Huyu mnyama alieneaje ndani ya ndege?

Alikunjwa akawekwa kwenye gunia kichwa kikatolewa nje ili apumue vizuri.

Watu wengine bila kuchekesha wenzao hawana raha!!!


Anapigwa nusu kaputi ya masaa kadhaa kulingana na muda ambao ndege itakuwa angani.

Then analazwa vizuri ili atoshe mahali palipoandaliwa ndegeni.
 
Alikatwakatwa.

Mijitu mingine ni mijinga sana. Hivi wewe unaviona videge vikiruka juu, unafikiri ni kama kunguru zile?

:nerd:Daah umesema ya ukweli kabisa. kuna midege inabeba hata semi nzima nzima. hamkuona yale yalileta mitambo ya dowans hapo Dar?!
 
Alikatwakatwa.

Mijitu mingine ni mijinga sana. Hivi wewe unaviona videge vikiruka juu, unafikiri ni kama kunguru zile?

Hakuna haja ya kutukana mama ni swala la vipimo tu. Kama unaelewa urefu wa twiga na height ya cargo jet unaweza kutoa ushuhuda lkn sio kutukana. Kama bado una hasira nitukane na mimi
 
:nerd:Daah umesema ya ukweli kabisa. kuna midege inabeba hata semi nzima nzima. hamkuona yale yalileta mitambo ya dowans hapo Dar?!

Sasa wewe ndio jinga lenyewe hasa. Hapa concern ya mtoa mada haikuwa ukubwa wa twiga bali urefu wake. Sasa kwa ujinga wako unaona umeongea bonge la point kwa kulinganisha twiga (4.5m) na semi trailer (2.6m)
 
Sasa wewe ndio jinga lenyewe hasa. Hapa concern ya mtoa mada haikuwa ukubwa wa twiga bali urefu wake. Sasa kwa ujinga wako unaona umeongea bonge la point kwa kulinganisha twiga (4.5m) na semi trailer (2.6m)
Mkuu heri hata umemwelewesha....yaani anafananisha mita 4 ya kontena na urefu wa twiga
 
Q1. How do you get a giraffe into a plane?

The correct answer is: Open the plane’s door, put in the giraffe, and close the door.
This question tests whether you tend to do simple things in an overly complicated way.

Q2. How do you get an elephant into a plane?

Did you say, Open the plane’s door, put in the elephant and close the door?
Wrong Answer.
Correct Answer: Open the plane’s door, take out the giraffe, put in the elephant and close the door.
This tests your ability to think through the repercussions of your previous actions.

Kama ikishindikana kabisa:

 
Last edited by a moderator:
Mkuu Excellent , wewe unajiuliza hivyo tu .... hawa penye nia pana njia
Excellent Zamaulid Song%EDto Ribosome BPM Njowepo Kinyungu MNYISANZU Preta tedo MadameX King2 Mbimbinho

Hata kwenye mito na maziwa huwa wanavushwa!

twiga_2.jpg


twiga_a.jpg



Ila huwa wanapakiwa kwenye Cages ambazo zinakaa vizuri kabisa katika Cargo planes Bila wasiwasi

twiga_5.jpg


Sasa kwa kawaida hizi Cargo planes huwa ni kubwa sana kama zinaweza kubeba Magari makubwa ya mizigo & containers - so kwa upande wa Twiga ni kitu kidogo sana! ... tena ambae yupo kwenye Cage!​

url


url





Na mwishoni alikuwa ndani ya ndege! ... (hii ya mwisho it's just a joke!)

twiga_1_a.jpg



 
Last edited by a moderator:
Mkuu nadhani hapo ni kweli,sindano ndo itakuwa imetumika,mafisadi wana mbinu nyingi

Kama ilikuwa sindano, basi ujuwe viwanja vya ndege vya Tanzania havina ulinzi wala uwajibikaji.

Katika kanuni za kusafirisha wanyama hai, hairuhusiwi kusafirishwa mnyama aliyelala, amma usingizi wa Sindano amma usingizi wa kawaida. Pia hairuhusiwi kusafirisha mnyama mgonjwa.

Kama haikutuwa ndege Kubwa na kuwachukuwa hao Twiga basi usafiirishaji hai ilikuwa ni uongo! Walisafirishwa baada ya kukatwakatwa kama nyama.

Nna uhakika imetuwa ndege kubwa ya uwezo wa kubeba Twiga na ilipewa idhini zote na wapuuzi na wapumbavu wachache, wa TRA, Airport Security, Idara ya Wanyama pori, Agents wa hiyo ndege na management ya uwanja waliposafirishwa hao Twiga na wafanyakazi wote waliokuwapo maeneo hayo saa hizo (kasoro ni wale tu waliotowa taarifa).

Wote hao wawajibishwe. Unless waoneshe kuwa walitishiwa kupoteza maisha yao wasiporuhusu kusafirishwa hao Twiga (hapa sasa iingizeni Al Qaeda).

Kwa kifupi, Maige ni Muhanga.
 
Mnisamehe kwa kUwahamisha kidogo lakini haTa mimi huwa najiuliza JK anatoshaje IKLULU
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom