Iddi Azan awaka bungeni

Kwa hio eti jamani kule mjengoni kumejaa makalio?? mmh ngoja kwanza

Mwanzo mzuri huo, inawezekana masaburi ana pointi, tumngojee mzungu wa nanihiii naye ajitetee.

Jeykey asante sana kweli nimecheka hadi ofisini wameshtuka, asante sana yaani siku imekua nzuri sana kwa ajili ya topic ya makalio.....haya bhana tufanye umeshinda, yaishe bhana ila naona kama vile kalio la kulia lina afadhali kidogo kuilko la kushoto, ntakupa sababu
hapo na wewe utakuwa umetumia kalio la kulia au vipi?

na wewe utakuwa umejitahidi maana umetumia kalio la kulia

images
jeykey hutaki nini wakati wewe muda woote unafikilia kwa kutumia KARIO, bora yangekuwa mawili sasa ni moja!

Mosie baba, aho uzaaonga kwei maaaha, mahundo yangwei mgoshi
labda wale wabunge wakike wanatumia ma'lakes (maziwa) kufikiri, halafu wale wakiume wanatumia ma''korod''''ani , then kwa umoja wao ndo wanatumia ma''sitting

Makabuli sijui masaburi, hivyo hivyo,
nae alipokuwa alikuwa anatumia makalio kufikiri ndio maana hajamung'unya maneno kusema kitu wanachotumia kufikiri.
Lakini sasa mbona wengine makalio yao yanatoa hoja za maana na wengine yanato u....zi na ma..iii

Kaaaaa--lioooooo, hahaaaaa lina raha yake bhana, uwe nalo kwa mkeo sasa halafu uone kiongozi analisifia namna hio labda na yeye anapenda makalio.......................mmh bunge la makalio......................

Jeykey asante sana kweli nimecheka hadi ofisini wameshtuka, asante sana yaani siku imekua nzuri sana kwa ajili ya topic ya makalio.....haya bhana tufanye umeshinda, yaishe bhana ila naona kama vile kalio la kulia lina afadhali kidogo kuilko la kushoto, ntakupa sababu

la kushoto litakuwa linacheza sindimba

Jeykey asante sana kweli nimecheka hadi ofisini wameshtuka, asante sana yaani siku imekua nzuri sana kwa ajili ya topic ya makalio.....haya bhana tufanye umeshinda, yaishe bhana ila naona kama vile kalio la kulia lina afadhali kidogo kuilko la kushoto, ntakupa sababu

we cheka tu,utafukuzwa kazi

Mbunge wa Kinondoni, akomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.

Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na imetolewa na kiongozi mkubwa. Amehoji ni hatua gani ichukuliwe

Ukweli unauma!!!!!!

Kama vile nawaona wanavyo-imagine vichwani mwao wakisema " Mwongozo wa kalio, kanuni ya 68, Mwongozo wa kalio, naomba mwongozo wa kalio kuhusu kutuita sisi Waheshimiwa; Makalio as if hatujui kuwa sisi ni Makalio......asante kwa mwongozo mheshiwa naibu kalio". halafu kama kawaidia makalio mengine yakapiga makofi....jamani nime-imagine tu.

Ingawa lugha ni kali kidogo... Lakini huo ndo ukweli!!! Lakuvunda halina ubani jamani!!!!

makinda katoa majibu ya mwongozo??

alikuepo naibu spika na baada ya january makamba kuomba mwongozo wa hati ya dharura kuhusu tatizo la mafuta,ndungai nae akaitisha kikao cha dharura cha kamati ya uongozi bungeni ndo wapo huko sasa hivi ni budget ya wizara ya viwanda na biashara inaendelea,

Ukweli unauma sana...Tena alisahau kuongezea kuwa makalio yenyewe ya Kichina na ndio maana wanalilia posho za vikao maana makalio yanachoka mno kufikiri huku yakiwa yanaelemewa na uzito wa vitambi vyao.

Back
Top Bottom