Huu ni zaidi ya uvumilivu... BUT Wanaume mwisho wa Habari!

babu DC zamani mtu ulikua unaogopa kama una mtoto wa kike ataharibikiwa kwa kupata mimba sasa hizi hofu imehamia ukiwa na mtoto wa kiume wazeena ndevu zao wanamuharibu,kweli ambasadors of christ wameimaba kweli
Sayari dunia uliumbwa wapendeza lakini sasa watupeleka wapi?....

Ni kweli Eversmilin Gal,

Kipindi fulani wakati naanza kuingia duniani, niliwahi kukorofishana na Mama yangu...alikuwa ananizuia kuchelewa kurudi nyumbani. Nikamuuliza kuwa, unaogopa kwamba nitakuletea mimba??

Sasa hivi, bora hata mimba....Kwa wazazi wenye boys (na hata girls)....ukipinga picha kuwa mtoto wako amegeuzwa jamvi la wageni kwa kuharibiwa mtaro wake wa maji taka...unatamani uondoko kwenye hii dunia ili uwaache peke yao watafute jinsi ya kupambana nayo wenyewe...It is very had to take!

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Only kama tutaacha unafiki na kukubali reality.
Then, tuliende huo utamaduni wetu na ku-enforce sheria huzika.
Vingenevyo uhalalishwe oficially tuu.

Sasa mkuu EMT, tukikubali kwamba kuna ushoga na usagaji ndo utaisha??

Binafsi hata sijui tunatakiwa kufanya nini!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Nilivyoelewa mimi ni kuwa jamaa hakufirwa ila ni mfiraji na yeye mwenyewe alikana kuwa hakufanya kitu (yaani hajafirwa). Suala hapa ni kwamba huyu mtu ni mfiraji na mfiraji hachagui mku.ndu, si wa mwanamke wala mwanamme yote ni sawa tu. Huyu jamaa anaonekana ana uzoefu wa kufira ila alishindwa namna gani atamwomba mku.ndu mkewe hivyo akawa anatoka nje, na kibaya zaidi hapa ni kwamba kafira wangapi huko nje kabla mkewe hajamfumania? Ndipo hapa sasa unakuta mtu unaiba kufanya mapenzi na mke wa mtu kisha unajizolea magonjwa ya hajabu nawe unampelekea mkeo nyumbani. Siku hizi hapa Bongo wanaume wengi sana pamoja na wanawake wanafirwa, na ni rahisi sana kupata watu kama hawa. Utakuta mwanamke anataka kufirwa lakini anashindwa kumwambia mumewe hivyo analazimika kutoka na muuza uzuri ama maji ili mradi tu apate kumkuna kuleeee anakowashwa. Mwanamke anaweza kujizolea magonjwa toka kwa hawa watu then anampasia mumewe. Mimi mwenyewe nilishangaa kusikia mshikaji wangu (japo si wa karibu sana) kuwa anafirwa. Sikuamini kwani jamaa ana mke na watoto watatu lakini kumbe naye anafirwa tena kwa siku nyingi tu. Mkewe alivyogundua kaachana naye, na nasikia mpaka sasa huyo mkewe hayuko sawa kichwani yaani kama amechanganikiwa. Nakumbuka miaka 16 iiyopita walifunga ndoa kali kweli, kwa kweli sikuamini kusikia jamaa anashikishwa ukuta kwa muda wa siku nyingi. Najiuliza, kama kweli mtu unahamua kufirwa...kwanini huoe na kumpotezea muda mkeo ama kumtesa moyoni?
 
Babu DC!
Hivi itokee nini mpaka uamini?....sasa nakupa ya kwangu binafsi kabisa......mimi nimemkuta mume wangu na kondom zaidi ya mara tano kwenye gari, na nimemsamehe. Nimefuma hizo msg wadada wanamsifia kwa ku wa du.......vizuri na wala sijathubutu kumwambia, yaani hanijali hata kidogo, yeye anajua mimi kama mke akiwa anashida na hana pesa ingawaje amejiajiri, na anapata kipato kikubwa kuliko mimi.... Wanaume wa na mna hii wapo na wakwangu ni mmoja wao
 
Dah! Da Shadya pole sana lakini pia hongera kwa moyo wako wa uvumilivu. Mie sikuulizi kwa nini hureact kwa sababu ninaamini zaidi katika matters of the hearts!. Muombe MUNGU atambadilisha tu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa mkuu EMT, tukikubali kwamba kuna ushoga na usagaji ndo utaisha??

Binafsi hata sijui tunatakiwa kufanya nini!

Babu DC!!

Mkuu that was not my point. Kuukubali ushoga haina maana kuwa ndiyo utaisha bali ni kuuhalalisha.

Point yangu ni kwamba linapokuja suala la ushoga tunajifanya kulipinga sana lakini ukija kwenye jamii ushoga umetapakaa kila mahali (unafiki).

Mbaya zaidi pamoja na kupinga ushoga kwa maneno, hakuna efforts zozote za vitendo ambazo zinachukuliwa ili kukabiliana na ushoga.

Kwa maana nyingine tunapinga ushoga kwa maneno lakini bado hatuamini kama ushoga ni tatizo kubwa ndani ya jamii.

Pengine labda tumeona ni tatizo lakini pia tumetambua kuwa there is no way to fix the problem, hasa pale uliposema "Binafsi hata hujui tunatakiwa kufanya nini"
 
Haswaa! na wanaume ndio wanaouendekeza,
Hebu wanaume wote waukatae ushoga, uone kama kutakuwa na ushoga tena

Mkuu that was not my point. Kuukubali ushoga haina maana kuwa ndiyo utaisha bali ni kuuhalalisha.

Point yangu ni kwamba linapokuja suala la ushoga tunajifanya kulipinga sana lakini ukija kwenye jamii ushoga umetapakaa kila mahali (unafiki).

Mbaya zaidi pamoja na kupinga ushoga kwa maneno, hakuna efforts zozote za vitendo ambazo zinachukuliwa ili kukabiliana na ushoga.

Kwa maana nyingine tunapinga ushoga kwa maneno lakini bado hatuamini kama ushoga ni tatizo kubwa ndani ya jamii.

Pengine labda tumeona ni tatizo lakini pia tumetambua kuwa there is no way to fix the problem, hasa pale uliposema "Binafsi hata hujui tunatakiwa kufanya nini"
 
Hayo yote ni mabazazi, wanaume hatupo hivyo, duuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! inatia kinyaa kwa kweli, shame on them
 
Babu DC!Hivi itokee nini mpaka uamini?....sasa nakupa ya kwangu binafsi kabisa......mimi nimemkuta mume wangu na kondom zaidi ya mara tano kwenye gari, na nimemsamehe. Nimefuma hizo msg wadada wanamsifia kwa ku wa du.......vizuri na wala sijathubutu kumwambia, yaani hanijali hata kidogo, yeye anajua mimi kama mke akiwa anashida na hana pesa ingawaje amejiajiri, na anapata kipato kikubwa kuliko mimi.... Wanaume wa na mna hii wapo na wakwangu ni mmoja wao
Samahani na pole sana mdogo wangu Shadya. Mimi sijakataa kwamba tukio kama hili au mengine yanayofanana nalo hayawezi kutokea. Ila nilichosema ni kwamba hii story ukisoma vizuri tena mara mbili mbili unapata maswali mengi ambayo yanasababisha ugumu katika kuiamini. Hata hivyo bado nahisi kuwa wahusika watakuwa na matatizo makubwa ya kisaikolojia kama hili ni tukio la kweli.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu that was not my point. Kuukubali ushoga haina maana kuwa ndiyo utaisha bali ni kuuhalalisha.Point yangu ni kwamba linapokuja suala la ushoga tunajifanya kulipinga sana lakini ukija kwenye jamii ushoga umetapakaa kila mahali (unafiki).Mbaya zaidi pamoja na kupinga ushoga kwa maneno, hakuna efforts zozote za vitendo ambazo zinachukuliwa ili kukabiliana na ushoga.Kwa maana nyingine tunapinga ushoga kwa maneno lakini bado hatuamini kama ushoga ni tatizo kubwa ndani ya jamii.Pengine labda tumeona ni tatizo lakini pia tumetambua kuwa there is no way to fix the problem, hasa pale uliposema "Binafsi hata hujui tunatakiwa kufanya nini"
Hapa sasa tuko pamoja. Hii ni zaidi ya vita dhidi ya sigara na bangi. Watu tunajua madhara ya huo mchezo ila kila mtu anatamani kujaribu hata kama ni once. Na wengine wanafanya hayo madudu kuwakomoa wenzao. Mate wangu mmoja aliamua kufanyia huo mchezo Gf wake wa enzi za ujana kwa kuwa alikuwa hampendi na huyo dada alikuwa analazimisha uhusiano.
 
Babu, DARKCITY natamani kama ningeweza nikukutanishe na huyu bi Ziada, in fact siku ya leo nimeonana nae na bahati mbaya sana, kapata habari mpya kwa kuchunguza ofcn kwa mumewe na kaambwa na mtu kwamba mumewe ni tabia yake ya kula rujo.

kaumia sana na sasa hajui afanyeje mie nimemwambia atulie asiamue kwa hasira cha kufanya ingawa alisha samehe. but kiukweli amepata ushahidi kwamba mumewe ni moja ya wala rujo hapo stand ubungo. leo hali ni tofauti kuliko nilivyoonana nae siku za nyuma.

kiukweli wanaume wanadhalilisha sana wake zao, nimejiuliza hivi kweli baba mwenye watt 3 how can you dare do so? unless ni chizi.
 
Last edited by a moderator:
Hapa sasa tuko pamoja. Hii ni zaidi ya vita dhidi ya sigara na bangi. Watu tunajua madhara ya huo mchezo ila kila mtu anatamani kujaribu hata kama ni once. Na wengine wanafanya hayo madudu kuwakomoa wenzao. Mate wangu mmoja aliamua kufanyia huo mchezo Gf wake wa enzi za ujana kwa kuwa alikuwa hampendi na huyo dada alikuwa analazimisha uhusiano.
Babu Dc, maswala ya ushoga ni zaidya unavyodhani kiukweli manake sasa imekuwa kama fashen kabisa na mtu anaona n sifa, nimeshangaa sana.

jana nilipita polis kwa ishu binafsi nilikutana na case kama hii ila this time ni ba mdoo kamlawiti mtoto wa kaka yake just std 5 kid hadi kaharibika sana. lilikuwa timbwili kwan kaka mtu anadai bora ukoo unitenge, mkewe anadai ndugu zako wameniharibia mwanangu. sasa je kweli binadamu tu wazima?

kwa case ya ziada na Juma ni kwamba siwez kuandika kila kitu but ni ukweli mumewe aliingia chumban kwakena mwanaume na walikulana rujo. mume ilibidi aombe msamaha kwa kuhofia kuaibika kwa majiran nafkiri ila mke nae akahofia the same thing.

nilichogundua linapookea swala ambalo lina dhalilisha to ths extent wanawake huogopa sana fedheha na aibu iwezayo kutokea so huamua kukaa kimya ili tu asiaibike take it from me chunguza sana maisha ya ndoa nyingi utaamini hili.
 
Samahani na pole sana mdogo wangu Shadya. Mimi sijakataa kwamba tukio kama hili au mengine yanayofanana nalo hayawezi kutokea. Ila nilichosema ni kwamba hii story ukisoma vizuri tena mara mbili mbili unapata maswali mengi ambayo yanasababisha ugumu katika kuiamini. Hata hivyo bado nahisi kuwa wahusika watakuwa na matatizo makubwa ya kisaikolojia kama hili ni tukio la kweli.

babu DC sijui kwann huwez kuamini hili. hivi do you remember the time ambapo nilitoa ushuhuda juu ya my past experience kwenye ndoa? hebu kairudie ile thread yangu ya uvumilivu, labda unaweza ukagundua ndaai ya ndoa usoishi wewe huwezijua mna nn.

sisemi wanahitaj kumwona huyo psychologist bali nafikir mwanamke yuko sahihi pia kwa kutetea kile anachokiamin. hapa mtu wa kubadilika na kama alivyokiri basi ni huyu baba na abadilike kweli kwa kumaanisha. believe this.
 
Babu DC!
Hivi itokee nini mpaka uamini?....sasa nakupa ya kwangu binafsi kabisa......mimi nimemkuta mume wangu na kondom zaidi ya mara tano kwenye gari, na nimemsamehe. Nimefuma hizo msg wadada wanamsifia kwa ku wa du.......vizuri na wala sijathubutu kumwambia, yaani hanijali hata kidogo, yeye anajua mimi kama mke akiwa anashida na hana pesa ingawaje amejiajiri, na anapata kipato kikubwa kuliko mimi.... Wanaume wa na mna hii wapo na wakwangu ni mmoja wao
Shadya heri wewe unakutana na condom mie nilikuwa naletewa wanawake ndani nahamishwa chumba. but nilivumilia kwa kusali bila kuchoka na sikumchukia mume wangu by then kwani niijua kabisa kwamba bado mume wangu ni mtu mzuri na wala sikumpata kwa kubahatisha.

maombi yalinitoa na sasa imebaki history tu nina miaka kama 11 hivi na sijajuta kumpenda. dawa ya mwanaume ni kuamka saa 8 usiku na kusali kwa kumaanisha. Mungu atamrudisha tu, na kamwe usiwasimulie watu juu ya mumeo, mshtakie Mungu peke yake.
 
hongera mamito kama ni roho unayo!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom