Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,995
- 775
Wapenda sifa weye!
Kwene meli anaingia amesimama, sio lazima ndege.
Alikunjwa akawekwa kwenye gunia kichwa kikatolewa nje ili apumue vizuri.
Alikatwakatwa.
Mijitu mingine ni mijinga sana. Hivi wewe unaviona videge vikiruka juu, unafikiri ni kama kunguru zile?
Alikatwakatwa.
Mijitu mingine ni mijinga sana. Hivi wewe unaviona videge vikiruka juu, unafikiri ni kama kunguru zile?
:nerdaah umesema ya ukweli kabisa. kuna midege inabeba hata semi nzima nzima. hamkuona yale yalileta mitambo ya dowans hapo Dar?!
Mkuu heri hata umemwelewesha....yaani anafananisha mita 4 ya kontena na urefu wa twigaSasa wewe ndio jinga lenyewe hasa. Hapa concern ya mtoa mada haikuwa ukubwa wa twiga bali urefu wake. Sasa kwa ujinga wako unaona umeongea bonge la point kwa kulinganisha twiga (4.5m) na semi trailer (2.6m)
Alikatwakatwa.
Mijitu mingine ni mijinga sana. Hivi wewe unaviona videge vikiruka juu, unafikiri ni kama kunguru zile?
Mkuu nadhani hapo ni kweli,sindano ndo itakuwa imetumika,mafisadi wana mbinu nyingi
lilipelekwa yai, kuku akalilalia...
Twiga wote wanaosafirishwa duniani wanapitia KIA. Lovely.Mv nini hiyo inayo-dock KIA???
mbona unatoa povu au wewe ndo umemsafirisha nini