Huyu mnyama alieneaje ndani ya ndege?

walivunja míguu na alipofika wakamvalisha ya bandia. Chezea mafisad wewe!
 
haahahah nimekumbuka kipande cha mr 2 bungeni .. labda walitoboa ndege
 
Maswali ni mengi kuliko majibu,ila watakuwa walimpiga sindano ya usingizi wakamlaza
 
Maswali ni mengi kuliko majibu,ila watakuwa walimpiga sindano ya usingizi wakamlaza

Mkuu nadhani hapo ni kweli,sindano ndo itakuwa imetumika,mafisadi wana mbinu nyingi
 
mbona unatoa povu au wewe ndo umemsafirisha nini

Mimi nimeshasafirisha wengi sana kabla ya huyo. Kihalali kabisa na vibali vyote na chanjo zote a Serikali nimewapiga, si huyo tu, nimeshasafirisha hata binaadam (manpower recruiter au modern slavery agency) na nna baraka zote za Kimataifa kwa hilo na wewe ukipenda sema tu ntakupeleka kwa watu wanaolipa ukifanya kazi.
 
hujielewi na wala huoni aibu kwa pumba unazoongea
 
hujielewi na wala huoni aibu kwa pumba unazoongea

Pumba zipi, madudu wafanye wanaotoa vibali, nyinyi mlalamikie msafirishaji.

Airport hazina ulinzi? wacheeni ujinga, fuguweni macho na mawazo. Mnananunulika kwa thamani ndogo sana kwa sababu ya starehe na kujionesha kuwa na mimi nimefanya hivi na vile.

Kuna wizi na wapokea rushwa nchii hii zaidi ya TRA? niambie ni nani waliojazana huko.
 
Back
Top Bottom