KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 17,924
- 32,120
Mapenzi yameharibika baada ya wanawake kuanza kutumia tupu zao kujipatia fedha......huku wanaume wakitumia fedha kupata anachokitaka kwa mwanamke....
Kila mtu anaangalia uwezekano wa kupata chochote kitu kwenye hayo mahusiano....na sio kuangalia namna gani watawayajenga mahusiano hayo....
Ndio maana haishangazi kuona mwanamke ana mahusiano na wanaume zaidi ya kumi na bado akaona ni kawaida....na mwanamme kununua wanawake wanaojiuza pia ni jambo la kawaida.....