Ifm kubandika selectn zao»»»

hawaja 2pia kwenye web yao bt wamebandka kwenye notc bod yao! Habar nimepenyezewa na matron wa ifm n m2 mzma hawez nidanganya!
 
hawajabadika ya undrgraduate bado yaliyo kwny site ndo yaliyobandikwa...frm 1 of ifm student
 
Uongozi wa Chuo wanafikiria kwamba wapo kwenye karne ya 18 au 19? Kwa nini wasiweke kwenye website ya chuo?. Bado uongozi wanamambo ya kizamani.
 
xor wana jamvi kumbe wambebandika selectnz za masterz 2012/2013 wameweka kwenye web yao! Xo xor pipo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom