Huyu mwanaume ana makosa?

Baada ya kumsaidia mumewe kujenga yeye yuko kwenye ubomoaji zaidi asije akawa anasingizia bank kumbe anayahamisha, maana wanawake wengine bana!>>>......
 
Baada ya kumsaidia mumewe kujenga yeye yuko kwenye ubomoaji zaidi asije akawa anasingizia bank kumbe anayahamisha, maana wanawake wengine bana!>>>......
<br />
<br /Ha ha inawezekana kweli kabisa....
 
Lakini pamoja na hayo jamaa angekuwa na subira na kumsamehe kwa mara ya mwisho kwa kuwa atakuwa kajifunza pia kwa masharti,
kwakuwa alimpenda ningekuwa mm aaah namsamehe kisha namtafutia mtaji ili ajitafutie coz kinachomsumbua ni ugoli kipa.
 
Naamini HUYO BABA na yeye ni part ya tatizo,na yaelekea kama hiyo nyumba yao hakuna mawasiliano kati ya baba na mama.Lilipotokea mara ya kwanza huyo baba alitakiwa anajaribu kuwa karibu na huyo mama washauriane, Yawezekana mama ana nia nzuri ila kukosekana msaada wa mawazo wa huyo baba ndo kunachangia kushindwa kurudisha mkopo

Nakuunga mkono kwenye suala la mawasiliano,huyo mume asimfukuze akae nae chini waongee tatizo hasa ni nini kisha Maisha yaendelee kumfukuza sio dawa
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ni Baba wa watoto wanne wana ndoa nzuri tu. Imetokea shida ndani Mama kachukua mkopo Benki mara ya kwanza bila Mumewe kujua alikopeleka pesa anajua yeye akashindwa kulipa Benki wakaja wakabeba kila kitu mume kurudi kawa mkali kabembelezwa kakubali wakaanza upya, Mama kabadili Benk the same story wakabeba kila kitu, leo ni mara ya tatu wakaja mchana wa leo wamebeba kila kitu km kawaida kumbuka hii nayo ni Bank tofauti mzee kurudi kukuta yale yale ya kusafishiwa nyumba kamtimua mkewe yuko anaomba msaada plus msamaha arudishwe. Mie nauliza huyu Baba ana makosa kwa hili kweli? Kwangu binafsi naona yuko right....

Kumfukuza mke atakuwa amesolve tatizo? Kwa hiyo atakuwa amewaeleza ndugu na jamaa kuwa amemfukuza mke b'se alikopa mara tatu benki bila yeye kujua? Kama mkewe aliweza kufanya haya mara tatu, mwanamke atakayemwoa ataweza kufanya hivyo pia. Tena anaweza kufanya vitu vingine ambavyo viko even worse than hiyo ya kukopa. Pia nitakuwa na wasiwasi kama baba ana uwezo wa kuwafunza vizuri watoto wake. Seriously there must be something wrong in the family. Kuna root cause iliyosababisha huyo mwanamke kukopa mara tatu. Things happens for a reason. Bahati mbaya sidhani kama kuna anayejua hiyo cause. She is the only one who might know the reason. And who knows, we might be surprised once we know it.
 
Tuangalie upande wa pili wa shilingi... labda huyu mume hatimizi majukumu yake kwa mke wake... labda watoto hawaendi shule.... au hampi mkewe mahitaji extra..... tusimlaumu mama tu... inawezeka baba akawa ndiye chanzo cha matatizo yote... sidhani mwanamke akipewa mahitaji yote muhimu atakimbilia kwenye mkopo..>>
 
<font face="Fixedsys">Tuangalie upande wa pili wa shilingi... labda huyu mume hatimizi majukumu yake kwa mke wake... labda watoto hawaendi shule.... au hampi mkewe mahitaji extra..... tusimlaumu mama tu... inawezeka baba akawa ndiye chanzo cha matatizo yote... sidhani mwanamke akipewa mahitaji yote muhimu atakimbilia kwenye mkopo..&gt;&gt;</font>
<br />
<br />
Kwa taarifa nilizopata jana ni kwamba mama kajieleza kuwa mkopo wa kwanza alimjengea nyumba mama yake kijijini, wa pili kalipia ada ya mdogo wake university, wa tatu kalipa ada ya mdogo wake, mwanaume kamuuliza miaka yote hiyo nimeishi na wewe kwa nini umeshindwa kuniambia yote haya?! Sitaki utetezi wa kijinga pumzika kwenu ukiamua kuja kuniambia ukweli ndo uje unambie
 
baba hana makosa yeyote coz alisha msamehe mara ya kwanza so kazoea bora tu amtimue vinginevyo atakua *****
 
kwan huyu mwanamke pesa alikuwa anatumia na nan cmume wake hvyo huyu mwanaume hakupaswa kumtimua bal alitakiwa amvumilie kama alivyokuwa unatumianae hzo pesa sawaaaa
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom