Huyu binti JF kauteka moyo wangu nipeni maujanja ya kumtongoza

wakati wote unamuona JF,anaweza kuwa ni kidume,no wonder anakuchunia,duuh hata vocha unamtumia????

ee mtu wangu hata vocha natuma. huwa ananitext eti figga eeh nimefulia mshikaji, ntumie hata vocha basi. mi natuma lakini cha ajabu hata simuingii kichwani. Mia
 
hadi tunaongea kwenye simu, tumesha peana account za fb. lakini anaruka mitego kinoumer. nimetumia ujanja wangu wote lakini wapi. mimi siwezi kutongoza dume coz hadi nmtongoze nakuwa nimemfanyia uchunguzi wa hali ya juu ikiwemo kumtukana ili nione ustahimilivu wake na ni jinsi gani amekomaa kiakili. Mia

Kwa hiyo ukishang'oa kule temeke sudani 2takua ha2endi tena? Hundred.
 
ee mtu wangu hata vocha natuma. huwa ananitext eti figga eeh nimefulia mshikaji, ntumie hata vocha basi. mi natuma lakini cha ajabu hata simuingii kichwani. Mia
Hapa naona unatuletea fibes,mimi siamini kama humu JF KUNA mwanadada wa kuomba vocha,waliomo humu are bigger then that
 
Back
Top Bottom