Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,880
- 2,761
wacha hizo. Mbona wanaripoti vyama vyote?
penye red na kupinga inamaana huyu mzee ndiye anaeongoza vipindi?we huoni watendaji wake wakuu ndo wenye matatizo?Nilimnukuu Alfrd Masako akiripoti matukio ya wiki nami nilishangaa. maana niliona picha video za Chadema zikionesha anayehutubia bila kuonesha wanaohutubiwa. Ilipofika kwa CCM ikawa tofauti na lugha ikawa ifuatavyo. '.... maelefu na mamia ya waIgunga walifika kuhudhuria ufunguzi wa cpeni za CCM Igunga'. Huyu mzee wa hii TV ni opportunist sana. Nachooombea ile kesi anayodaiwa senti moja imrudi kisawasawa.
Mbona jana walitangaza habari za vyama vitatu tena kwa ufasaha??
Kama we mtoto ungekuwa unajiuza ungetengeneza sana hela manake sisi wenye tamaa na vihelehele tungekuwa tunashinda kwako. Kila post unavamia umeahidiwa nini?? Nape mwenyewe aliyewaajiri saizi yuko kimya baada ya kuona Mzee Lowassa anachukua pointi kimyakimya, na juzi mzee alikuwa Zanzibar kuwatetea waliozama walipwe bima. Soma alama za nyakati bwana mdogoWataripoti kitu gani cha wamwagia watu tindikali na wapiga wakuu wa wilaya?
<br />Ahahahaaah!! Anajitahidi...
Tatizo ni TV set yake, yeye ameivalisha Magwanda hawezi kuona uhalisi labda ushabiki tu.
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikiona ITV inawapa CCM coverage kubwa ii hali vyama vingine husikii kitu. Kuna nini mbona walikuwa wazuri hawa ITV kuripoti?
<br />Juzi ITV walionyesha Chadema pekee yake, jana saa 2 usiku ilianza na CCM kupitia Wassira akijibu maswali magumu (aliripoti Novatus Makunga),ikafuata Chadema kupitia Dr Slaa na Kashindye (aliripoti Ufoo Saro), then CUF kupitia kwa Profesa Lipumba). Kwenye hili napingana na wewe Mkuu ITV wamejitahidi kuonyesha Chadema karibu kila siku isipokuwa leo asubuhi
kuna siku walimuonyesha Dr Slaa akihutubia nyumba za Tembe pamoja na watoto, naona wewe ujaona ndio maana unasema hivyoMi nilivyoielewa ile taarifa ni kua wanachama na washabiki wa Chama Twawala wamechoka na siasa, ahadi feki + sera uchwara za mgombea wao asie na jipya wakaona bora waje kusikiliza Point kwa Chadema