Huyo mbunge wa CHADEMA Mwanza, aliyetaka kuhongwa ni nani?

wewe uliiamini? Mimi sikuiamini from the start

Hizo ni propaganda tu za ccm zisizo na maana,Ngeleja hana ubavu wa kusambaratisha cdm kwa Mwanza,kaingizwa choo cha kike na ndiyo maana hadithi ilibadilika kesho yake baada ya kuligundua hili,ilikuwa kasambaratisha ngome ya cdm wilaya ya sengerema ikawa tena ni wilaya ya Nyanza ambayo haipo kabisa Mwanza wala tz binafsi huwa naliskia jina hilo nchini Kenya
 
wewe uliiamini? Mimi sikuiamini from the start

Hizo ni propaganda tu za ccm zisizo na maana,Ngeleja hana ubavu wa kusambaratisha cdm kwa Mwanza,kaingizwa choo cha kike na ndiyo maana hadithi ilibadilika kesho yake baada ya kuligundua hili,ilikuwa kasambaratisha ngome ya cdm wilaya ya sengerema ikawa tena ni wilaya ya Nyanza ambayo haipo kabisa Mwanza wala tz binafsi huwa naliskia jina hilo nchini Kenya
 
wewe uliiamini? Mimi sikuiamini from the start

Hizo ni propaganda tu za ccm zisizo na maana,Ngeleja hana ubavu wa kusambaratisha cdm kwa Mwanza,kaingizwa choo cha kike na ndiyo maana hadithi ilibadilika kesho yake baada ya kuligundua hili,ilikuwa kasambaratisha ngome ya cdm wilaya ya sengerema ikawa tena ni wilaya ya Nyanza ambayo haipo kabisa Mwanza wala tz binafsi huwa naliskia jina hilo nchini Kenya
 
Kila kiongozi ndani ya Chadema ananunulika tatizo bei tu.

No wonder CCM iliretain mali nyingi na vitega uchumi vya halmashauri husika,ili wasifulie fedha za KUTOA RUSHWA ili kutimiza malengo yao! Cha ajabu kuna watu wanashabikia hali hii... Tanzania Tanzania Nchi yangu Tanzania.. Nakupenda Tanzania!
 
Huo ndo ukweli wenyewe ndugu, Opulukwa ndiye aliekua kwenye mpango huo
Mbona Kijana Sana Milioni 323 ndio zimtowe kwenye ubunge wake na heshima ambao hana uhakika kama atapata ,kama ni kweli basi mjinga sana Kweli anaweza kukubali kuchezewa ndevu zake na huyu Jambazi wa Madini ,chokoraa wa umeme Ngeleja mmh, anaweza akamshusha Makende Meshack Opulukwa Kama akawa si riziki ,si amini jamani duuh
 
Hii habari niya tr 8 na hlo gazeti unalosema wewe ni la tar 9. Kasome sasa
Jamani hii JF watu wengine wanaishushia hadhi kwa kuleta habari za SUNGURA AKASEMA,hivi kweli kwenye gazeti ya leo ya Tanzania Daima kuna taarifa hiyo ?imeandikwa ukurasa wa ngapi?Tusipende kusambaza taarifa za kiface book humu,tufanye kama inavyoelezeka kuwa ni Great thinker.kama huna taarifa sahihi ni bora ukaacha kuandika,maana nina gazeti hili la Tanzania Daima tangu asubuhi saa 12:30 sijaona habri hiyo.kurasa zilizo andika habari ya CDM ni kama ifuatavyo
  1. Ukurasa wa mbele kuna heading inasema: Ngeleja aumbuka,adaiwa kupokea viongozi 'hewa',Aambiwa anakimbia kivuli chake.
  2. ukurasa huohuo wa mbele kuna heading nyingine inayozumngumzia kiongozi wa chadema,ambae ni mbunge wa Ubungo kuhusu sakata la kupanda kwa nauli ya kivuko,Mh Mnyika amemjibu Magufuli,kwa heading isemayo:Mnyika ammaliza Magufuli,apangua hoja kwa vielelezo
  3. Habari hizi zimeendelea hadi ukurasa wa pili
  4. Ukurasa wa tatu kuna habari inayozungumzia Chadema ambapo kuna habari imeandikwa na Grace Macha kutoka Arusha,heading inasema hivi:Polisi,Taasisi ya Kiislamu waipongeza Chadema
  5. Ukurasa huouhuo wa tatu kuna habari nyingine inamzungumzia Dr W Slaam,meandikwa na Gordon Kalulunga,Mbeya.heading inasema hivi:DK Slaa kuunguruma Mbeya
  6. Ukurasa wa nne kuna habari inamzungumzia Erasto Tumbo ambaye ni wa CDM,imeandikwa na Asha Bani,inasema hivi:Tumbo awaonya Tendwa,Msekwa
  7. Ukurasa wa sita kuna habari inatoka Singida imeandikwa na Jumbe Ismaily inamzungumzia mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Tundu Lisu ambae ni wa CDM heading inasema:Singida watakiwa kuhoji matumizi
  8. Ukurasa wa nane kuna habari kutoka Dodoma imeandikwa na Danson Kaijage,inamzungumzia Mbunge wa viti maalum (chadema) Anna Mallac,heading inasema:Wapeni maendeleo mliyoahidi
Sasa huyo alie-post huo uzi akinukuu gazeti la Tanzania Daima kuandika habari hiyo juu ya mbunge wa CDM kutaka kununuliwa kwa fedha takribani millioni 324 ni nani na katoa wapi hiyo habari wakati katia gaziti alilolinukuu mimi sijaona habari hiyo?huo ni uzushi na kutaka kupotosha kwa malengo yake binafsi na nadhani huyu ni mfuasi wa magamba.sikatai kuwa iliwahi kusikika juu ya Mh Wenje kununuliwa wakti huo wa uchaguzi lakini si habari iliyotoka katika gazeti la Tanzania Daima leo iliyotolewa na Dr Slaa,huo ni uongo na upuuzi wa kimagamba.tuwe waangalifu na watu wa aina hii
 
wewe ni bonge la kilaza usifikiri tumekaa kimya tunakuunga mkono sema ni heshima tu, mbinu zako ni za kijinga sana kutafuta ubunge eti kwa kigezo cha zamu ya vijana sijui kwanza unaelimu gani maana huna uwezo wa kufikiri kisomi kabisa weye
Mbinu yako kuu unayoitumia ni "uzawa"--- hii ni dhambi kubwa sana kwa sisi wasukuma, post zako zote MIS na hata hapa JF zinalenga "uzawa" kisa tu Wenje ni mtu wa bunda na Kiwia ni mchaga kwahiyo hawastahili kuwa wabunge wa mwanza, na umekuwa ukiwalenga wakati mwingine kupitia yule mbunge muhindi wa magu(kama sijakosea) kijana angalia sana jamii ya mwanza imeelimika na haina ukabila unaoutaka wewe na ndio maana wanamwanza walisimama kidete kuhakikisha mchaga na mjita anatangazwa kuwa mbunge wao na kuwatosa wasukuma wenzao masha na diallo.

Ukweli ni kwamba wewe hukubaliki tofauti sana na unavyojiona na watu wamekuchoka na wanakerwa na tabia zako za ukabila na kupinga kila jambo linalofanywa na wabunge wa mwanza na kuingiza siasa katika mambo ya kawaida.

Mimi ni ccm lakini kwa mwanza ccm hatuna kitu tena na iwapo leo hii uchaguzi ukiitishwa tukipata kura 5000 tutaimba haleluya

ujinga ujinga,mwanza itajengwa na wana mwanza wenyewe,msitegemee akina kiwia kutoka moshi wawajengee,muwe makin sana aisee...!
 
Back
Top Bottom