Huyu binti JF kauteka moyo wangu nipeni maujanja ya kumtongoza

Mkuu hii imenitekenya sana!!!
Ila kaza buti ataingia laini bado anakupimia ustaimilivu wako pia!!
Alafu ww dada mbona huna huruma!!? Huoni ukiendelea kuwa kimya jamaa anaweza kwenda "Iringa na kamba!!?"
ha ha ha haaa!

mkuu naomba mistali miwili ya kumchomekea kwenye maongezi naona popobawa kaishiwa mistali kabisa. Mia
 
figganigga, ushatongoza mademu kibao hapa jf na huko mtaani, sasa kipi kigeni kwako hadi anakushinda maujanja huyo wa sasa hivi???

hawawezi kwenda that low kuomba vocha,if it is something bigger like a dar/zurich return ticket hapo i will understand

tuyaache hayo. coz hajaniomba vocha ili ndo anipe penzi. nimeongea hivyo kuonyesha ukaribu tulio nao. wewe kama una mistali ya kutongozea nimwagie hapa laki isiwe ile ya nimekunywa maji nikakuona kwenye glass. mia
 
mkuu naomba mistali miwili ya kumchomekea kwenye maongezi naona popobawa kaishiwa mistali kabisa. Mia
Mwambie peponi unaiona kwenye paji lake, wakati huo unaweka tabasamu zaidi ya lile la mkulu wakati wa kutetea wezi wa EPA!!
Ha ha ha Figga bana!!
 
mkuu naomba mistali miwili ya kumchomekea kwenye maongezi naona popobawa kaishiwa mistali kabisa. Mia
Mwambie peponi unaiona kwenye paji lake, wakati huo unaweka tabasamu zaidi ya lile la mkulu wakati wa kutetea wezi wa EPA!! Popobawa hawezi kukupa mistari anahofia atakosa kampani ya kwenda maeneo!!
Ha ha ha Figga bana!!
 
Pole sn mzee wa mia,h ope mpaka mda huu kwa maombolezo yako haya atakua keshakuckia,jaman ww dada popote ulipo ckia na kupokea kilio cha kijana wetu mkubalie ombi lake apate tulia,mia.
 
Mzee wa mia mwenyewe kajichanganya bana, penzi halijakubaliwa anamwaga vocha, likikubaliwa si atanunua ndege?..lol.

mwenzangu. nimejarbu kumfanyia niwezacho ili awe wangu lakini imeshindikana. Mia
 
Yeye si anakuita mzee wa totoz. Mfanye aamini kwamba she's the only one for you by letting the whole JF world know what she means to you and who she is... Usipom acknowledge atahisi wapo wengi unaowafatilia kwa style hiyo hiyo...
 
tuyaache hayo. coz hajaniomba vocha ili ndo anipe penzi. nimeongea hivyo kuonyesha ukaribu tulio nao. wewe kama una mistali ya kutongozea nimwagie hapa laki isiwe ile ya nimekunywa maji nikakuona kwenye glass. mia
Mpe invitation ya kwenye candle lit dinner,hapo hata mistari huhitaji tena-from then on itakuwa kama kumsukuma mlevi
 
Mkono mtupu haulambwi. Peleka posa na bahasha nono kwa wazee wake. Millioni. (Mia haifanyi kazi hapo).

angeniambia hivyo ningefurahi sana. mimi staki kumchezea. nachotaka ni kuoa kabisa sababu huu siyo wakati wa kubadilisha wanawake. unatafuta mmoja umpendae unatulia. Mia
 
Back
Top Bottom