Huyu Bosi wa MAMISS vIPI!!!!

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,090
Huyu jamaa ni bosi wa mashindano fulani makubwa tu ya urembo nchini na haka kabinti inasemekana kalikuwa kashiriki ka mashindano hayo mwaka huu. Huyu jamaa hivi karibuni alikumbana na kadhaa ya kupokea kichapo ukumbini kule Dom, swali ni kwamba ndio anamfanyia judgement huyu binti ama!!!!?

attachment.php

missutalii.jpg
 
Nawasikitikia sana dada zangu wanaoshiriki haya mashindano. Wengi managawa uroda kwa kudhani watashinda.
 
kazi ipo wakianza kuhara ndo watatia akili
jitu linawagonga hawa kinadada
kila mwaka tena wapya
na wanakotoka hajui
starehe za dakika 3 zitamkomesha

anafanyia gizani lakini
ataharia juani pambav zake na hao wanaokubali
kugegedwa kwa ajili ya
vizawadi vya computer
na tv za kichina ambazo muda mwingine hata hawapewi
inakuwa stori na wanafanywa kitu mbaya
kama unataka kula lazima ukubali kuliwa c unautaka umiss bwana!!
 
So hapo anafanya assesment? The sad part is, anawapitia dada wa watu tofauti tofauti wanakuwa so sure that ye ndo mshindi at the end of the day anashinda mwingine ye anaishia kuzimia on stage!!
 
Shughuli kweli
 
Kwani anawabaka???????????????. Hakuna tatizo lolote.

Mtoto akililia wembe unampa
 
So hapo anafanya assesment? The sad part is, anawapitia dada wa watu tofauti tofauti wanakuwa so sure that ye ndo mshindi at the end of the day anashinda mwingine ye anaishia kuzimia on stage!!
Halafu kama unafanana na hicho ki avatar chako nahisi nawe ushapita huko si ndio eeh?
 
hapana hii kitu ilikwisha tolewa maelezo!

huyu jamaa na huyo binti hapo pichani walikuwa wanatengeneza tangazo la hotel moja Jijini,baadaye magazeti ya udaku yakaitumia visivyo.Ni picha halisi lakini haikuwa katika mambo ya kingono.
 
Nashukuru sana mkuu, hope we ndio PR wa hoteli au wahusika wenyewe
 
Huyu jamaa ni bosi wa mashindano fulani makubwa tu ya urembo nchini na haka kabinti inasemekana kalikuwa kashiriki ka mashindano hayo mwaka huu. Huyu jamaa hivi karibuni alikumbana na kadhaa ya kupokea kichapo ukumbini kule Dom, swali ni kwamba ndio anamfanyia judgement huyu binti ama!!!!?

attachment.php

View attachment 44358

Binti mwenyewe katuliaa! Kama kahaidiwa kitu vile
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom