Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 2,666
- 3,048
Ukweli wa mambo asili ya Bantustas ni wake wengi, damu moto. Wazungu wanaweza mke mmoja wao ni damu baridi. Wake wengi ndivyo walivyoishi mababu zetu mpaka ujio wa wazungu.
Mimi ni Msukuma, pamoja na Ukristo wetu, si babu zangu wala baba zangu waliodumu na mke mmoja. Sisi watoto ndio tuna jaribu na sijui mbele ya safari.
Kwa Wasukuma the fact is we are very active kwenye somo hili ndio maana tunasifika kwa kupenda tatizo mmoja peke yake anakuwa hatoshi!.
Mababu zetu walikuwa na nguvu za ajabu, wao waliweza mara 3 kwa siku, wiki zote 54 za mwaka!. mke mkubwa ndie alikuwa anatafuta wasaidizi vinginevyo hakuna usalama. Kiasili mwanamke wa Kisukuma original, hatakiwi kuwa na wivu.
Hayo ni mambo ya Traditional Sukuma man, swali ni jee the modern Sukuma man anayo really need of an extra woman ama tunajiendekeza tuu!.
Jee ni afadhali ya Mwislamu anayekubali uke wenza kuliko mamia kwa maelfu ya sisi wakristo wa mke mmoja na vimada kibao ama nyumba ndogo?.
Tusishangae ya uke wenza mimi niko huku India, kuna jamii za wame wenza!.
Hiyo siyo mila, ila ni sex addiction ambao ni ugonjwa!