huyu ndiye mhe LEMA JE ANAFAA KUWA KIONGOZI?

Mwenye uchungu na nchi, unasema anajifanya ana uchungu. Kujifanya kunatoka wapi wewe mfuas mahiri wa CDM?
 
ukifuatilia historia yake utakuta alikuwa jambazi, matajiri wa arusha sina hamu nao!

Kwani yeye ni tajiri Arusha au mwananchi wa kawaida?? Hebu fanya utafiti wako, hata hivyo sikweli kwamba matajiri wa Arusha ni wezi hiyo itakuwa ni fikra zako tu labda uje na ushahidi ndio tutakuelewa
 
Mimi Nampenda sanj Lema kwa sababu Si mnafiki..pole Kwa Majungu ndugu

Acha uongo na majungu ni hakika mzazi kama anampenda mwanae humpa maelekezo mema na kumkanya pale anapokosea, sasa akitokea yeyote anatoa maoni yake kwa viongozi/wabunge tunaowapenda basi yeye anakuwa adui, Sasa mimi nikuhakikishie tu kwamba mwanasiasa asiyejua kutawala kinywa chake hadharani huanguka kirahisi sana, Lema ameshindwa kutawala hasira na hana subira, tunampenda na tunataka afike mbali lazima marekebisho yafanyike haraka
 
Ndg mwanaone ulichosema kuhusu lema kipo sahihi na unalenga kumsaidia yeye na chama chake,me nimekuelewa na nakubaliana nawe,.lkn humu jf wakati mwngn kunashangaza,eti mtu akitoa kasoro ya cdm au kiongozi wa cdm bs huyo mtu katumwa na ni fisadi,jaman cdm inaongozwa na watu ambao kam binadam wanaweza kukosea,tujifunze kukkukubali kukosolewa na kufanyia kazi mapungufu yet
 
Sifikirii kama lema huwa anashirikisha ubongo wake ktk maamuzi,
ndugu zangu ktk jambo ninaloshukuru ktk maisha yangu ni kutokuwahi kuwa CCM, siko zote ktk kipindi hiki kifupi nichobakisha ktk maisha YANGU namuomba Mungu anipe umri nitakaoweza kushuhudia anguko la CCM.Tangu zilipoanza siasa za vyama vingi nilikuwa natamani WATANGANYIKA tuwe kama WAZANZIBAR ndugu zetu wa visiwani walinifurahisha sana zilipoanza SIASA ZA VYAMA VINGI walifunguka mapema na kuona ni wakati muafaka wa KUIANGUSHA CCM japo mpaka leo wameshindwa kutokana na WIZI WA CCM. JAPO HIVI SASA NAFURAHI WATANGANYIKA TUMEAMKA ZAIDI YA WAZANZIBAR NA NAAMINI 2015 CCM WATAKUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI.NA CHADEMA KITAKUWA CHAMA TAWALA.

Lakini ndugu nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana MAWAZIRI wetu watarajiwa kwenye SERIKALI MPYA ya CHADEMA hapo 2015 lakini huyu WAZIRI WETU mtarajiwa wa MAMBO YA NDANI mheshimiwa LEMA nahisi ana walakini. kwangu kiongozi shupavu ni yule;

1: mwenye hekima
2:mwenye busara
3:mwenye kufikiria kabla ya kuzungumza au kutenda
4: na jasiri
ninaposema kiongozi jasiri simaanishi yule ambaye yuko tayari kupigana wakati wowote au kutukana wakati wowote kwangu mimi kiongozi JASIRI ni yule ambaye ana uwezo wa kudhibiti HASIRA ZAKE.
5: mwenye kuona mbali
6:mwenye kuwaheshimu viongozi wenzake
7:asiye na majivuno ya kuona yy pekee ndio mwenye uchungu wa nchi hii

ktk sifa zote nilizoorozesha hapo kwangu mimi nahisi na naamini ndio kiongozi bora anatakiwa kuwa nazo lkn nina hofu itakuwaje siku mhe LEMA AKIWA NDIO RAIS WA NCHI HII AU WAZIRI MKUU WA NCHII AU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HII AU WAZIRI WA ULINZI WA NCHIIA ETC
ndugu zangu nina mashaka nae na ikiwa kama raia mwema na mpiganaji wa jeshi la wanyonge wa nchi wenye kutaka maendeleo kwa njia ya AMANI nahisi mhe LEMA inabidi apunguze HASIRA, JAZBA, KUJIFANYA YYE PEKEE MWENYE UCHUNGU, PIA AWE MWENYE KUFIKIRIA KABLA HAJAONGEA AU AJITAHIDI KUUSHIRIKISHA UBONGO WAKE KTK MAAMUZI YAKE IKIWA HASWA YY NI KIONGOZI PIA NI KIOO CHA JAMII.
mheshimiwa LEMA amekuwa mara kwa mara akitaka kutumia MABAVU au amekuwa akiwashutumu au kutumia lugha mbovu dhidi ya viongozi wenzake especially kwA MHE ZITTO. NA HIVI KARIBUNI AMEKARIRIWA AKISEMA MILANGO IFUNGWE ILI WABUNGE WAPIGANE HII NI KUONYESHA LEMA SIO JASIRI, HANA HEKiMA, HANA UVUMILIVU. NAOGOPA SANA AKIWA YY NI RAISI ANAWEZA KUTUUINGIZA KTK MIGOGORO MINGI DUNIANI ,
mheshimiwa ajue siasa si uwanja wa FUJO siasa tunaka hoja na kuvumilana. na sio saa zote kuwashutumu wenzake kuwa ni wanatumiwa na kama ana ushahidi autoe ili wachukuliwe hatua stahiki sio kuleta shutuma zisizokuwa na msingi na umaarufu anaotaka wa fujo utamtokea puani. nadhani mhe LEMA utaisoma habari na utanielewa. mimi ni mfuasi mahiri wa CHADEMA NA NIMESHINDWA UVUMILIVU WA HIZI KAULI ZAKO. IKIWA KUNA POPOTE NIMEKOSEA UTANISAMEHE USIJE UKASEMA UTANITAFUTA ILI UNIPIGE KAMA ULIVYOTAKA KUWAPIGA WABUNGE WA CCM BUNGENI.

Mkuu Mwanaone pole sana kwa machungu yako ya kisiasa.
Inaelekea unapitia ile hatua ya kuchanganyikiwa inayopelekea mtu kuwa na kiwewe na kuona maluweluwe, yaani hallucinations.
Ukitaka kufa , kufa kwa utaratubu tu na haitafikia anguko la CCM kama unavyomuomba Mungu maana Yeye anasikia hata wengine na si peke yako.
Hivyo basi kufa kwa utaratibu tukuzike kwa heshima.

Sijui, tena nasema sijui wazo lako la kumfikiria Mh. Lema na Urais umelitoa wapi , yarabi!!!
Na hapo ndo naona unaota ndoto za mchana na kuona maluweluwe.
Lema na Urais ? wapi na wapi?
Ni kama mbingu na ardhi zikaishi zizi moja!
Observations zako kwa huyu Mh Lema zinaweza kuwa sahihi kabisa, lakini la kumpa dhamana ya aina yoyote nji hii, hilo wazo ONDOA.
 
Kweli CCM mnatisha yaani mmeshavamia JF kwa nguvu zote na kwa kishindo lakini mjue kuwa Kila dola ina mwisho wake na anguko la CCM liko very certain and very soon!
 
Mheshimiwa Godbless Lema ni mfano wa kuigwa na wabunge wote wa Shirikisho la Jamhuri ya Tanzania,bila kujali katoka chama gani lakini kaweza / kudiriki hata kumoonyeshea kidole waziri mkuu wa nchi bila hofu yoyote,kwahiyo ni kiongozi makini anayesimamia ukweli bila chembe ya unafiki wa aina yeyote.
Mifano hii ni nadra sana kupatikana kwenye nchi ndogo ndogo kama Tanzania kwasababu watu wengi wanakimbilia kutoa sababu zisizo na mashiko kwa mfano kuna sababu hapa eti....anajifanya yeye ana uchungu sana na hii nchi...huu ni udahifu mkubwa sana wa huyu aliyeleta hii nyuzi hapa,inaonesha wazi kuwa ana wivu tuu ambao hautusaidii bali unakatisha tamaa wapambanaji wetu ambao leo hii tunashuhudia sukari inashuka bei lakini bado watu hawajui ni nani aliyetufungua macho.
Watanzania tunatakiwa kuamka na tuwaunge mkono wapambanaji wote hawa Mh Godbless Lema na wengine wengi tuu.

My Opinion:
Mh Godble Lema anafaa kuwa Kiongozi na haitoshi kiongozi wa kuigwa,kiongozi wa mfano.
 
jamani kuweni macho naona makanjanja (ccm) yamevamia jf fujo. nadhani mwisho wao unakaribia si unajua mtu anapokaribia kufa anavyohangaika
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Ni kweli kuwa hakuna binadamu aliyekamilika.Na ni kweli kuwa Lema ana mapungufu kama binadamu na kama mwanasiasa lakini si mapungufu yote hayo yaliyoletwa na mtoa mada.Nitamtetea kwenye ujasiri.Lema ni jasiri,asingekuwa jasiri kiti cha ubunge Arusha asingeshinda,wanaJF mtakubaliana nami.

Kwa maoni yangu si vibaya kumwambia mtu mapungufu yake ili kuweka mambo kwenye mstari,lakini pia si vibaya hapo hapo akijua strongness zake ili iwe rahisi kurekebishika.
 
LEMA NI POA TUU,MANAKE TUMECHOKA NA VIONGOZI WANAOTABASAM KILA WAKATI,UPENDO WA MSHUMAA NA TUSIPOPATA RAIS JEURI NA JITU LA OVYO HATUTOKI HAPA TULIPO:brushteeth:
 
Sifikirii kama lema huwa anashirikisha ubongo wake ktk maamuzi,
ndugu zangu ktk jambo ninaloshukuru ktk maisha yangu ni kutokuwahi kuwa CCM, siko zote ktk kipindi hiki kifupi nichobakisha ktk maisha YANGU namuomba Mungu anipe umri nitakaoweza kushuhudia anguko la CCM.Tangu zilipoanza siasa za vyama vingi nilikuwa natamani WATANGANYIKA tuwe kama WAZANZIBAR ndugu zetu wa visiwani walinifurahisha sana zilipoanza SIASA ZA VYAMA VINGI walifunguka mapema na kuona ni wakati muafaka wa KUIANGUSHA CCM japo mpaka leo wameshindwa kutokana na WIZI WA CCM. JAPO HIVI SASA NAFURAHI WATANGANYIKA TUMEAMKA ZAIDI YA WAZANZIBAR NA NAAMINI 2015 CCM WATAKUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI.NA CHADEMA KITAKUWA CHAMA TAWALA.

Lakini ndugu nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana MAWAZIRI wetu watarajiwa kwenye SERIKALI MPYA ya CHADEMA hapo 2015 lakini huyu WAZIRI WETU mtarajiwa wa MAMBO YA NDANI mheshimiwa LEMA nahisi ana walakini. kwangu kiongozi shupavu ni yule;

1: mwenye hekima
2:mwenye busara
3:mwenye kufikiria kabla ya kuzungumza au kutenda
4: na jasiri
ninaposema kiongozi jasiri simaanishi yule ambaye yuko tayari kupigana wakati wowote au kutukana wakati wowote kwangu mimi kiongozi JASIRI ni yule ambaye ana uwezo wa kudhibiti HASIRA ZAKE.
5: mwenye kuona mbali
6:mwenye kuwaheshimu viongozi wenzake
7:asiye na majivuno ya kuona yy pekee ndio mwenye uchungu wa nchi hii

ktk sifa zote nilizoorozesha hapo kwangu mimi nahisi na naamini ndio kiongozi bora anatakiwa kuwa nazo lkn nina hofu itakuwaje siku mhe LEMA AKIWA NDIO RAIS WA NCHI HII AU WAZIRI MKUU WA NCHII AU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HII AU WAZIRI WA ULINZI WA NCHIIA ETC
ndugu zangu nina mashaka nae na ikiwa kama raia mwema na mpiganaji wa jeshi la wanyonge wa nchi wenye kutaka maendeleo kwa njia ya AMANI nahisi mhe LEMA inabidi apunguze HASIRA, JAZBA, KUJIFANYA YYE PEKEE MWENYE UCHUNGU, PIA AWE MWENYE KUFIKIRIA KABLA HAJAONGEA AU AJITAHIDI KUUSHIRIKISHA UBONGO WAKE KTK MAAMUZI YAKE IKIWA HASWA YY NI KIONGOZI PIA NI KIOO CHA JAMII.
mheshimiwa LEMA amekuwa mara kwa mara akitaka kutumia MABAVU au amekuwa akiwashutumu au kutumia lugha mbovu dhidi ya viongozi wenzake especially kwA MHE ZITTO. NA HIVI KARIBUNI AMEKARIRIWA AKISEMA MILANGO IFUNGWE ILI WABUNGE WAPIGANE HII NI KUONYESHA LEMA SIO JASIRI, HANA HEKiMA, HANA UVUMILIVU. NAOGOPA SANA AKIWA YY NI RAISI ANAWEZA KUTUUINGIZA KTK MIGOGORO MINGI DUNIANI ,
mheshimiwa ajue siasa si uwanja wa FUJO siasa tunaka hoja na kuvumilana. na sio saa zote kuwashutumu wenzake kuwa ni wanatumiwa na kama ana ushahidi autoe ili wachukuliwe hatua stahiki sio kuleta shutuma zisizokuwa na msingi na umaarufu anaotaka wa fujo utamtokea puani. nadhani mhe LEMA utaisoma habari na utanielewa. mimi ni mfuasi mahiri wa CHADEMA NA NIMESHINDWA UVUMILIVU WA HIZI KAULI ZAKO. IKIWA KUNA POPOTE NIMEKOSEA UTANISAMEHE USIJE UKASEMA UTANITAFUTA ILI UNIPIGE KAMA ULIVYOTAKA KUWAPIGA WABUNGE WA CCM BUNGENI.

Watu kama hawa wapo katika jamii yoyote ile! hatuwezi kukaa kama wote ni wagonjwa!wagonjwa! Lazima tuwe nao ili maisha yaende mbele. Hata sisiemu alikuwepo Makamba Katibu mstaafu aliyekuwa akijibu majibu mepesi na ya mizaha katika hoja nzito na madhubuti alizokuwa akiulizwa. Kwa hiyo Lema mfumo wake wa siasa ni safi kabisa. Mhe. Lema kaza Buti. Songa mbele.
 
Wewe umetumwa tu, mimi na rafiki zangu hatuna muda wa kushughulikia post yako acha unafiki, au umetumwa na yule mama wa arusha aliyeshindwa?
 
ukifuatilia historia yake utakuta alikuwa jambazi, matajiri wa arusha sina hamu nao!

Kama alikuwa JAMBAZI polisi jamii ya MWEMA ilikuwa wapi kumkamata???Umbeya mwingine bwana unachekesha kwerikweli!!!!
MAJAMBAZI ni VIGOGO WA CHAMA CHA MAGAMBA-CCM wanaoutuhumiwa kwa UFISADI. Je,nani jambazi kati ya LEMA na LOWASSA,CHENGE au ROSTAM AZIZ?????

CCM acheni ushabiki wa kijinga. LEMA ni kiongozi JASIRI,SHUPAVU,MAHIRI na MWENYE UPEO WA KUONA MBALI. Lema ni aina ya viongozi maarufu sana duniani kama kina STEVE BIKO waliokuwa tayari kuuawa na serikali ya Makaburu wakidai HAKI na UHURU wa WAAFRIKA.
Ndicho anachofanya LEMA pamoja na viongozi wengine wa CHADEMA.
 
kwa kweli hapa kuna unafiki mbona hii post haikotokea 3 april baada ya wewe kujiunga ila unaileta wakati umesoma kwenye magazeti alivyoongea na kukataza unafiki kwa yule kijana shupavu wa mwaka jana.
my take
nadhani wewe uko ule upande wa yule kijana mnafiki
 
mi binafsi namkubalia coz ni hajui kusema uwongo na wala si mnafiki kama viongezi wengeine,anachosema ndo anachotenda!
 
Watu wa magamba wamekuja humu lakini hawana sera mimi nahisi wanatuchefua tu hawa,mimi nawashauri warudi wakajipange upya.
 
Back
Top Bottom