Huyu ndiye atakayemuondoa bungeni Nimrod Mkono2015...

Kweli kabisa Mkuu,

Tena nasikia kuna kiongozi mmoja kijana wa upinzani ndio huwa anakula hizo hela halafu hawa madogo wanaambulia milioni mbili!!

Mkono akipata mtu serious anapigwa chini kirahisi sana!

I wonder why people can't reason kwa nini ilikuwa rahisi kwa Zitto kupata sahihi ya Mkono kwenye petition!

Na Zitto can get whatever he demands from the Mkono-like
 
Mmh! Kujipigia debe eeeh? Nenda kwa wapiga kura ukajitangaze!

yego kutiki! suala ni ukabila tu, lifawafikisha mbali huwa hawana point wanaishiwa kuomba hela tu, tuwe wakweli wana musoma hawamtaki mkono? wagombea wengi hawana ubavu na hawana cha kuwaambia wanachi cha mbdada hivi hate
chadema ili ushinde uwe na sababu au hata mkiweka mzoga basi mnataka mshinde? kama ni maendeleo chadema inayotaka kupeleka ikaktua mbgube wa ccm anafanya je kuna sababu ya kuema muondoe kwa kuwa NI WA CCM?

AU CAHDEMA NAO MNATAKA KUJA NA STAILI YA KUCHAGUA CHAMA NA SI MTU? MKIJA NA HIYO MTAPUNGUKIWA SANA NA WABUNGE 2015, watanzania wanachagua mtu na si chama mimi ninadhani huo ni mwelekeo mzuri kwa taifa? na si dominance ya chama, chadema ikija na domince ya chama mtakuwa hamana tofauti na CCM, niliwahi kusikia eti hata mkiweka JIWE ARUSHA MTASHINDA!! BE CAREFUL! TUANKIPENDA CHADEMA LAKINI SI KWA STAILI YA KUTAKA KUONDOA KILA MBUNGE WA CCM!!
 
Hongera sana kwa kutangaza nia kwa style ya uwoga hivi. Ila kabla ya kumtoa Mkono utatakiwa kufanya kazi ya kunitoa mimi kwanza katika ngazi ya chama (CHADEMA) kama utataka kugombea kwa chama chetu makini. Ni mimi kijana wa Mmazami Makutano ya juu. Fisadi Mkono lazima aondoke 2015.

David anatambua kuwa hadi sasa kuna wagombea zaidi ya 30 waliojitokeza kugombea Musoma vijijini 2015 kupitia chadema (aliambiwa na vincent nyerere wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo arumeru mashariki pale ngomeni)..David sio muoga ndio maana alipambana na goliath na kumshinda..anawasubiri uwanjani kwenye kura za maoni..yuko tayari kwa kila idara..tayari ameshaanza survey musoma vijijini kutambua mti wa matatizo (problem tree) then atafute mti wa kuondoa matatizo (solution tree),aje na objective, output na finally activities..hivi vyote vitaongozwa na strategies.David anasema bado ndo kwanza yuko kwenye preliminary stage.kabla ya survey kuanza,alianza na jografia ya musoma vijijini,distances from one kijiji to another,idadi ya watu,wanafanya nini,akina mama ni wangapi,akina baba..vijana watakaopiga kura 2015 ni wangapi na pia kufahamiana na uongozi wa chadema wilayani,wajumbe wa kamati tendaji ya wilaya na mkoa n.k...DAVID AMEJIANDAA..KAJIANDAA HASA SIO KIDOGO..
 
Hili ni Jembe kwa uhakika! Sasa namshauri ajitokezo mwenyewe hapa JF tumpe baraka na mbinu za ushindi! Asijifiche fiche akawa kama kina Sioi!

ajitokeze mara ngapi wakati ndo huyo magesa78?. huwezi kusoma hata picha nazo huoni?
 
Wewe ndo msemaji wake au wewe ndo wewe mgombea?kumbe mlijipanga Arumeru na huyo Vincent?kaka kama ni wewe jitokeze bila woga upate ushauri nasaha humu
David anatambua kuwa hadi sasa kuna wagombea zaidi ya 30 waliojitokeza kugombea Musoma vijijini 2015 kupitia chadema (aliambiwa na vincent nyerere wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo arumeru mashariki pale ngomeni)..David sio muoga ndio maana alipambana na goliath na kumshinda..anawasubiri uwanjani kwenye kura za maoni..yuko tayari kwa kila idara..tayari ameshaanza survey musoma vijijini kutambua mti wa matatizo (problem tree) then atafute mti wa kuondoa matatizo (solution tree),aje na objective, output na finally activities..hivi vyote vitaongozwa na strategies.David anasema bado ndo kwanza yuko kwenye preliminary stage.kabla ya survey kuanza,alianza na jografia ya musoma vijijini,distances from one kijiji to another,idadi ya watu,wanafanya nini,akina mama ni wangapi,akina baba..vijana watakaopiga kura 2015 ni wangapi na pia kufahamiana na uongozi wa chadema wilayani,wajumbe wa kamati tendaji ya wilaya na mkoa n.k...DAVID AMEJIANDAA..KAJIANDAA HASA SIO KIDOGO..
 
Mtu ni mtu, chama ni jumla ya watu na itikadi zao, mtu akiwa maarufu zaidi ya chama ni hatari. Mtu atachaguliwa kutokana na chama aliko, mpaka hapo tutakapokuwa na mgombea binafsi. Kiukweli ccm kwa sasa ni choka mbaya! Hukubali au huamini? Subiri 2015 tukiwa hai tutashuhudia.
 
...hizo ni ndoto...

Nani anaota mimi au wewe??

Mimi niko Musoma, nafahamu nini kinaendelea!

Maeneo ya Majita, Mugango na kwingineko kuna madiwani hadi wa CHAUSTA, UPDP, CUF n. k

Maeneo ya kwao ndio hakubaliki kama unadhani nakudanganya uliza. Watu mko blinded na Shule alizojenga ambazo asilimia kubwa ya watoto wanaosoma hapo si kutoka jamii zinazozunguka hapo.

BTW, Mkono si mwanasiasa kabisa, na hata Familia ya Mwalimu hawamkubali kiivyo akiwemo pia Chief Japhet Wanzagi...

Wanasiasa wote unaosikia wanapita bila kupingwa si wanasiasa wanaoweza himili mikiki mikiki ya majukwaani ndio maana wanategemea rushwa ili kufanikisha malengo yao wakiwemo Anna Makinda, J. Makamba, Mkono & Co.
 
I wonder why people can't reason kwa nini ilikuwa rahisi kwa Zitto kupata sahihi ya Mkono kwenye petition!

Na Zitto can get whatever he demands from the Mkono-like

Thumbs up!!

Mimi nasema hawa wanopitaga bila kupingwa ni wachovu sana kwenye siasa za kujieleza majukwaani. Na wanategemea rushwa kutimiza azma na malengo yao katika siasa. Mkono, J. Makamba & the like ukiwadondosha kwenye mpambano halali hawana chao kabisa!!
 
Lakini huyu Nimrod si yule aliyesaini form za Zitto pale Bungeni?. Kidooogo hiki kibabu nilikiona kinafaa kwa kuwa hatumii akili za Masaburi. Lakini kama kinapenda sana kutoa rushwa basi hakifai, Kitafutieni Jembe la ukweli ili mkipumzishe 2015.
ni kundi la el
 
kilowoko..magessa78 sio david kaka..picha gani hiyo umeona ukasema ni magessa78?huyu magessa78 katumwa tu aweke jamvini!
 
David anatambua kuwa hadi sasa kuna wagombea zaidi ya 30 waliojitokeza kugombea Musoma vijijini 2015 kupitia chadema (aliambiwa na vincent nyerere wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo arumeru mashariki pale ngomeni)..David sio muoga ndio maana alipambana na goliath na kumshinda..anawasubiri uwanjani kwenye kura za maoni..yuko tayari kwa kila idara..tayari ameshaanza survey musoma vijijini kutambua mti wa matatizo (problem tree) then atafute mti wa kuondoa matatizo (solution tree),aje na objective, output na finally activities..hivi vyote vitaongozwa na strategies.David anasema bado ndo kwanza yuko kwenye preliminary stage.kabla ya survey kuanza,alianza na jografia ya musoma vijijini,distances from one kijiji to another,idadi ya watu,wanafanya nini,akina mama ni wangapi,akina baba..vijana watakaopiga kura 2015 ni wangapi na pia kufahamiana na uongozi wa chadema wilayani,wajumbe wa kamati tendaji ya wilaya na mkoa n.k...DAVID AMEJIANDAA..KAJIANDAA HASA SIO KIDOGO..
ndugu yangu kwanza nikupongeze kwa kumpamba David.lkn jua musoma vijijini ni kubwa na ina wengi, kuna mdada/mama ambaye hizo data keshazitafuta tangu 2010, anajua jimbo na tayari ana mbinu nyingi za jinsi ya kuwakomboa/ kuwaelimisha jinsi ya kupambana na maisha.ACHENI KUDANGANYA WATU HAKUNA MBUNGE ANAYELETA MAENDELEO BILA WANANCHI KUJIELEWA WAFANYE NINI NA NINI MAHITAJI KTK MAISHA.MKONO KAJENGA SHULE KWA KIVULI CHA SERIKALI NA MAKANISA ANAFAIDI ZAIDI MAANA WANAJIMBO HAWAPATA ELIMU YA MATUMIZI YAKE.LEO DAVID ANA LIPI JIPYA.KM NI MTU WAKO MWAMBIE HATUTAKI DATA TUNATAKA ELIMU YA RASLIMALI NA MIKAKATI SHIRIKISHI.VINGINEVYO V.M YUPO MBIONI KUWAONDOA.NAWAKILISHA
 
amtoe kwa lipi?kwani wana musoma vijijini hawamtaki mh nkono?
Mbona jamaa huwa anapita bila kupingwa?au umetumwa wewe"yego?kutiki goh?

Usifikiri kila siku ni jumapili,sasa subiri uje ujionee kwa macho yako.
 
Hili ni Jembe kwa uhakika! Sasa namshauri ajitokezo mwenyewe hapa JF tumpe baraka na mbinu za ushindi! Asijifiche fiche akawa kama kina Sioi!

Ajitokeze mara mbili? wewe hujagundua mleta thread ndio mwenyewe read btwn the lines especially alipoandika CV yake
 
V M ndo nani? Au Vedastus Mathayo?yule aliekuwaa Mbunge wa kwanza kuanguka Tanzania?
ndugu yangu kwanza nikupongeze kwa kumpamba David.lkn jua musoma vijijini ni kubwa na ina wengi, kuna mdada/mama ambaye hizo data keshazitafuta tangu 2010, anajua jimbo na tayari ana mbinu nyingi za jinsi ya kuwakomboa/ kuwaelimisha jinsi ya kupambana na maisha.ACHENI KUDANGANYA WATU HAKUNA MBUNGE ANAYELETA MAENDELEO BILA WANANCHI KUJIELEWA WAFANYE NINI NA NINI MAHITAJI KTK MAISHA.MKONO KAJENGA SHULE KWA KIVULI CHA SERIKALI NA MAKANISA ANAFAIDI ZAIDI MAANA WANAJIMBO HAWAPATA ELIMU YA MATUMIZI YAKE.LEO DAVID ANA LIPI JIPYA.KM NI MTU WAKO MWAMBIE HATUTAKI DATA TUNATAKA ELIMU YA RASLIMALI NA MIKAKATI SHIRIKISHI.VINGINEVYO V.M YUPO MBIONI KUWAONDOA.NAWAKILISHA
 
Kamanda haya kawambie wapiga kura wako humu hawaingii Musoma vijiji hakuna umeme wala TV

Vp tena mkuu mbona unatudharau kiasi hicho?aliyekwambia hakuna umeme wala tv nani? na kwa taarifa yako mkono amefanya maeneldeo kweli kwetu hata huko kumtoa labda iwe kwa upepo wa kisiasa otherwise bado tunamhitaji sana MBUNGE WETU MHESHIMIWA NIMRODI MKONO,yaani mi mnanifurahisha kweli mnavyokiamnini chadema utafikiri hao viongozi wa chadema wenyewe wanakaa mbinguni au wana cheti cha usafi kutoka kwa Mungu.

Nadhani ufike wakati sasa tuangalie mtu na si chama!
 
wasifu wa David:ni mwanaharakati na mwanamabadiliko nchini.,ni mwanachama na mkereketwa wa CHADEMA.,ni mmoja wa viongozi wa mitandao ya jamii nchini, ni mjasiriamali na mshauri wa masuala ya kifedha,kiuchumi,kimiradi na kijamii kwa ujumla.ana elimu ya masuala ya fedha,BEDCOM (2005 UDSM) CPA (2009) na MBA (Progress to Nov. 2012 OUT),pia ana MSc PRM (2008 Israel)...to be continue

Mbona kama ni wewe mwenyewe david ndo umepost hiyo topic?vip umeoa kama bado na mimi ni mchamungu na mpenda maendeleo unaonaje?
 
Dah! kazi mnayo Magwanda maana huyo mzee hasubiri bajeti za serikali yeye shule, zahanati anajenga mwenyewe!
 
buriani ccm mwaka 2015, sipati picha wabunge wenu watakapopata shida kutafuta ubunge, na rais wenu atakapoanguka mara nyingi shinikizo la moyo kutokana na kukata tamaa. poleni...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom