Huu ni zaidi ya uvumilivu... BUT Wanaume mwisho wa Habari!

Babu, DARKCITY ........
kiukweli wanaume wanadhalilisha sana wake zao, nimejiuliza hivi kweli baba mwenye watt 3 how can you dare do so? unless ni chizi.
he was (is) a closet case. kaoa kutimiza wajibu sio kupenda. angekuwa kwingine angefunda ndoa kabisa

.....
nilichogundua linapookea swala ambalo lina dhalilisha to ths extent wanawake huogopa sana fedheha na aibu iwezayo kutokea so huamua kukaa kimya ili tu asiaibike take it from me chunguza sana maisha ya ndoa nyingi utaamini hili.
its not their (the wife's) fault, kwa nini mnajisikia responsible kwa matendo ya mwingine

babu DC sijui kwann huwez kuamini hili. hivi do you remember the time ambapo nilitoa ushuhuda juu ya my past experience kwenye ndoa? hebu kairudie ile thread yangu ya uvumilivu, labda unaweza ukagundua ndaai ya ndoa usoishi wewe huwezijua mna nn.

sisemi wanahitaj kumwona huyo psychologist bali nafikir mwanamke yuko sahihi pia kwa kutetea kile anachokiamin. hapa mtu wa kubadilika na kama alivyokiri basi ni huyu baba na abadilike kweli kwa kumaanisha. believe this.
post #59. for some reason sijaisahau mpaka leo.
 
hongera mamito kama ni roho unayo!!
asante sana mamito but, sio kwamba ni ajabu hii ni kawaida kabisa especialy pale ambapo unataka kuangalia je ninaamua hivi kwa ajili ya nn. ukipriotise kwa furaha ya familia basi hutokurupuka kuamua kwa ajili ya furaha yako binafsi.
 
thanks gfsonwin,jamani ushoga ni hatari...mie binafsi kuna dogo mmoja kwenye akaunti yangu ya facebook aliniomba urafiki(friend request)...nili accept...bt nxt dei wkt niko online akaanza kunitumia message za kuomba nim'tigolize...kumuuliza km yy ni shoga akakubali...mbaya zaidi kwenye profile yangu kulikua na namba yangu ya simu,akaanza kunipigia na simu,kiukweli nili'mblock,na line siitumii mpk leo....I HATE GAYS jamani....
 
Last edited by a moderator:

mkuu usingefunga line yako hebu msaidie ili abadilike jaman. haya mambo ni hatar sana na kiukweli tunapaswa kukemea haya pasi unafiki.

hapa najiuliza hata watt tunaozaa wataish vipi zamani it was safe kwa mtt wa kiume kuachwa na mtu wa jinsia ya kiume but nowadays hata kufikiria hilo mtu hufikiriii manake unahisi hatari tu.
 
Inasikitisha watu wanapoacha kukubali matukio ya kweli kama haya!
Eiyer hujambo mdogo wangu wa moyoni?

usishangae haya kwani kama hayaja kukuta huwez kuamini.
 
Last edited by a moderator:
Babu, DARKCITY natamani kama ningeweza nikukutanishe na huyu bi Ziada, in fact siku ya leo nimeonana nae na bahati mbaya sana, kapata habari mpya kwa kuchunguza ofcn kwa mumewe na kaambwa na mtu kwamba mumewe ni tabia yake ya kula rujo.

kaumia sana na sasa hajui afanyeje mie nimemwambia atulie asiamue kwa hasira cha kufanya ingawa alisha samehe. but kiukweli amepata ushahidi kwamba mumewe ni moja ya wala rujo hapo stand ubungo. leo hali ni tofauti kuliko nilivyoonana nae siku za nyuma.

kiukweli wanaume wanadhalilisha sana wake zao, nimejiuliza hivi kweli baba mwenye watt 3 how can you dare do so? unless ni chizi.

Sawa gfsonwin,

Naomba nirudie kusema kuwa, jinsi story yenyewe ilivyotolewa hapa jamvini, inaacha maswali mengi ambayo mtu yeyote ambaye hakushuhudia tukio lazima atajiuliza walau mojawapo ya hayo...Nimejaribu kuonesha maeneo ambayo kwa upande wangu yameniacha njia panda....sijayaelewa kwa kweli.

Hata hivyo, sijasema kuwa tukuio lenyewe halikutokea...bali nimesema kuwa kama kweli wahusika wote walitenda hayo, basi wana matatizo ya kisaikolojia. Naamini hata wewe unaliona hilo!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
babu DC sijui kwann huwez kuamini hili. hivi do you remember the time ambapo nilitoa ushuhuda juu ya my past experience kwenye ndoa? hebu kairudie ile thread yangu ya uvumilivu, labda unaweza ukagundua ndaai ya ndoa usoishi wewe huwezijua mna nn.

sisemi wanahitaj kumwona huyo psychologist bali nafikir mwanamke yuko sahihi pia kwa kutetea kile anachokiamin. hapa mtu wa kubadilika na kama alivyokiri basi ni huyu baba na abadilike kweli kwa kumaanisha. believe this.

Sidhani kama hoja yangu ni kuhusu nani abadilike au la...ila nasema kuwa matendo yao na reactions zao ni strange....!!

Labda mimi ndo naona hivyo ila nadhani wapo wadau wengine wameyasema haya....

Mtu aliyemfumania mume wake (tena chumbani kwake) kuna aina ya reactions ambazo watu wanategemea kuiona...Huyo Ziada amekuwa calm kiasi cha kushangaza!

Huyo mwanamume alichokifanya ni kitu kikubwa sana katika mahusiano....just saying kwamba sijafanya kitu inakuwa laini sana kama statement ya mtu anayejitetea..

Ndo maana nimesema kuwa kuna vitu vingi ambavyo ni vigumu kwa kweli kuvielewa!!

Babu DC!!
 
Dunia imeisha imebaki tambara bovu,ni siku za mwisho hizi,tunarudi sodoma na gomora. Mungu tuhurumie.
 
Babu Dc, maswala ya ushoga ni zaidya unavyodhani kiukweli manake sasa imekuwa kama fashen kabisa na mtu anaona n sifa, nimeshangaa sana.

jana nilipita polis kwa ishu binafsi nilikutana na case kama hii ila this time ni ba mdoo kamlawiti mtoto wa kaka yake just std 5 kid hadi kaharibika sana. lilikuwa timbwili kwan kaka mtu anadai bora ukoo unitenge, mkewe anadai ndugu zako wameniharibia mwanangu. sasa je kweli binadamu tu wazima?

kwa case ya ziada na Juma ni kwamba siwez kuandika kila kitu but ni ukweli mumewe aliingia chumban kwakena mwanaume na walikulana rujo. mume ilibidi aombe msamaha kwa kuhofia kuaibika kwa majiran nafkiri ila mke nae akahofia the same thing.

nilichogundua linapookea swala ambalo lina dhalilisha to ths extent wanawake huogopa sana fedheha na aibu iwezayo kutokea so huamua kukaa kimya ili tu asiaibike take it from me chunguza sana maisha ya ndoa nyingi utaamini hili.

Sitashangaa kama baba mdogo atawaambia polisi kuwa vya bure ni vitamu zaidi. Huyu baba mdogo inabidi akatwe mboo, tena haraka sana.
 
mkuu usingefunga line yako hebu msaidie ili abadilike jaman. haya mambo ni hatar sana na kiukweli tunapaswa kukemea haya pasi unafiki.

hapa najiuliza hata watt tunaozaa wataish vipi zamani it was safe kwa mtt wa kiume kuachwa na mtu wa jinsia ya kiume but nowadays hata kufikiria hilo mtu hufikiriii manake unahisi hatari tu.
gfsonwin,siwezi hata kukaa nae na kuongea nae...I can't...naweza kumkata kibao,yaani huwa sielewi alipata wapi hizo feelings za kuingiliwa na sio za kuingilia wanawake????YAAN SIELEWI KABISA!!
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin,siwezi hata kukaa nae na kuongea nae...I can't...naweza kumkata kibao,yaani huwa sielewi alipata wapi hizo feelings za kuingiliwa na sio za kuingilia wanawake????YAAN SIELEWI KABISA!!

hili tatizo ni zaid ya unavyoweza kulisemea ama kujua. wapo ambao walipata hizi feelings kwasababu
-waliwah kuingilwa ama kuwa abused utotoni so wakawa addicted
-wamezaliwa na feelings hizo tu
-wanaosababishiwa na tamaa ya fedha
-starehe tu.

so tusihukumu sana ila tu tukemee haya
 
thanks gfsonwin,jamani ushoga ni hatari...mie binafsi kuna dogo mmoja kwenye akaunti yangu ya facebook aliniomba urafiki(friend request)...nili accept...bt nxt dei wkt niko online akaanza kunitumia message za kuomba nim'tigolize...kumuuliza km yy ni shoga akakubali...mbaya zaidi kwenye profile yangu kulikua na namba yangu ya simu,akaanza kunipigia na simu,kiukweli nili'mblock,na line siitumii mpk leo....I HATE GAYS jamani....

You hate gays, lakini wewe ni kwanza kuangalia kipindi cha hawa jamaa. You don't hate them. Ni unafiki. @gfsonwin na wewe unawaangalia?

attachment.php
 
hili tatizo ni zaid ya unavyoweza kulisemea ama kujua. wapo ambao walipata hizi feelings kwasababu
-waliwah kuingilwa ama kuwa abused utotoni so wakawa addicted
-wamezaliwa na feelings hizo tu
-wanaosababishiwa na tamaa ya fedha
-starehe tu.

so tusihukumu sana ila tu tukemee haya

Tusikhukumu my foot...
nimekwambia gfsonwin I hate them,no matter what causes their behaviour....
 
Last edited by a moderator:
Huyu Dada Ziada alifanya makosa kuishi na mume usiyemjua tabia km mpenda tigo, ingemsaidia hata kumtimua shoga pale kwenye sherehe
Halafu utaendaje bila mume kuselebuka kipaimara?
Sasa chagua moja Mume keshaonja
aisee
 
Wanawake mtuonee huruma kuna mwanamke mwenzio ananipelekesha balaa huu mwaka wa4 npo nae maisha yalikua ya furaha sana miez mitatu nyuma adi leo hii ninavyohongea amebadilika amebadilika daah
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom