Huyu binti JF kauteka moyo wangu nipeni maujanja ya kumtongoza

Mkuu wewe unanidanganya. unataka nianze kutapatapa nikose pote. siku ile nilikuomba nizae na wewe ukakataa, ukasema eti unaye wa kwako. eti unampenda sana. yeye ana mtoto tayari lakini wewe huna. nikakubembeleza nikuzalishe lakini ukantolea nje. leo kweli umenipenda au unantania. mwenzio nahitaji kuanza maisha ya ndoa so nipo serious kama vipi sema nibadilishe mawazo kama. tunaandikishana kwa invisible kabisa kama ukinikimbia unanilapa inakula kwako. Mia

kweli baby nakwambia,nakupenda sana tu.Tatizo wee ulikuwa unantania
 
huyo mimi nimemuweka kiganjani. hata leo nitume nikuunganishie. pm moja tu mambo yanatiki. upo serious au na wewe ni wale wa kuharibu dada zetu?sema bana. Mia

Mi nina nia ya kukusaisia kumpata huyo mrembo wako F...
Ila nipe profile yake ya JF.. ID acha..
 
habari wakuu. nipeni maujanja ya kutongoza ili nimiliki kifaa.
yaani ni mjanja kinyama. kila ninapo msomesha ananiambia hadanganyiki, nikimsomesha ananiambia eti mimi mzee wa mia ni mzee wa totoz, nmejaribu kujipendekeza kwa kutuma vocha lakini hata asante hasemi. mara aseme yupo busy wakati mda wote namuona jf. hadi hapa kashajijua ni nani. nitumie nafasi hii kumwambia; "nakupenda sana binti. wewe ndo wakunipa faraja. naahidi naahidi kutunza penzi lako na kulienzi. sitakuumiza. Mmwaaa..!!". mia
Huyo demu hadi nyani ngabu kapita Mkuu pamoja na Asprin kiufupi sio mchoyo
 
Tumia pythegorus theory au Quadratic equation kwa mda wa wiki moja tuu.

Utakuja kutoa ushuhuda hapa naamini!
 
habari wakuu. nipeni maujanja ya kutongoza ili nimiliki kifaa.
yaani ni mjanja kinyama. kila ninapo msomesha ananiambia hadanganyiki, nikimsomesha ananiambia eti mimi mzee wa mia ni mzee wa totoz, nmejaribu kujipendekeza kwa kutuma vocha lakini hata asante hasemi. mara aseme yupo busy wakati mda wote namuona jf. hadi hapa kashajijua ni nani. nitumie nafasi hii kumwambia; "nakupenda sana binti. wewe ndo wakunipa faraja. naahidi naahidi kutunza penzi lako na kulienzi. sitakuumiza. Mmwaaa..!!". mia
Nenda kwao

nafight with my weather
 
Back
Top Bottom