Blaine
JF-Expert Member
- Jan 11, 2012
- 2,275
- 1,655
he was (is) a closet case. kaoa kutimiza wajibu sio kupenda. angekuwa kwingine angefunda ndoa kabisaBabu, DARKCITY ........
kiukweli wanaume wanadhalilisha sana wake zao, nimejiuliza hivi kweli baba mwenye watt 3 how can you dare do so? unless ni chizi.
its not their (the wife's) fault, kwa nini mnajisikia responsible kwa matendo ya mwingine.....
nilichogundua linapookea swala ambalo lina dhalilisha to ths extent wanawake huogopa sana fedheha na aibu iwezayo kutokea so huamua kukaa kimya ili tu asiaibike take it from me chunguza sana maisha ya ndoa nyingi utaamini hili.
post #59. for some reason sijaisahau mpaka leo.babu DC sijui kwann huwez kuamini hili. hivi do you remember the time ambapo nilitoa ushuhuda juu ya my past experience kwenye ndoa? hebu kairudie ile thread yangu ya uvumilivu, labda unaweza ukagundua ndaai ya ndoa usoishi wewe huwezijua mna nn.
sisemi wanahitaj kumwona huyo psychologist bali nafikir mwanamke yuko sahihi pia kwa kutetea kile anachokiamin. hapa mtu wa kubadilika na kama alivyokiri basi ni huyu baba na abadilike kweli kwa kumaanisha. believe this.