Iddi Azan awaka bungeni

Loh nabado, mwaka huu mtasema yote....................mara wanafikiri kwa matumbo...........sasa yakishiba utafikiria kwa nini kama si makalio kwa sababu unataka kwenda kunya.
 
Ni kweli wanafiikiri kwa kutumia hiyo kitu ndo maana mambo yanaenda yanavoenda..tete ehhe

kweli wanatumia na vitu vingine vilivyo ndani zaidi humo, ccm zzzzzzzzzzzzzziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Mbunge wa Kinondoni, akomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.

Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na imetolewa na kiongozi mkubwa. Amehoji ni hatua gani ichukuliwe

Njaa mbaya zinawafanya wabunge wafikiri kwa makalio
 
faizafox sijui yuko wapi leo,yeye sijui huwa anafikiri kwa nini
 
Kama wanalilia Posho za Makalio ( Sitting allowance) lazima tu watakuwa wanafikiri kwa Makalio vile vile
 
Maamuzi mabovu ndio yanasababisha kauli hizo,wadhibitishe vinginevyo kwa kufanya maamuzi magumu yenye maslahi kwa Taifa na si ubinafsi.
 
tukitaka kuja mengi na ukweli apewe muda wa kuthibitisha kauli yake pangine ana hoja ya msingi
 
Mbunge wa Kinondoni, akiomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa Meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.

Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na imetolewa na kiongozi mkubwa. Amehoji ni hatua gani ichukuliwe

Ingawaje huyu meya nae ni fisadi lakini ktk hili kaongea kweli kabisa angalia hapa nanukuu "kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili" hapo kwenye red ana maana baadhi yao na hiyo ni kweli kwani ni ukweli kuwa wabunge kwa ujumla wao wamegawanyika kwa kulingana na grade zifuatazo
- WABUNGE WOTE WA CHADEMA WANAFIKIRI KWA KUTUMIA UBUNGO TENA WA MBELE
- ASILIMIA 50 YA WABUNGE WA VYAMA VILIVOSALIA VYA UPINZANI WANATUMIA AKILI
- ASILIMIA 5 YA WABUNGE CCM WANATUMIA BUSARA
- ASILIMIA 65 YA WABUNGE CCM WANATUMIA MATUMBO
- ASILIMIA 30 YA WABUNGE CCM WANATUMIA MAKALIO

"changes begins wt u"
 
masaburi ametumia lugha kali na imewaudhi sana wabunge wa dar ila huo ndio ukweli,bigup sana masauri matukane tena ili siku zijazo watumie akili
 
faizafox sijui yuko wapi leo,yeye sijui huwa anafikiri kwa nini
anafikiria kwa kutumia makalio naye yule.. leo hayupo hapa .. hana mafuta ya kwenda kazini uvccm kwenye internet ..kazi yake ni kujibizana an watu hapa JF
 
Iundwe tume kuchunguza hili suala kwa wale watakaobisha kuwa hawafikirii kwa kutumia makalio uchunguzi wa kina ufanyike kwenye makalio yao ili kuthibisha vinginevyo, tunaomba ushirikiano wao.
 
makalio! yaani ******? Wengine si ajabu wanatumia moja tu la kushoto? Ila jamaa kawapatia sana haiwezekani wao wafanye ufisadi halafu jamaa anawaangalia wakati yeye anafanya wanajifanya wanakoroma sasa huko si ndo kufikiria kwa kutumia ******! Ooh sorry sio ****** ni makalio
 
jamani je waheshimiwa wanaolala ni kiungo gani kinakuwa busy nadhani ni hiki kilichotajwa na mstahiki teetee hee waheshimiwa kwanini mmepanda ndege ya barrick kweli mmetumia busara?
 
hahahahaaaaaaaaaa leo ndio makalio ya huyu jamaa yamemtuma kuongea hivyo mjengoni!!!!!!!
Mpaka miaka mitano iishe kazi ipo
 
Iundwe tume kuchunguza hili suala kwa wale watakaobisha kuwa hawafikirii kwa kutumia makalio uchunguzi wa kina ufanyike kwenye makalio yao ili kuthibisha vinginevyo, tunaomba ushirikiano wao.
<br />
<br />
uchunguzi wa kina kwenye makalio!!?mi simo
 
jamani je waheshimiwa wanaolala ni kiungo gani kinakuwa busy nadhani ni hiki kilichotajwa na mstahiki teetee hee waheshimiwa kwanini mmepanda ndege ya barrick kweli mmetumia busara?
<br />
<br />
hahaha wametumia makalio kweli kabisa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom