huyu ndiye mhe LEMA JE ANAFAA KUWA KIONGOZI?

Mwanaone jisafishe kwanza wewe maana uko kwenye mission maalumu tulishakufahamu siku nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,mchonganishi weye
 
Ndugu kama nasema uwongo ni tatizo lkn kama nasema ukweli sio tatizo wewe unachotakiwa ukanushe haya ninayosema kwa kutolea ushahidi. na JAMII FORUM SI WEBSITE YA CHADEMA.
 
Hakuna kiongozi au mtu yeyote aliye kamili duniani. Kila mtu ana udhaifu wake na huwezi kufanya kitu kwa kuogopa kwamba utakosea. Binafsi LEMA ni kati ya viongozi mahiri tunao wahitaji. Tanzania ya sasa lazima tufikie hapo ndo tutairejesha Demokrasia ya kujadili. LEMA hakopeshi na hakopesheki. LEMA songa mbele na usirudi nyuma. Nafiriki kama LEMA leo angekuwa Magufuli angejiuzulu kwa vile Mh RAIS kamwaibisha. Au la pangekuwa hapatoshi.

LEMA GO GO GO AND DONT BOW DOWN. PAMOJAH SANA. ACHANA NA MAJUNGU.

Msemaukweli atapingwana mficha maouvu
 
Hey guys acha kila kitu kifanyike kama kilivyopangwa yupo aliyesema "whatever is exllence,nam naungana naye asilimia mia.kuna wakati upumbavu unaitajika utokee ili kitu fulani kitokee mbele.kwa wenye macho ya mbele wanaona sasa kunakitu kinaitaj kitokee so lets be patient guys.not al the time is the right time to chase a fool.mwachen Lema
 
Lema Amemkaba koo kijana wao waliomtuma kuiharibu CDM sasa inabidi wamgeuzie. Sisi tunashukuru kwa mheshimiwa Lema kuwepoCDM kwani huyo kibaraka wa mafisadi aliyeuiziwa gari na RA hawezi kufurukuta tena lema akiwepo!
 
kwa hapa tulipofika, heri kumweka ngedere kutuongoza kuliko ccm...sembuse huyo lema? cha kwanza na cha msingi ccm kaa pembeni. mustakabli mwingine wa nchi tutaufanya ccm ikiwa pembeni. hakuna future ya nchi hii tukiwa bado na ccm kwenye helm
 
Unafiki unaitafuna tanzania mpaka tunatia aibu. Watumwa kama huyu mwanone ni hatari kwa taifa. Lema ni kiooo cha viongozi ambao tanzania inawataka, unafiki wa kijinga umetufikisha mbali saana na unazidi kutudhoofisha. Haiwezekani watu wanatumia kodi zetu kufanya mambo ya hovyohovyo halafu wawakilishi wetu wake kimya. Nampongeza lema na tunataka mwendo mdundo hiyo ndio chadema wanatisha mambo ya kusema funika kombe mwanaharamu apite halipo tena mbele ya chadema. Haiwezekani kufumba macho watanzania wanataabika kiasi mbaya. Lema anakubalika na atazidi kukubalika kwa sababu sio mnafiki na anasimia haki na ukweli nakukubali mbunge wa tanaznia sio arusha godbless lema kaza buti walipue bila huruma.
 
Aaah bwana we mbona unaniangusha mkuu lole,yours is a very high reputation bana! Crashwise ameweka effort kuweka wazi uhuni na unafiki wa mwanzisha mada kujaribu kuingia kwa gea ya kuwa mfuasi wa CDM katika "kukosoa" CDM ilihali ushahidi wa kimazingira unaonesha kuwa sivyo! Wengi wameandika vibaya kuhusu CDM lakini hilo si tatizo. Tatizo ni COWARD kama huyu kujifanya eti ni mwana-CDM pengine ni kwa kuogopa kushambuliwa na wana-CDM kwa "hoja" zake za ki-clouds fm. Mie nitamheshimu malaria sugu mara kumi ya cowards kama hawa!
Na hapa ndipo ninapoona upungufu wa kutumia ID fake hapa jamvini. Ina-encourage sana kuzungumza pumba humu ndani as long as unajua hata wanao hawatakujua kuwa ni wewe. Namna hii ya kutumia jamvi, kwa kuwa imeasisiwa na Tambwe nilidhani wengi wangeiona upesi. Nimekugongea senksi crashwise!
Hivi? Chadema inaongozwa na malaika? kama ni kweli tupe jibu.
Na katika orodha yako mbona huonyeshi zinazoikandia CCM kwa hivi karibuni, naambazo ni nyingi zaidi ya hizo!!
 
jibuni hoja sio mnasema mambo yasiyokuwa ya msingi DAIMA NITASIMAMIA UKWELI LEMA SIO KIONGOZI MWENYE BUSARA. CHADEMA KIDUMU DAIMA NA LEMA AJIREKEBISHE
 
Sifikirii kama Lema huwa anashirikisha ubongo wake ktk maamuzi.

Ndugu zangu ktk jambo ninaloshukuru ktk maisha yangu ni kutokuwahi kuwa CCM, siku zote ktk kipindi hiki kifupi nichobakisha ktk maisha yangu namuomba Mungu anipe umri nitakaoweza kushuhudia anguko la CCM.

Tangu zilipoanza siasa za vyama vingi nilikuwa natamani WATANGANYIKA tuwe kama WAZANZIBAR ndugu zetu wa visiwani walinifurahisha sana zilipoanza SIASA ZA VYAMA VINGI walifunguka mapema na kuona ni wakati muafaka wa KUIANGUSHA CCM japo mpaka leo wameshindwa kutokana na WIZI WA CCM.

JAPO HIVI SASA NAFURAHI WATANGANYIKA TUMEAMKA ZAIDI YA WAZANZIBAR NA NAAMINI 2015 CCM WATAKUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI. NA CHADEMA KITAKUWA CHAMA TAWALA.

Lakini ndugu nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana MAWAZIRI wetu watarajiwa kwenye SERIKALI MPYA ya CHADEMA hapo 2015. Huyu waziri wetu mtarajiwa wa MAMBO YA NDANI mheshimiwa LEMA nahisi ana walakini.

Kwangu kiongozi shupavu ni yule;

1: mwenye hekima
2:mwenye busara
3:mwenye kufikiria kabla ya kuzungumza au kutenda
4: na jasiri

Nina posema kiongozi jasiri simaanishi yule ambaye yuko tayari kupigana wakati wowote au kutukana wakati wowote kwangu mimi kiongozi JASIRI ni yule ambaye ana uwezo wa kudhibiti HASIRA ZAKE.

5: mwenye kuona mbali
6:mwenye kuwaheshimu viongozi wenzake
7:asiye na majivuno ya kuona yy pekee ndio mwenye uchungu wa nchi hii

Ktk sifa zote nilizoorozesha hapo kwangu mimi nahisi na naamini ndio kiongozi bora anatakiwa kuwa nazo lkn nina hofu itakuwaje siku mhe LEMA AKIWA NDIO RAIS WA NCHI HII AU WAZIRI MKUU WA NCHI, AU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HII AU WAZIRI WA ULINZI WA NCHI ETC

Ndugu zangu nina mashaka nae na ikiwa kama raia mwema na mpiganaji wa jeshi la wanyonge wa nchi wenye kutaka maendeleo kwa njia ya AMANI nahisi mhe LEMA inabidi apunguze HASIRA, JAZBA, KUJIFANYA YEYE PEKEE MWENYE UCHUNGU, PIA AWE MWENYE KUFIKIRIA KABLA HAJAONGEA AU AJITAHIDI KUUSHIRIKISHA UBONGO WAKE KTK MAAMUZI YAKE IKIWA HASWA YY
NI KIONGOZI PIA NI KIOO CHA JAMII.

Mheshimiwa LEMA amekuwa mara kwa mara akitaka kutumia MABAVU au amekuwa akiwashutumu au kutumia lugha mbovu dhidi ya viongozi wenzake especially kwa MHE ZITTO.

NA HIVI KARIBUNI AMEKARIRIWA AKISEMA MILANGO IFUNGWE ILI WABUNGE WAPIGANE HII NI KUONYESHA LEMA SIO JASIRI, HANA HEKIMA, HANA UVUMILIVU. N

AOGOPA SANA AKIWA YY NI RAISI ANAWEZA KUTUUINGIZA KTK MIGOGORO MINGI DUNIANI.

Mheshimiwa ajue siasa si uwanja wa FUJO siasa tunaka hoja na kuvumilana, na sio saa zote kuwashutumu wenzake kuwa ni wanatumiwa na kama ana ushahidi autoe ili wachukuliwe hatua stahiki sio kuleta shutuma zisizokuwa na msingi na umaarufu anaotaka wa fujo utamtokea puani.

Nadhani mhe LEMA utaisoma habari na utanielewa, mimi ni mfuasi mahiri wa CHADEMA NA NIMESHINDWA UVUMILIVU WA HIZI KAULI ZAKO.

IKIWA KUNA POPOTE NIMEKOSEA UTANISAMEHE USIJE UKASEMA UTANITAFUTA ILI UNIPIGE KAMA ULIVYOTAKA KUWAPIGA WABUNGE WA CCM BUNGENI.

Ndugu yangu naona umeongea kwa rivasi. Kwanza kabisa wewe ni mfuasi mwaminifu wa ccm na umeingia kwa lengo maalum. Pili sifa zote za kiongozi bora ulizozitaja (na zingine hujataja) Mhe. Lema anazo. Nimepata bahati ya kukaa na Mhe. Lema walau kwa masaa machache pale Arusha, miezi 2 baada ya uchaguzi na nimejiridhisha kwamba Mhe. Lema ni JASIRI, MUONA MBALI, ANA UPEO MKUBWA SANA WA KUFIKIRI NA KUJENGA HOJA, Kwa kifupi ana sifa zote za kiongozi. Ni mtu makini ndo maana mpaka leo Mhe. Spika anagwaya jinsi ya kuitolea maamuzi hoja yake kuhusu Waziri mkuu kusema uongo. Mbinu yako tumeitambua ya kujifanya mfuasi wa cdm ukiamini kwamba jf inamilikiwa na cdm kama wenzio wanavyoamini.
 
Lema ni mkweli, committed, na anaipenda chadema na watu wake.. anafaa sana kuwa kiongozi na nadhani hapo alipo panamfaa. Pia Lema kuna wakati anakua very emotional na kuwa easily carried away na passion to what he does, that is a strength lakini pia yaweza kutumika kama weakness,

Kwa mawazo yangu Lema ni mbunge mzuri sana, ila nadhani ingekua vyema abaki kama mbunge na kamati nyingine za chadema kama youth wing motivation au hata operesheni maalum lakini kwa sasa asiingie sana kwenye nafasi za juu au mambo ya mashirikiano na mambo ya nje

Ni personal views na nafahahmu i may differ with some
 
Unathubutu kuita hoja hivyo vikitu ulivyoandika hapo? Hoja itajibiwa kwa hoja,ila upuuzi utapuuzwa tu!
Nakushauri: mtu mzima umepewa maeneo ya kujisitiri wakati ukifanya mambo yako yale ya "ajabu". Maeneo haya ni kama vile CHOONI au CHUMBANI. Lakini kufanya mambo kama hayo mahala kama JF ni kiwango cha juu sana cha kujikosea heshima nafsi yako mwenyewe. Ndio,hakuna mtu atakayemfahamu mwanaone wa ukweli (pengine ni jirani yangu ninayemheshimu sana),lakini kule tu kuruhusu kichwa chako kipitishe upuuzi kama huu in the name of "hoja" ni kuidharau nafsi yako mwenyewe!
jibuni hoja sio mnasema mambo yasiyokuwa ya msingi DAIMA NITASIMAMIA UKWELI LEMA SIO KIONGOZI MWENYE BUSARA. CHADEMA KIDUMU DAIMA NA LEMA AJIREKEBISHE
 
Sifikirii kama Lema huwa anashirikisha ubongo wake ktk maamuzi.

Ndugu zangu ktk jambo ninaloshukuru ktk maisha yangu ni kutokuwahi kuwa CCM, siku zote ktk kipindi hiki kifupi nichobakisha ktk maisha yangu namuomba Mungu anipe umri nitakaoweza kushuhudia anguko la CCM.

Tangu zilipoanza siasa za vyama vingi nilikuwa natamani WATANGANYIKA tuwe kama WAZANZIBAR ndugu zetu wa visiwani walinifurahisha sana zilipoanza SIASA ZA VYAMA VINGI walifunguka mapema na kuona ni wakati muafaka wa KUIANGUSHA CCM japo mpaka leo wameshindwa kutokana na WIZI WA CCM.

JAPO HIVI SASA NAFURAHI WATANGANYIKA TUMEAMKA ZAIDI YA WAZANZIBAR NA NAAMINI 2015 CCM WATAKUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI. NA CHADEMA KITAKUWA CHAMA TAWALA.

Lakini ndugu nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana MAWAZIRI wetu watarajiwa kwenye SERIKALI MPYA ya CHADEMA hapo 2015. Huyu waziri wetu mtarajiwa wa MAMBO YA NDANI mheshimiwa LEMA nahisi ana walakini.

Kwangu kiongozi shupavu ni yule;

1: mwenye hekima
2:mwenye busara
3:mwenye kufikiria kabla ya kuzungumza au kutenda
4: na jasiri

Nina posema kiongozi jasiri simaanishi yule ambaye yuko tayari kupigana wakati wowote au kutukana wakati wowote kwangu mimi kiongozi JASIRI ni yule ambaye ana uwezo wa kudhibiti HASIRA ZAKE.

5: mwenye kuona mbali
6:mwenye kuwaheshimu viongozi wenzake
7:asiye na majivuno ya kuona yy pekee ndio mwenye uchungu wa nchi hii

Ktk sifa zote nilizoorozesha hapo kwangu mimi nahisi na naamini ndio kiongozi bora anatakiwa kuwa nazo lkn nina hofu itakuwaje siku mhe LEMA AKIWA NDIO RAIS WA NCHI HII AU WAZIRI MKUU WA NCHI, AU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HII AU WAZIRI WA ULINZI WA NCHI ETC

Ndugu zangu nina mashaka nae na ikiwa kama raia mwema na mpiganaji wa jeshi la wanyonge wa nchi wenye kutaka maendeleo kwa njia ya AMANI nahisi mhe LEMA inabidi apunguze HASIRA, JAZBA, KUJIFANYA YEYE PEKEE MWENYE UCHUNGU, PIA AWE MWENYE KUFIKIRIA KABLA HAJAONGEA AU AJITAHIDI KUUSHIRIKISHA UBONGO WAKE KTK MAAMUZI YAKE IKIWA HASWA YY
NI KIONGOZI PIA NI KIOO CHA JAMII.

Mheshimiwa LEMA amekuwa mara kwa mara akitaka kutumia MABAVU au amekuwa akiwashutumu au kutumia lugha mbovu dhidi ya viongozi wenzake especially kwa MHE ZITTO.

NA HIVI KARIBUNI AMEKARIRIWA AKISEMA MILANGO IFUNGWE ILI WABUNGE WAPIGANE HII NI KUONYESHA LEMA SIO JASIRI, HANA HEKIMA, HANA UVUMILIVU. N

AOGOPA SANA AKIWA YY NI RAISI ANAWEZA KUTUUINGIZA KTK MIGOGORO MINGI DUNIANI.

Mheshimiwa ajue siasa si uwanja wa FUJO siasa tunaka hoja na kuvumilana, na sio saa zote kuwashutumu wenzake kuwa ni wanatumiwa na kama ana ushahidi autoe ili wachukuliwe hatua stahiki sio kuleta shutuma zisizokuwa na msingi na umaarufu anaotaka wa fujo utamtokea puani.

Nadhani mhe LEMA utaisoma habari na utanielewa, mimi ni mfuasi mahiri wa CHADEMA NA NIMESHINDWA UVUMILIVU WA HIZI KAULI ZAKO.

IKIWA KUNA POPOTE NIMEKOSEA UTANISAMEHE USIJE UKASEMA UTANITAFUTA ILI UNIPIGE KAMA ULIVYOTAKA KUWAPIGA WABUNGE WA CCM BUNGENI.

Ndugu nimekusoma na nimekuelewa. Hii thread yako ulivyoielezea na mambo yote mazuri uliyoyaeleza ninadhani ni sifa za Mh Lema, kama nitakavyokunukuu:

Kwangu kiongozi shupavu ni yule;

1: mwenye hekima
2:mwenye busara
3:mwenye kufikiria kabla ya kuzungumza au kutenda
4: na jasiri

Nina posema kiongozi jasiri simaanishi yule ambaye yuko tayari kupigana wakati wowote au kutukana wakati wowote kwangu mimi kiongozi JASIRI ni yule ambaye ana uwezo wa kudhibiti HASIRA ZAKE.

5: mwenye kuona mbali
6:mwenye kuwaheshimu viongozi wenzake
7:asiye na majivuno ya kuona yy pekee ndio mwenye uchungu wa nchi hii

Na ndio maana watu wanampenda sana kijana LEMA kwa ujasiri wake, ukuachana na mambo yote unayo mkashifu na kumpakazia. Viongozi wetu walipofikia sasa hivi wanahitaji mikiki mikiki kwa sababu kuna tabia imeshajijenga katika jamii kama ubinafsi, utapeli, rushwa, kujilimbikizia mali na kujisahau. Kama umeshamchunguza Lema sana utaona ya kuwa hataki uonevu au kumsimanga mtu.

Tuombe mungu atupe vijana wasikivu na wapambanaji kama lema ili tanzania yetu iweze kurudi kwenye haki bila kuogopana kama hali ilivyosasa. Mi ninajua kuna watu wanataka kumdhoofisha na kumkatisha tamaa lakini vijana na watanzania wote tusikubali. Lema sio mnafiki na hafanyi mambo kinafiki ni muwazi kimaneno na kimatendo tumechoka na hizi hadithi na ngonjera za kila siku. Tanzania yetu haitajengwa na wanafiki au watu wenye bla bla kamwe. Matunda tunayoyasikia huko CCM sasa hivi ni mbegu zilizopandwa siku nyingi sasa zimeota, zikachanua na baadaye zikawa matunda ambayo tunayaona sasa. CCM wangekuwa wamezibitiana anzia mwanzo hii hali iliyopo sasa isingekuwepo. Kwa hiyo Mh Lema yupo sahihi kwa upepo uliopo Tanzania sasa hivi.:israel:
 
Hivi? Chadema inaongozwa na malaika? kama ni kweli tupe jibu.
Na katika orodha yako mbona huonyeshi zinazoikandia CCM kwa hivi karibuni, naambazo ni nyingi zaidi ya hizo!!
Nimesema za karibuni kama vipi soma upya acha kukurupuka, aliesema chadema ni malaika ni nani?...umeona kipi cha maana kwa mleta hoja kwenye topic zake zote tano, je umejipa muda kupitia mabandiko yake...mmeshindwa kukishambulia chama kama chama mmekuja na sera ya kugombanisha viongozi wetu wa CDM na kujaribu kutukagawa wanachama, wapenzi wa CDM tuko macho na nyendo zenu..siku hizi mnaingia kwa kuifagilia CDM au kuiponda CCM ili mtakapoanza kuiponda CDM tujue nyie ni wenzetu....Njoni na hoja za msingi
 
Mimi Nampenda sanj Lema kwa sababu Si mnafiki..pole Kwa Majungu ndugu
Sawa nakubaliana nawewe mkuu kuwa Mh. Lema siyo mnafiki, lakini pia ni mtu asiye na uvumilivu, subira, wala kufikiri kabla ya kusema jambo, hilo ni tatizo kubwa sana kwa kiongozi yeyote. Namfagilia sana Lema but katika kipindi hiki kifupi ameanza kunitia mashaka sana.
 
jambazi la arusha limepewa bunduki na spika ya kusemea.

huku arusha tunamjua kama jambazi aliyegeuka mwanasiasa
 
Lema ni aina ya makamanda wanaohitajika kuwasaidia watanzania kwa sasa. WEWE kidudu mtu, ni wabunge wangapi wa chama chako cha magamba ambao wameweza kusaidia jamii ilhali wapo bungeni/serikalini miaka nenda rudi?

Lema keep it up! bravoooooo! makonde yanaruhusiwa (kwa vile hamna sheria ambayo inambagua mbunge kutoka ubinadamu wake, wao pia wana machungu. kwani huku mitaani tunaruhusiwa kupigana?)ndo mana vile viti vya bunge la kenya vimefungwa kwa nati ili usiweze kunyanyua na kumtwanga mwenzio.
 
Umeshaanza Majungu..!
Wenzako tunajadili gamba na utajiri wa Riz1 wewe unajadili kuhusu watetezi wa wanyonge...!Kaazi kweli kweli..!:israel:
kuna tungo tata na semi tatanishi... ninaposoma neno "mtetezi wa wanyonge" huwa nashindwa kujua huyu mtetezi wa wanyonge ni nani haswa! kwa sababu "watetezi" wengi wa wanyonge wanaopatikana katika dunia hii ya leo ni "WATUMIA WANYONGE" kwa maslahi yao....

Wanyonge wanajulikana na wanaowatumia wanyonge pia wanajulikana... basi lazima tujue kutoimba nyimbo bali kutekeleza...
Haitokei katika dunia hii aliyewahi kutajirika akaupenda umaskini... na aliyewahi kuonja asali akatamani shubiri..
VIVYO BASI ITAMBULIKE KWAMBA WALIPOSEMA "UBEBARI NI UNYAMA" HAWAKUKOSEA... Hakuna tajiri atakaempenda maskini hata siku moja hapa duniani...

Ila ni vema wacha tukubali KUDANGANYANA ili mradi mambo yetu yanatunyookea!
Mpaka siku itakapofika tutajua nini maana ya UJAMAA
 
Back
Top Bottom