Huyu binti JF kauteka moyo wangu nipeni maujanja ya kumtongoza

Kabla hujafika mi nishatakutangulia, yaani hapa anawachora tu we na figga then anacheeeeka!! Kasema hajibu mpaka aunt yake aje! Lol

inawezekana mkuu. ameniambia niache kilaji nikakubali, akasema nisiwe naenda club nikakubali, akasema nitulie nisiwe nawafokea na kutukanana jf nikakubali. lakini yote hayo hataki kunikubalia ombi langu. tangu mwezi may mwaka jana ananiambia bado ananisoma lakini siamini. Mia
 
figganigga, ushatongoza mademu kibao hapa jf na huko mtaani, sasa kipi kigeni kwako hadi anakushinda maujanja huyo wa sasa hivi???


ni kweli mkuu, lakini kwa huyu nimeshindwa. nimejaribu kumtumia card za mapenzi, dedication za nyimbo za wakina jeniffer Lopez hadi ule wa "when i need you...just close my eyes.." na ule wa my "heart will go on" lakini wapi. nimemwimbia hadi ule wimbo wa ratipha wa mb doggy. Mia
 
habari wakuu. nipeni maujanja ya kutongoza ili nimiliki kifaa.
yaani ni mjanja kinyama. kila ninapo msomesha ananiambia hadanganyiki, nikimsomesha ananiambia eti mimi mzee wa mia ni mzee wa totoz, nmejaribu kujipendekeza kwa kutuma vocha lakini hata asante hasemi. mara aseme yupo busy wakati mda wote namuona jf. hadi hapa kashajijua ni nani. nitumie nafasi hii kumwambia; "nakupenda sana binti. wewe ndo wakunipa faraja. naahidi naahidi kutunza penzi lako na kulienzi. sitakuumiza. Mmwaaa..!!". mia[/Q

Kila nilalapo nakuota wewe kimwana,ninywapo maji nakuona ktk glass,ni kheri wewe mpenzi ulie mbari na upeo wa macho yangu
hakika kila nikila chakula sishibi nakuwaza kipenzi mwenye shingo ya upanga.mwendo wako wa hesabu,sitoweza kungoja kipenzi


lazima aingie king mzee
 
Mwambie peponi unaiona kwenye paji lake, wakati huo unaweka tabasamu zaidi ya lile la mkulu wakati wa kutetea wezi wa EPA!!
Ha ha ha Figga bana!!

hiyo nimeipenda mkuu. hata yeye naamini kaipenda. mimi nlimwambia hivi "hata njiwa wanaruka wawili waili, kumbi kumbi wanatembea wawili wawili njoo kwangu tutembee wawili wawili ili tusuzidiwe busara na wadudu" akaniambia a atanifikilia lakini gafla kanigeuka eti nina maneno mengi anaogopa. Mia
 
jifanye comedian mchekesheeeee ataingia laini tu.tehe teheeeeeeeeeeee

aliniambia eti hadanganyiki. hataki hata tuonane, anasema tukionana. mi nlikuwa nmepanga kama tukionana nimpe tabasamu moja matata hadi aseme kwa sauti yake nyororo"FIGGANIGGA OMBI LAKO MOYONI NMERIDHIA".watu weweeee...!!!. Mia
 
Pole sn mzee wa mia,h ope mpaka mda huu kwa maombolezo yako haya atakua keshakuckia,jaman ww dada popote ulipo ckia na kupokea kilio cha kijana wetu mkubalie ombi lake apate tulia,mia.

asante sana Mkuu. bila shaka kaskia na atalifanyia kazi. nashangaa hata hajachangia kitu. hii ina maana ujumbe umemfikia. mkuu unaweza nipa neno moja zuri la kumwambia? Mia
 
Yeye si anakuita mzee wa totoz. Mfanye aamini kwamba she's the only one for you by letting the whole JF world know what she means to you and who she is... Usipom acknowledge atahisi wapo wengi unaowafatilia kwa style hiyo hiyo...

nimejaribu kumuelekeza lakini wapi. eti mimi nina totoz wengi jf hadi anathubutu kumtaja xg wakati mimi hata sijawahi mtongoza. kinacho niuma zaidi ni pale ninapo mpm asinijibu. Mia
 
Mpe invitation ya kwenye candle lit dinner,hapo hata mistari huhitaji tena-from then on itakuwa kama kumsukuma mlevi

hii nmeikubali. halafu mnakaa mumetizamana huku mkilishana chakula na kunyweshana kinywaji. dah! hadi raha. sijui kama atanikubalia. ntajitahidi. Mia
 
Kama huyo kazidisha mappozz, si utangaze nia kwingine? Mbona bado wako wengi ?
 
asante sana Mkuu. bila shaka kaskia na atalifanyia kazi. nashangaa hata hajachangia kitu. hii ina maana ujumbe umemfikia. mkuu unaweza nipa neno moja zuri la kumwambia? Mia

Nahic atakua anashindwa kutofautisha maisha yako ya jf na uhalisia wako,nakushauri mwonyeshe huo utofauti ili amin kile unachomwambia na akukubalie ombi lako!onyesha hica zako kwa vitendo keshachoka maneno mwenzio!
 
Nakupenda pia mpenzi mwaa, 2ma vocha tena darlin, afu ni2mie lak kwa mpesa ya shopin..lol
 
Figganigga leo kafunguka....:lol:!

Nina wasiwasi unahudumia mkaka mwenzio......wewe hujajua watu wanajua kuigiza kwelikweli.....utadanganywa na sauti nyoyoro...POLE
 
nimejaribu kumuelekeza lakini wapi. eti mimi nina totoz wengi jf hadi anathubutu kumtaja xg wakati mimi hata sijawahi mtongoza. kinacho niuma zaidi ni pale ninapo mpm asinijibu. Mia

Duh kamtaja mpaka xg? Mbona yalishapita hayo...hivi hajui kama huwa hauwafuati ila wanakufuata lol... Si unajua she doesnt like pressures.. Yule anapenda mambo yaende slow step by step.. Be patient..
 
Back
Top Bottom