basi wakishafanikiwa anaweza akarudia tena mara kadhaa ila siyo kwa " hamu " ila kama ya mwanzo na mara nyingi sana Wanaume wengi wakishafanya Mapenzi ya mara kwa mara na yule Mwanamke huanza kumchoka na kuanza kumfanyia " visa " vya hapa na pale yule Mwanamke ili tu wagombane na waachane hivyo ukishaona tu hizi dalili za ugomvi ugomvi au visa au gubu kutoka kwa Mwanaume ambaye " ulishatembea " nae basi jua kuwa tayari ile curve yake ya Upendo Kwako sasa imefika kabisa 0% ( kwamba ameshakuchoka ) na mara nyingi kwa Wanawake wengi akishapenda pamoja na kwamba anafanyiwa hivyo visa yeye huvumilia na kuzidi kupenda hivyo kupelekea ile curve yake ya Upendo kupanda kutoka 75% hadi kufikia 100%.

Wanawake wengi sana wanaoumia katika " Mahusiano " yao ya Kimapenzi na Wapenzi wao huwa tayari wameshafika katika 100% ya curve yao ya Upendo kwa yule Mwanaume na Wanaume tulio wengi huwa tunakuwa na Upendo wa Tamaa kwa Mwanamke ambao mwanzoni huwa katika 100% na tukishakula " mzigo / kubandua " huwa tunaanza kuwachoka na ule Upendo kupungua / kushuka taratibu na ukitaka uliamini hili fanya utafiti wako wa kimya kimya juu ya haya niliyoyaeleza hapa na utakuja kuyathibitisha mwenyewe.

Naombeni niishie hapa kwanza nikiacha " dozi " ikiwaingia taratibu huku mkitafakari na mengineyo nitaendelea nayo huko mbeleni kwani Kisaikolojia ipo tiba au dawa ya kuondoa hii hali ambayo nikishawishika nitaisema ila wasiwasi wangu tu ni kwamba nikiitoa hapa " hadharani " Wanaume wenzangu wataninunia kwani ninaamini kuwa nitakuwa nimewapa " ujanja / mbinu " ya uhakika Wanawake ambayo wanaweza kuanza kuitumia na hatimaye sasa Wanaume wengi wakawa kila Wakitongoza wanakataliwa au kukosa " mbunye " na kuanza kujiunga ya TEAM PUNYETO.

Muwe na Jumamosi njema na tulivu wana JF wote.
 
Hayo ni mawazo yako? Au ya wote?

Siyo mawazo yangu bali ni mchanganyiko wa sababu za Kisayansi na za Kisaikolojia ambazo hata hivyo hujashikiwa " mtutu " wa Bunduki uziamini. Ila mnapoambiwa na Waganga mkaongeze ukubwa wa " mikende " yenu hiyo kwa kulishwa " mavi " ya Paka huwa mnawaamini " fasta fasta " ila mengineyo mnayapuuza!
 
Lakini unachosahau ni kwamba Wanaume ndiyo wanaoongoza kuumizwa zaidi na Wanawake kuliko kinyume chake, hata kwenye kuachana, Wanaume wengi ndiyo huachwa na Wanawake kuliko kinyume chake!
Ndoa nyingi huvunjika kwa sababu ya Wanawake kuwachoka na kuwakataa Wanaume, ni mara chache sana Mwanaume huvunja ndoa au kumuacha Mwanamke!
 
Wanawake twaangalia pochi real love nowadays hamna bila pesa. So ukiona demu uko naye hakupendi ila yuko after something
 
Kafie mbele,utafiti wa kisayansi,sayansi gani hapo,umesimuliwa na wewe unaleta huku,rudi facebook wewe
 
We jamaa mungu anakuona ujue umeongea ukweli kabisa huko mwanzo lkn huku mwisho naona sasa unataka kuharibu mambo umeshaeleweka si uishie hapo hapo?
 
Lakini unachosahau ni kwamba Wanaume ndiyo wanaoongoza kuumizwa zaidi na Wanawake kuliko kinyume chake, hata kwenye kuachana, Wanaume wengi ndiyo huachwa na Wanawake kuliko kinyume chake!
Ndoa nyingi huvunjika kwa sababu ya Wanawake kuwachoka na kuwakataa Wanaume, ni mara chache sana Mwanaume huvunja ndoa au kumuacha Mwanamke!

Akhsante kwa mtazamo wako ila ningekushauri na Wewe sasa anzisha UZI wako mzuri tu wenye Heading kati ya hizi mbili ' WANAUME NDIYO WANAOONGOZA KUUMIZWA ZAIDI NA WANAWAKE ' au ' WANAWAKE KUWACHOKA NA KUWAKATAA WANAUME '.

Nausubiri kwa hamu sana huo UZI wako Mkuu ili nami niweze " kutiririka ".
 
Siyo mawazo yangu bali ni mchanganyiko wa sababu za Kisayansi na za Kisaikolojia ambazo hata hivyo hujashikiwa " mtutu " wa Bunduki uziamini. Ila mnapoambiwa na Waganga mkaongeze ukubwa wa " mikende " yenu hiyo kwa kulishwa " mavi " ya Paka huwa mnawaamini " fasta fasta " ila mengineyo mnayapuuza!
Umesoma,,Unajua kitu Kinaitwa Citations,, ?Au Unazifahamu Kanuni 7 za Sayansi ? Unajua kitu kinaitwa Research Defending? Au unatetea hoja kwa Matusi,,Kama unapenda matusi ili ujulikane Mtukane Mfalume Uonee sasa hivi kwenye TV Tutakuona,
 
Siyo mawazo yangu bali ni mchanganyiko wa sababu za Kisayansi na za Kisaikolojia ambazo hata hivyo hujashikiwa " mtutu " wa Bunduki uziamini. Ila mnapoambiwa na Waganga mkaongeze ukubwa wa " mikende " yenu hiyo kwa kulishwa " mavi " ya Paka huwa mnawaamini " fasta fasta " ila mengineyo mnayapuuza!
Hakuna sayansi hapo. Wewe umeweka tu 100% na 0% na kuanza kushusha na kupandisha. Ni mawazo yako tu.
 
Back
Top Bottom