Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,240
- 12,762
Nchi nyingi huwa na ndege, mnyama, mdudu, ua, mti. . . Vya taifa. Mnyama wa taifa la Tanzania anajulikana ni twiga ila hivyo vingine havijulikani au labda havipo. Katika kusearch ndege wa taifa la Tanzania nikakutana na bundi wa Usambara(Usambara Owl-Eagle) wanasema ndiyo ndege wa taifa la Tanzania. Bundi huyu anapatikana kwenye milima ya Usambara tu.
Ni kweli ndiyo ndege wa Taifa?
NB: Ni wakati wa kupata viumbe wa taifa kama hatuna. Faida yake kubwa ipo kwenye utalii.
Ni kweli ndiyo ndege wa Taifa?
NB: Ni wakati wa kupata viumbe wa taifa kama hatuna. Faida yake kubwa ipo kwenye utalii.