Naamini HUYO BABA na yeye ni part ya tatizo,na yaelekea kama hiyo nyumba yao hakuna mawasiliano kati ya baba na mama.Lilipotokea mara ya kwanza huyo baba alitakiwa anajaribu kuwa karibu na huyo mama washauriane, Yawezekana mama ana nia nzuri ila kukosekana msaada wa mawazo wa huyo baba ndo kunachangia kushindwa kurudisha mkopo
Ni Baba wa watoto wanne wana ndoa nzuri tu. Imetokea shida ndani Mama kachukua mkopo Benki mara ya kwanza bila Mumewe kujua alikopeleka pesa anajua yeye akashindwa kulipa Benki wakaja wakabeba kila kitu mume kurudi kawa mkali kabembelezwa kakubali wakaanza upya, Mama kabadili Benk the same story wakabeba kila kitu, leo ni mara ya tatu wakaja mchana wa leo wamebeba kila kitu km kawaida kumbuka hii nayo ni Bank tofauti mzee kurudi kukuta yale yale ya kusafishiwa nyumba kamtimua mkewe yuko anaomba msaada plus msamaha arudishwe. Mie nauliza huyu Baba ana makosa kwa hili kweli? Kwangu binafsi naona yuko right....
<br /><font face="Fixedsys">Tuangalie upande wa pili wa shilingi... labda huyu mume hatimizi majukumu yake kwa mke wake... labda watoto hawaendi shule.... au hampi mkewe mahitaji extra..... tusimlaumu mama tu... inawezeka baba akawa ndiye chanzo cha matatizo yote... sidhani mwanamke akipewa mahitaji yote muhimu atakimbilia kwenye mkopo..>></font>
nyumba ukuti wa makunga,tusimuhukumu hatujui ya chini ya zulia.