EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,093
kama unataka kula lazima ukubali kuliwa c unautaka umiss bwana!!
Halafu kama unafanana na hicho ki avatar chako nahisi nawe ushapita huko si ndio eeh?So hapo anafanya assesment? The sad part is, anawapitia dada wa watu tofauti tofauti wanakuwa so sure that ye ndo mshindi at the end of the day anashinda mwingine ye anaishia kuzimia on stage!!
Nashukuru sana mkuu, hope we ndio PR wa hoteli au wahusika wenyewehapana hii kitu ilikwisha tolewa maelezo!
huyu jamaa na huyo binti hapo pichani walikuwa wanatengeneza tangazo la hotel moja Jijini,baadaye magazeti ya udaku yakaitumia visivyo.Ni picha halisi lakini haikuwa katika mambo ya kingono.
Huyu jamaa ni bosi wa mashindano fulani makubwa tu ya urembo nchini na haka kabinti inasemekana kalikuwa kashiriki ka mashindano hayo mwaka huu. Huyu jamaa hivi karibuni alikumbana na kadhaa ya kupokea kichapo ukumbini kule Dom, swali ni kwamba ndio anamfanyia judgement huyu binti ama!!!!?
View attachment 44358
kama unataka kula lazima ukubali kuliwa c unautaka umiss bwana!!