Huyo rafiki tupa kule! Hicho ki-playboy tupa kulee! Kwani nini?

Nafikiri tatizo sio mapenzi wala ujana ni NaTURAL DESIRE.
Starehe ya mbwa kabisa, kila akitaka kujikuna lazima aukalie mkia wake eti kisa upo nyuma, my take : wengi hutoka na wapenzi wa wenzao kwapale wanapojua madhaifu ya rafiki zao na kuitumia nafasi hiyo kupenyeza sumu. Akiona hujui kuzungumza mpenzi wako wakati yeye ni bingwa tayari atajilegeza kwake nakupiga vistoori akimuonyesha utamu wasauti amvutie, kurembua, kutembea na kutingisha mpodudo, mapozi take care ! Hata wanaume hujifanya wakarimu na wanamjali shemeji yao watatumia udhaifu wako kukuponda kisha watapenyeza rupia. Si mnajua maneno sumu. Mfano mi sijui kubembeleza rafiki yangu akija kwangu aongee na mpenzi wangu alafu amuulize "huyu mwenzio yukoje?, yaani hajui kubembeleza"
badala aje akushauri ubadilike yeye ndo anajifanya wakuja kumbembeleza kila siku tena hata mbele yako mwishowe hutaamini. JAMANI UONGO?!
 
Bandugu...hii khabari ya kutupana kule imeanza lini tena....yaani kuvua kiatu.....
Yaani ka mtu ni kiazi unatupa kule....bila kuangalia atadondokea wapi sio?
TGIF
 
Nafikiri tatizo sio mapenzi wala ujana ni NaTURAL DESIRE.
Starehe ya mbwa kabisa, kila akitaka kujikuna lazima aukalie mkia wake eti kisa upo nyuma, my take : wengi hutoka na wapenzi wa wenzao kwapale wanapojua madhaifu ya rafiki zao na kuitumia nafasi hiyo kupenyeza sumu. Akiona hujui kuzungumza mpenzi wako wakati yeye ni bingwa tayari atajilegeza kwake nakupiga vistoori akimuonyesha utamu wasauti amvutie, kurembua, kutembea na kutingisha mpodudo, mapozi take care ! Hata wanaume hujifanya wakarimu na wanamjali shemeji yao watatumia udhaifu wako kukuponda kisha watapenyeza rupia. Si mnajua maneno sumu. Mfano mi sijui kubembeleza rafiki yangu akija kwangu aongee na mpenzi wangu alafu amuulize "huyu mwenzio yukoje?, yaani hajui kubembeleza"
badala aje akushauri ubadilike yeye ndo anajifanya wakuja kumbembeleza kila siku tena hata mbele yako mwishowe hutaamini. JAMANI UONGO?![/QUOTE]

Kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Inasikitisha na ushangaza sana kwa kweli! Mungu atunusuru! Binadamu tumekuaje jamani? Yani umemvisha mtu pete halafu unatembea na rafiki yake? Jamani! jamani! watu wengine sijui wakoje mi nashindwa kuelewa kabisa! Hakuna u seriousness wala ukweli tena kwenye haya mambo! Duh?
 
Bacha usiokote hilo shomba litakutia ibilisi ya kuzimu. Hahahah! leo TEAMO kapita njai gani? Naona kaudhika na maisha ya malovee yasiyokuwa ya ukweli.

Ki ukweli mambo ya mapenzii yametulostisa wengi, unajikamua na kupinduka sarakasi zote lakin wapi, end of the day anayekula uroda ni yule ambaye hakuwahi kuhangaika hata siku moja. Wanaume/wanawake, ebu tumuogope mungu. Kama huna uhakika wa kuoa/kuolewa na mwanaume au mwanamke unayefikiria ni chaguo lako, usimvishe pete au kuweka ahadi. Kandamizaneni mpaka siku roho mtakatifu anashuka kwenu.

Inauma sana, vitendo vya kieshetani.
 
tupeni kuleeeeee....!mbali kabisa!

kudadadeki
 
1-LAST TIME NAPIGA INFIDELITY maeneo ya riverside nilijikuta narudi home NIMEGEUZA VESTI/FULANA YA KUTANGULIZA NDANI...nakumbuka niligeuza mara mbili yaani nje-ndani na nyuma-mbele

nilivyoihandle hiyo mata kwa waifu najua mimi....

its good to know that now you are changing ...

tupeni kuleeeeee....!mbali kabisa!

kudadadeki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom