If our President has more than one wife: The question of human rights

Mkuu I.O
Nakupa scientific study moja iliofanywa na haohao wawest tena na credible university na kuwa presented kwenye credible forum kukuonyesha why i dont have a problem with Polygamy. Na our ancesotrs were and ARE STILL RIGHT!...The rest jisaidie kujua

"New research suggests that men from polygamous cultures outlive those from monogamous ones.

After accounting for socioeconomic differences, men aged over 60 from 140 countries that practice polygamy to varying degrees lived on average 12% longer than men from 49 mostly monogamous nations, says Virpi Lummaa, an ecologist at the University of Sheffield, UK.

Lummaa presented her findings last week at the International Society for Behavioral Ecology's annual meeting in Ithaca, New York."....
 
Hapa mimi na wewe ndipo hatuelewani; umechukulia ile sample inayo-benefit men; i am asking you; what does polygamy benefit children and women? From your point of view we marry women only for sexual satisfaction; can you give me a wider picture please?
 
Halafu hivi nilisikia maambukizi ya HIV ktk monogamous marriages is higher than poligamous??? Angalia tu nchi za Arabuni maambukizi ukimwi kidogo zaidi. kuliko nchi za kwetu. Kuna mtu ana data zaidi to sustantiate this???
 
Mama,MWK na wenzake hawaguzi hapa.......mada yao hii tuwasikie na wenyewe wana maoni gani.
 
Halafu hivi nilisikia maambukizi ya HIV ktk monogamous marriages is higher than poligamous??? Angalia tu nchi za Arabuni maambukizi ukimwi kidogo zaidi. kuliko nchi za kwetu. Kuna mtu ana data zaidi to sustantiate this???

Mzalendohalisi,
Usijidanganye, unafikiri kuwa nchi za Kiarabu au persian zina rate kubwa ya polygamy; go and learn my friend. Polygamy kubwa sana ni Africa. Infact Iran (persian gulf); polygamy ni kama hakuna kabisa! Ukija Egypt ni kule kusini kwa wale bedwini ndiyo poygamy ipo. Please don't distort facts in poygamy; go to Syria, jordan, Iraq; a negligible percent are practicing polygamy!
 
I liked this! But I stick to my values, anyway you are an independent liberal who represent your own ideas. What about these guys who are arguing that polygamy is African, and monogamy is western oriented; why shouldn't it be taken that, it is a weakness, and have taken weak (weaked)people especially in Africa to term it as "our culture". I 've never seen any documented history which justifies Africans as polygamists; only that hearsays and interviews from individuals who have tried to represent Africa; from their weaked views that polygamy is African ways of living culture. My grandfather and other neighbours i know (those with high calibre) had developed a way with one wife and had best of the family values.
Europe and even other parts of the world exercised polygamy in the past; and also our own ancestors (in Africa) exercised monogamy and only those who had power had polygamy and they had reasons to do so. They had power; and the society at that time accepted it.

As a nation we must embrace a culture of respecting our laws; unfortunately the law breakers are the one who are supposed to be the law enforcers; it makes easier for them to break such laws.

Why I condemn polygamy is not from the religion point of view, it is how it enslaves women, and also how it deprives love on woamen and children. Let us be serious, the situation in a country like Tanzania, in which its samples represent how Africa is is alarming; our presidents shud focus on solving grave problems facing our nations; a president who is practicing polygamy cannot work properly; he has to focus most of his time on other matters than issues which are national.

I can't be pigeoholed as such! Independent, yes, liberal, just a smidgen, conservative, to a large degree.
 
Mkuu IO,
Nakupata unachotaka kusema. Mimi najaribu kucushion hiyo attack kwa custom ya kiafrika ambayo haina tatizo zaidi ya kumezeshwa na wawest. Kwanza halazimishwi mtu, mke kataka mwenyewe, then mke ndo atajua benefit za kutaka kuwepo wakati tayari kuna mwenzake.

Hizi so so called monogamous marriages zimeshaprove beyond reasonable doubt kuwa ni failure!...najua hutoipenda hii ila ntakupa mfano mmoja tu kudhihirisha. Nenda pale TACAIDS kawaombe wakupe dataz za waathirika wa HIV kwa makundi mbalimbali. Kundi linaloongoza kwa UKIMWI ni WANANDOA tena wa ndoa hizo unazozi advocate!... Nenda kazione halafu ulete data hapa jamvini.... sio mambo ya kufikirika tuuu bila ushahidi.

Sasa kuna faida gani kupinga polygamy kwa nguvu zoote... wakati usiku ukiingia watu wanalala kwa vimada?...
 
Mzalendohalisi,
Usijidanganye, unafikiri kuwa nchi za Kiarabu au persian zina rate kubwa ya polygamy; go and learn my friend. Polygamy kubwa sana ni Africa. Infact Iran (persian gulf); polygamy ni kama hakuna kabisa! Ukija Egypt ni kule kusini kwa wale bedwini ndiyo poygamy ipo. Please don't distort facts in poygamy; go to Syria, jordan, Iraq; a negligible percent are practicing polygamy!

Kimsingi we are on same page. Lakini unaposema kuwa west kuna freedom of worship ukumbuke kuwa ni freedom ya kuworship inayohusu dini ya kikristo, kwa sababu kwa west dini ya kiislamu inayoruhusu polygamy ni ngeni na ndini ngeni haziruhusiwi kudictate terms, isipokuwa zinaruhusiwa kupractice some of their rituals not all of them. Kwa situation ya Tanzania ni tofauti sana ambako dini zote mbili za kikristo na kiislamu ni ngeni lakini zimejikita sana kwenye jamii.
Polygamous tendecies ni tofauti na polygamy, kuna watu wenye ndoa za mke mmoja lakini wana polygamist tendencies zaidi kuliko hata wenye wake wawili, kuna watu wako kwenye polygamy lakini tendecies zao kimsingi ni monogamy, as long as anazunguka kwa wake zake hao wawili tuu.
Ni kweli kuwa Iran hakuna polygamy marriages kwa sababu wa-Iran wanafuata sana uislamu, na serikali ina enforce sheria za uislamu. Kutokana na sheria za uislamu polygamy sio rahisi kama tunavyoiona au tunavyoipractice hapa bongo. Polygamy tunayoipractice hapa imevuka dini, ina utamaduni ndani yake na hulka ya mtu binafsi ndani yake, dini inatumika tu kama kisingizio cha kujustfy hulka hizo.
Kuna mifano hai ya watu kama Bill Clinton, yeye ni monogamist lakini ukiangalia rekodi yake kule Arkansas unaweza kucheka, unaweza ukijiauliza upya definition ya neno monogamy
 
Mama,.......mada yao hii tuwasikie na wenyewe wana maoni gani.

Under normal circumstances (everything is constant), sitofurahia mwenzi wangu kuwa na mke wa pili.

Pale nitakapoona mapenzi yangu kwa mwenzi wangu hayapo tena kwa sababu yeyote ile iwayo i.e menopause; nitamwambia atafute mapenzi somewhere..akipenda aoe, akipenda atafute nyumba ndogo au hata hit-and-run. Sitopenda kumdhulumu mume wangu kwa kutompa penzi 100%. Yakipungua nitamwambia..ee bana eeh, naona mapenzi yangu kwako yamepungua au yamekwisha. Atajua cha kufanya.

Pale nitakapokuwa incapacitated mathalan kwa ugonjwa (Mungu apishie mbali baharini) nitamruhusu mume wangu atafute either mke au hawara au vyovyote atakavyopenda. Kwa wakati huu atahitaji sexual satisfaction, msaada wa malezi ya watoto na vitu vingine ambavyo sitaweza kumsaidia.

Pale nitakapoona msichana ana tabia nzuri na kujiheshimu, anapenda kuwa watoto lkn hajapata wa kuzaa nae, nitamwomba mume wangu amwoe huyo bint kama bint mwenyewe atakubali, ili naye afurahie mapenzi katika maisha na kuwa na watoto.

Kama atahitaji kuwa na watoto zaidi, na mimi sina uwezo wa kumzalia, basi sitaihini nafsi yake wala matamanio yake ya watoto. Nitamwambia aoe na akitaka nitamtafutia.

Kama mume wangu ana sexual drive ambayo siwezi kuihimili, sitasita kumwambia aoe mke mwingine..ya nini kumtesa umpendae? Mwache afanye kinachomridhisha.

Kuamua kubaki kwenye ndoa yenye mke mwingine, hilo ni suala langu binafsi. Moja, kama bado nampenda mume wangu na yeye anatamani mwanamke mwingine, na akanieleza wazi, nitamruhusu aoe. Na nitaendelea kuwa mke provided huyo mwanamke siishi nae nyumba moja.

Ambacho sitakivumilia ni kuoa, kuwa na nyumba ndogo au kuhit-and-run bila kunifahamisha. Siku nikigundua, sijui nitamfanya nini kwani nitamwona mnafiki....na asiyenipenda. May be anakaa na mimi kwa sababu fulani fulani kama kulinda social status na sio kujali feelings zangu.
 
Under normal circumstances (everything is constant), sitofurahia mwenzi wangu kuwa na mke wa pili.

Pale nitakapoona mapenzi yangu kwa mwenzi wangu hayapo tena kwa sababu yeyote ile iwayo i.e menopause; nitamwambia atafute mapenzi somewhere..akipenda aoe, akipenda atafute nyumba ndogo au hata hit-and-run. Sitopenda kumdhulumu mume wangu kwa kutompa penzi 100%. Yakipungua nitamwambia..ee bana eeh, naona mapenzi yangu kwako yamepungua au yamekwisha. Atajua cha kufanya.

Pale nitakapokuwa incapacitated mathalan kwa ugonjwa (Mungu apishie mbali baharini) nitamruhusu mume wangu atafute either mke au hawara au vyovyote atakavyopenda. Kwa wakati huu atahitaji sexual satisfaction, msaada wa malezi ya watoto na vitu vingine ambavyo sitaweza kumsaidia.

Pale nitakapoona msichana ana tabia nzuri na kujiheshimu, anapenda kuwa watoto lkn hajapata wa kuzaa nae, nitamwomba mume wangu amwoe huyo bint kama bint mwenyewe atakubali, ili naye afurahie mapenzi katika maisha na kuwa na watoto.

Kama atahitaji kuwa na watoto zaidi, na mimi sina uwezo wa kumzalia, basi sitaihini nafsi yake wala matamanio yake ya watoto. Nitamwambia aoe na akitaka nitamtafutia.

Kama mume wangu ana sexual drive ambayo siwezi kuihimili, sitasita kumwambia aoe mke mwingine..ya nini kumtesa umpendae? Mwache afanye kinachomridhisha.

Kuamua kubaki kwenye ndoa yenye mke mwingine, hilo ni suala langu binafsi. Moja, kama bado nampenda mume wangu na yeye anatamani mwanamke mwingine, na akanieleza wazi, nitamruhusu aoe. Na nitaendelea kuwa mke provided huyo mwanamke siishi nae nyumba moja.

Ambacho sitakivumilia ni kuoa, kuwa na nyumba ndogo au kuhit-and-run bila kunifahamisha. Siku nikigundua, sijui nitamfanya nini kwani nitamwona mnafiki..ana asiyenipenda. May be anakaa na mimi kwa sababu fulani fulani kama kulinda social status na sio kujali feelings zangu.

Mama,
Your position is too liberal! Sasa ukimkubalia yote hayo bwana wako sii atakuonea?

na vipi kama wewe una sexual drive amabyo hawezi mzee kukusatisfy... je iweje mama? Utatafuta mzee wa nje? Mzee atakubali kweli?

Kaazi ipo!
 
Mama umeongea vizuri sana, na kutupa insight ya upale wa pili(nna assume you are a lady)... maana kuna wanaume wanataka kurepresent feelings za wanawake kuliko wanawake wenyewe...
 
Mama,
Your position is too liberal! Sasa ukimkubalia yote hayo bwana wako sii atakuonea?

na vipi kama wewe una sexual drive amabyo hawezi mzee kukusatisfy... je iweje mama? Utatafuta mzee wa nje? Mzee atakubali kweli?

Kaazi ipo!

What's good for the goose is good for the gander!!
 
Mama,
Your position is too liberal! Sasa ukimkubalia yote hayo bwana wako sii atakuonea?

na vipi kama wewe una sexual drive amabyo hawezi mzee kukusatisfy... je iweje mama? Utatafuta mzee wa nje? Mzee atakubali kweli?

Kaazi ipo!

Sikia, sina hakika kama hii kitu iko kwenye forums inayotakiwa kuniwezesha kuwa detailed.

Kama drive yangu ni kubwa kuliko yake, nitamweleza ...bana eeh, unajua huniridhishi. Kama mtu mzima atajua cha kufanya. Wanawake tuko tofauti, ninaweza kuamua kumvumilia au tukaongea na kukubaliana njia ya kunisaidia bila kwenda kutafuta mwingine. Nikienda huko nako nikakuta hapatoshi itakuwaje?

Naamini katika mawasiliano kwenye mahusiano, usinifiche na sintokuficha.....chochote kile hata kama ni cha kipumbavu. Naamini katika upendo, nipende nikupende. Tatizo wanaume wengi hawapendi kuambiwa ukweli, wanaona kama wanadhalilishwa!
 
Mama umeongea vizuri sana, na kutupa insight ya upale wa pili(nna assume you are a lady)... ...

Hapa nimeandika kama Mama. Haimaanishi hayo maandishi yangu yana represent wanawake wote.
 
Mama said:
Kuamua kubaki kwenye ndoa yenye mke mwingine, hilo ni suala langu binafsi. Moja, kama bado nampenda mume wangu na yeye anatamani mwanamke mwingine, na akanieleza wazi, nitamruhusu aoe. Na nitaendelea kuwa mke provided huyo mwanamke siishi nae nyumba moja.

Mama,

..mara nyingi katika mazingira ambapo ndoa ya mke zaidi ya mmoja ni RASMI, wakina mama hao huishi ktk nyumba moja na mume wao.

..hii kitu kama unaikubali hutakiwi uweke masharti na vipingamizi.
 
Mama,

..mara nyingi katika mazingira ambapo ndoa ya mke zaidi ya mmoja ni RASMI, wakina mama hao huishi ktk nyumba moja na mume wao.

..hii kitu kama unaikubali hutakiwi uweke masharti na vipingamizi.

Umeshasema mara nyingi, hivyo si mara zote. Na katika hizo mara ambazo si nyingi, mimi nimo humo.
 
Haya yote ya kuoa wanawake wengi, ni tamaa tu, watu wanatumia vigezo vya dini n.k

upendo na sheria zake haugawanyiki

kuna mmoja anapendwa mwingine ni past time, wanawake kama MAMA wanaosema watakubali still ni kuwa bado wako katika hali ya kutokombolewa kifikra

ndiyo maana mfalme wa swaz anaoa wake mpaka 100 usiniambie eti wote amewapenda

au kwa nini wanawake wao hawaolewi na wanaume wengi? japo wapo wanaotoka nje ya ndoa zao wanathibitisha kuwa basi hata wanaume kuoa mke mwingine ni tamaa tu!

tujadili mambo mengine, haya ya rais kuoa wangapi yataamsha hisia tofauti tutaenda mbali zaidi.
KWA NINI MWANAMKE ANAKUWA KAMA CHOMBO FULANI TU, NA SIO MTU MWENYE HISIA NA MAWAZO ANAYEPENDWA N.K

NAO WANAKUBALI.......HAPA NDIO KAZI SANA
 
Men in Tanzanian society cheat like crazy..lol.. its soo funny! When a man is unfaithful, the wife finds the purported *****/ mistress and has a war of words or a physical fight with them and then anarudi kwa mumewe (alieibwa)..lol.. So u people who speak of polygamy, although its not a desirable practice, at least as far as i'm concerned, it's better than widespread hypocrisy... So I think it is bora kuwa na wake wawili kuliko kuwa na mke mmoja na nyumba ndogo 7.lol... Kikwete is a rather promiscuous character by any standards, therefore his social example as a family man is by all means not the best.. But to be honest, of the entire population of Tanzanian men above the age of 18, how many have relations exclusively with 1 person (designated: THE WIFE) lol?

Therefore maybe he is, albeit unintentionally, representing the GREATER MAJORITY ya waTanzania by having more than one wife and numerous concubines. Ironically, that's his job under the Constitution of the United Republic... This discussion is misguided by having a wrong yardstick based on western ideas of Love and romantic relations, inapplicable to a society that practices a myriad of norms.. influenced by secular law, religious doctrines and tribal practice... not to mention the effects of assimilation with pop culture.. Recognize what Tanzania is before you speak of anything about it.
 
Katila Mkumbo: “If a man wants to marry hundreds wives let him do so, so long as there are wives wanting to be treated as such”.

Ukiukwaji wa haki za binadamu ni kosa hata kama wanaoonewa wanakubali. Kwa mfano, wako watoto wadogo wanaoajiriwa na kufanya kazi ngumu kwa hiari yao, lakini bado kuna ukiukwaji wa haki za binadamau.

Mzalendo Halisi: “Kwa hiyo unashauri wenye wake zao wawili au watatu kwa sasa wawaache wake zao? Kwa nini? Watoto walelewe na nani? na hao wake wamekosa nini?” ”Je lipi zuri? Homosexuality or polygamy”?

Wenye wake zao wasiwaache. Kinachotakiwa ni sisi kupiga vita hiyo tabia ya kuoa wake zaidi ya mmoja. Kuna maji ambayo yameshamwagika. Sasa tuzuie kuendeleza hii kawada mbaya. As to whether homosexuality is better than polygamy, I would say we do not have to choose between two aberrations. It is possible to practice neither homosexuality nor polygamy.

Nyani Ngabu: “Ingekuwa wanalazimishwa kuchangia mume mmoja hapo mimi na wewe tungekubaliana. Lakini kama wanachangia huyo mume kwa hiari yao basi sina tatizo”.

Nilishajibu hii hoja. Angalia jibu nililompa Katila Mkumbo.

Sober: “huku kudharau kila mila yako na kuabudu cha west, sijui tutafika wapi... Vipo vitu vya kuiga lakini sio kila kitu. Ni wapi pameonyeshwa hao wanawake wa west wako happier kwenye ndoa zao kuliko wanawake wa kiafrika waliokua kwenye ndoa za mitala?....... utumwa wa fikra ni hatari kuliko ufukara

Zamani ilikuweko mila ya kuua mmoja kati ya mapacha. Tumeiacha kwani ilikuwa mbaya. Mila ya kuoa wake wengi ni mbaya vile vile, tuiache.

Huko nyuma, uonevu uliwafanya wanawake wa Kiafrika wakae kimya. Hiyo haikuwa furaha. Wale wa kisasa wanaonekana kuhoji mambo, na ukimdhalilisha mno anaondoka.

Kuna utumwa wa fikara kwamba kuoa wake wengi ni sawa. Si sawa.

SMU : “Whether polygamy is bad or good, I think is a more of a personal opinion than of fact. I don't think there is any scientific reason of why polygamy is necessarily a bad thing

It is a mater of human rights, and that is not personal. It is a societal issue.

Waberoya: “Kitila uishofu, rais wetu anatuwakilisha wengi sana, wengi wana nyumba ndogo mkuu na wanaficha! yeye Kikwete naye yumo humohumo".

We do not like to be ruled by a promiscuous person. A President ought to be a man of character.

Bongolander:Polygamy is inseparable part of islam and we all know that our constitution allows us to worship freely and practice what our religions want us to do. I do not know why you say this is a primitive act.

It cannot be true that polygamy is an inseparable part of Islam. I know many Moslems who are married to one spouse. Polygamy is primitive because it is a bad import from the past. It no longer fits into the modern concept of equal dignity between men and women.
 
Mr. Moshi... wake up! Recognize what Tanzania is. We are primitive..lol The majority of people are. Our president is promiscuous just like the majority of us (Tanzanians) are.. Siongelei wabeba maboxi.. Rural Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom