Huyu binti JF kauteka moyo wangu nipeni maujanja ya kumtongoza

Kumbe ulimtukana...! Labda bado ana maumivu ya mitusi yako. Mia!!

mkuu ndo maana nikampenda kwa sababu ni mstahimilivu na hata hana maneno machafu. siwezi mtaja jina coz wengi hapa mnamjua. anakaa hukooooo. siyo dar. Mia
 
Kwa hiyo ukishang'oa kule temeke sudani 2takua ha2endi tena? Hundred.

wakuu mimi naomba munipe maunjanja ya kutongoza. mbona unaniangusha popobawa? kwani mimi nlienda lini huko unako kusema? mimi sipajui bana. nipe maujanja mkuu. Mia
 
Ngoja nikamtafute aje hapa ajibu mashitaka...mia

au siyo? ntashukuru sana. naamin utafanikiwa coz ni rafiki yako. mwambie asahau yaliyo pita tugange yajayo. mimi figganigga nimebadilika na kuwa mtoto mzuri tofauti na yule figganigga wa mwaka jana naomba umwambie arudishe moyo nyuma. Mia
 
Hapa naona unatuletea fibes,mimi siamini kama humu JF KUNA mwanadada wa kuomba vocha,waliomo humu are bigger then that

mtu anakuwa na vx100 lakini bado anaomba spana. jf ni ya wabongo je wajua maisha ya wabongo?. kama mimi ni mtoto wa mkulima sijui wewe. Mia
 
Lizzy anaweza kunijaza makovu mwili mzima coz ana hasira kinyama. ukileta matani na penzi lake anaweza kukutoa roho. watu wa hivyo nawaogopa. Mia

Umeona eh.
Huyu binti/dada/mama ni noma unaweza chapwa ngumi usiku mzima.
 
wakuu mimi naomba munipe maunjanja ya kutongoza. mbona unaniangusha popobawa? kwani mimi nlienda lini huko unako kusema? mimi sipajui bana. nipe maujanja mkuu. Mia
Mkuu hii imenitekenya sana!!!
Ila kaza buti ataingia laini bado anakupimia ustaimilivu wako pia!!
Alafu ww dada mbona huna huruma!!? Huoni ukiendelea kuwa kimya jamaa anaweza kwenda "Iringa na kamba!!?"
ha ha ha haaa!
 
au siyo? ntashukuru sana. naamin utafanikiwa coz ni rafiki yako. mwambie asahau yaliyo pita tugange yajayo. mimi figganigga nimebadilika na kuwa mtoto mzuri tofauti na yule figganigga wa mwaka jana naomba umwambie arudishe moyo nyuma. Mia
Lol....ntayafikisha.. Mia.
 
mtu anakuwa na vx100 lakini bado anaomba spana. jf ni ya wabongo je wajua maisha ya wabongo?. kama mimi ni mtoto wa mkulima sijui wewe. Mia
hawawezi kwenda that low kuomba vocha,if it is something bigger like a dar/zurich return ticket hapo i will understand
 
habari wakuu. nipeni maujanja ya kutongoza ili nimiliki kifaa.
yaani ni mjanja kinyama. kila ninapo msomesha ananiambia hadanganyiki, nikimsomesha ananiambia eti mimi mzee wa mia ni mzee wa totoz, nmejaribu kujipendekeza kwa kutuma vocha lakini hata asante hasemi. mara aseme yupo busy wakati mda wote namuona jf. hadi hapa kashajijua ni nani. nitumie nafasi hii kumwambia; "nakupenda sana binti. wewe ndo wakunipa faraja. naahidi naahidi kutunza penzi lako na kulienzi. sitakuumiza. Mmwaaa..!!". mia

Bila shaka ni kati ya MS na FF! Hapo mzee geuza gari
 
Mkono mtupu haulambwi. Peleka posa na bahasha nono kwa wazee wake. Millioni. (Mia haifanyi kazi hapo).
 
Back
Top Bottom