Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,476
Sasa hapo nani mchafu Finest, kwangu mie mwanaume ndo baradhuli mkubwa unatongozaje rafiki wa mchumba wako.
Hivi kama msichana unajua kabisa nina mahusiano na rafiki yako halafu nikaja kukutongoza halafu still ukanikubalia well well utaanza kunilaumu mimi nini?? You know exactly natoka na rafiki yako na bado ukakubali at the same time una uwezo wa kusema no vile vile