Huu ni zaidi ya uvumilivu... BUT Wanaume mwisho wa Habari!

una bahati kweli..maana kila siku ukija na visa humu ni visa viavyoendana vya wanaume mabasha...unaukumbuka huu uzi https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/328526-kafedheheshwa-kisa-mke-wa-mpwawe.html

halafu huwa unasimuliwa na simulizi zako huwa zinaacha maswali mengi sana mfano:

1. huyo dada na mdogo wake walijuaje rfiki wa juma ni shoga?..nini viashiria walivyoviona usiku ule pale kwenye shrehe?

jibu jinsi alivokuwa ana pozi mbele za watu.

2.wakati wanamuliiza mume/shemeji huyo rafiki alikuwa wapi?

jibu:may be anacheza mziki, ama kakaa meza ya pembeni na hili ndilo jibu manake yawezekana kabisa huyu bwana juma alikaa meza ya wazazi na mgeni akakaa sehem ya wagen waalikwa.

3. ni kweli mume wa ziada alikuwa anafededwa au yeye ndo alikuwa anafededa?

jibu: hapa hatujui nani ndo alikuwa anarushwa maji but sauti iliyokuwa inalalamika sio ya mumewe ni ya huyo kijana m/ume mwingine

4. hao majirani baada ya kumpokea na kumpa maji na kukaa mlangoni kisha baadae akaondoka bila kuaga hawakushtikuka kumtafuta maana alikuwa anajisikia moyo kwenda mbio?

jibu: alipoondoka jiran alimtafuta na alipobiha hodi mume wa ziada akamwitikia basi aliona aendelee na kazi zake kama ujuavyo hapa mjini kila mtu na kazi zake
 
Habari za j3 wapendwa wangu,

Asbh hii naleta kisa hiki kama funzo kwetu na pia kuweza kueleweshana juu ya hali halisi za baadhi ya maisha ya ndoa. Ukweli ni mbaya sana but imenipa sura nyingine kabisa juu ya maisha haya. Tena hapa The Boss huwa anasemaga wanaume tunavumilia sana wanawake give yourself break and come to see this.

Ilikuwa siku a j2 ambayo maeneo meng ya Dar kulikuwa na sherehe za vipaimara. Siku hiyo dada mmoja say anaitwa Ziada alikuwa na mtoto wa dada yake ambaye alikuwa anapata kipaimara so akawa amealikwa kwenye sherehe hiyo. huyu dada kaolewa na bwana mmoja say anaitwa Juma. so Ziada akamwambia Juma juu ya sherehe hiyo na kiundugu wote wanawajibika kuhudhuria.

bwana Juma alilazimika kwanza kwenda kazini kwake ili atafute japo pesa ya zawadi ilihali mkewe atangulie kwenye eneo la tukio na akisha maliza kazi basi, bwana Juma angem-join mkewe kwenye sherehe. mambo yaikwenda as planned kiukweli na muda wa sherehe kuanza bwana Juma alikuja na rafiki yake mwingine wa kiume.

haya sherehe ikaendela huku watu wakiserebuka pasi na shaka, katika hali ya stori hivi shemejiye bwana juma wa kike akamwaabia shemeji mbona huyu rafiki yako hasomeki? mbona kama jamaa si riziki? Juma akamtetea kweli huku akiwaaamba kabisa achaneni na mambo ya watu bana nyie mmejuaje. utetezi ulipozidi basi ilibidi shemeji mtu pamoja na dada mtu (ziada) ambaye aliingilia mada wakae kimya kwa kukubali kushindwa kamba kijana wa watu si mfuasi wa camerun.

baada ya mida kusonga san bwana juma akamwambia ziada twende zetu nyumban, mke akamwambia bwana yanipasa nimsaidie dada kazi za hapa nyumban japo kuingiza viti ndani na kuosha vyombo ndipo nije.Basi bwana Juma ikabidi amchukue rafiki yake wa kiume waondoke with hope kwamba mkewe Juma atapanda hata pikipiki ili kurudi nyumban manake si mbali.

baada ya kazi mishale ya saa 4 Ziada akarudi kwake kufika akakuta taa za ndani zimewashwa na akigonga mlango hakuna anayekuja kuufungua, ikabidi azunguke dirishan manake aliamini mumewe kalala kwa ulevi so akimgonea dirirshan angeskia. uthibitisho wa kwamba kuna mtu ndani ani pamoja na redio iliyokuwa inaongea. Basi Ziada kwenda dirishan anaskia sauti za ajabu kutoka chumbani kwak kuendelea kuskiliza ni sauti ya mwanaume inalalamika kweli kuuskia utamuuuuuuuuuuuu wa mpera, kwa panic Ziada akapata kizunguzungu akajikaza hadi kwa jiran akakaa akasingizia anaumwa moyo unamuenda mbio so anataka apatiwe maji apumzike kwanza.

basi jiran akampatia maji ya kunywa, huku bibie akitokwa na jasho mwili mzima jiran akamwambia kuna tatizo bibie akajibu hapana ni presha tu inanisumbua. basi akakaaa pale mlangoni mwa jiran hadi baada ya muda kidogo, akanyanyuka kusogolea kwake akaskia maji ya bafuni yanamwagika akajua ndio wanaoga hawa basi akarudi kwa jiran akajikaza kisabuni pasi kusema kwa mtu hadi wakamaliza kabisa. kisha akaona mumewe anafungua mlango anatoka na mwanaume mwenzie yule yule waliyekuwa nae kwenye sherehe kumsindikiza, yeye mwanamke akanyunyuka kauingia ndani kwake, bila hata jiran kuagwa kufika chumban akakuta uchafua wa ajabu, but alichofanya alitoa shuka zake akakusanya na ule uchafu wote kisha akakaa pale kitandan akaanza kulia kwa uchungu sana.

baada ta dk kama 5 hivi mume akarudi kuingia tu ndani na kumkuta mkewe alipata mshtuko ina kuanza kusema hakya Mungu mke wangu sijafanya kitu. mkewe akamwambia sijasema umefanya akafunua ile shuka akamuuliza je huyu ni nani aliyefanya haya? mume hana la kujibu. zaid kuomba msamaha tu.

Lakini bana cha ajabu mke alisamehe kabisa, na yeye alisema hivi nimetumia nguvu zangu zote za ujana ili kutengeneza maisha haya sasa leo hii nikiondoka kazi yangu yote inakuwa ni sifuri? je nikiondoka watu wakijua eti mume alimfededa mtu watanichukuliaje? nilipokubali kuwa msiri wa mume wangu je nilitegemea nifiche siri gani?

Kiukweli hii habar ambayo ni ya kweli imetokea, ingawa majina nimeyabadili imeniumiza sana sana. nikasema wanawake tunavumilia mengi sana. enyi wanaume tuoneeni huruma jamani...........

Eee Mungu tusamehe uovu huu mkubwa, tumekuwa zaidi ya wanyama, sijaona kwa macho au kusikia jogoo au mbwa wanaopenda sn mapenzi wameoa waume wenzao, je sisi tunamuweka wapi Mungu wetu aliyetupa sisi utashi na uamuzi wakuchagua? Ole wetu kwani hatutakuwa la lakusema mbele zake kwa kushindwa kujizuia kuliko hayawani wa porini.
Wa mama tusameheni, na hakuna kama mama duniani, mnatuzailia watoto, lkn hatujali haya, mnatuheshimu na kutufanya wafalme wadogo ktk nyumba zetu lkn wanaume bado hatuoni haya tunaomba mtusamehe tu.
Akhsanteni sana.
 
Eee Mungu tusamehe uovu huu mkubwa, tumekuwa zaidi ya wanyama, sijaona kwa macho au kusikia jogoo au mbwa wanaopenda sn mapenzi wameoa waume wenzao, je sisi tunamuweka wapi Mungu wetu aliyetupa sisi utashi na uamuzi wakuchagua? Ole wetu kwani hatutakuwa la lakusema mbele zake kwa kushindwa kujizuia kuliko hayawani wa porini.
Wa mama tusameheni, na hakuna kama mama duniani, mnatuzailia watoto, lkn hatujali haya, mnatuheshimu na kutufanya wafalme wadogo ktk nyumba zetu lkn wanaume bado hatuoni haya tunaomba mtusamehe tu.
Akhsanteni sana.

kaka umeniliza ila Mungu akuinulie uso wake akufadhili.
 
Inawezekana huyo Bw.Juma hiyo tabia akawa anendelea nayo hata baada ya mkewe kumfumania, Je? bado Zaida ataendelea kuvumilia?.
 
Dah, hii kali na itawapa wanandoa kuwa na wasiwasi na ndoa zao.
Kuna kipindi fulani nilisoma kwenye mitandao fulani ya kimarekani walivyoelezea kumgundua kwamba mke wako anu mume wako ni bisexual.

Kwa mwanaume na unataka kujua kwamba mke wako ni bisexual na anaenda nje ya ndoa na wadada wengine walivyosema ni kwamba:
Dalili zake ukimuona mke wako anapendelea sana maongezi ya wanaume basi yeye ni lesbian. akimfagilia shosti wake kupita kiasi basi mjue kwamba ni lesbian au bisexual. akimnununulia shost wake mkubwa chupi basi ujue huyo lesbian.

Kwa wanaume
Wakina dada mkitaka kujua hasa kwa wale bisexual wanao... na wanaume wenzao basi wakati wa kufua angalieni nguo zao za ndani.
Ukiona mwanaume kila ukifua chupi yake ina rangi kidogo sawasawa kabisa na O basi yeye ni bisexual anayetiwa kwani jasho za chupi ya mwanaume kwenye chupi hata zimetoka kwenye O lakini hazina rangi yoyote.
Kwa wanaume ambao waitwa mabasha ambao wanawatia wanaume wenzao basi angalia wanavyopenda kujisifia kwamba wao vidume wa nguvu.
Mwanaume hetero ambaye anaamini uanaume wake wala hatambi kwa wenzake kwamba yeye ni dume la nguvu. na anasema hivyo iweje? akijisifia sana basi kuna kitu anakificha na anajaribu kujionyesha kwamba yeye ni dume.
Na walivyoandika tena kwenye ule mtandao wanasema japo wanaume hetero wanawachukia mashoga lakini hawawaogopi.
Wakina wadada msije mkaona wanaume zenu wana marafiki wa kiume mkaaza kupandwa mizuka.
Ishara ni hizo hapo juu
 
Uliza tu babu kipenzi!! Asprin
Anyway, wanaume tumeumbwa, mateso kuhangaika.

Nashukuru kukuona u hali njema.

Moyo wangu umeridhika....

Hivi ushamwona mdogo wako Smile huku? Nlijisahau nikamtongoza nikifikiria ni wewe..... Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana..... Ndio maana nakuomba Smiles mwenye heri........:A S crown-1:
 
Last edited by a moderator:
Mmmh! Mi naona mambo mengine kuendelea kuvumilia hata mungu anakasirika.....
Dah, pole kwa mdada.
 
Mdogo wangu gfsonwin,

Hii mada sikuiona toka juzi ulipoitundika...ila nimepata chance ya kupitia kila post....

Kwa maoni yangu....ama hii hadithi si ya kweli....(imeacha maswali mengi sana yanayohitaji majibu) au kama ni ya kweli basi ina chembe nyingi za akina Alifulela Ulela.....!!

1. Maongezi ya kule kwenye party kati Ziada, Juma na mdogo wake Ziada yameanzia hewani...ni ngumu kujua yalikoanzia
2. Akili ya Juma lazima iwe haiko sawa kama aliweza kufanya kitu kama hicho si nyumbani kwake tu, bali kwenye kitanda anachotumia yeye na mke wake wa ndoa.....Kwangu kitanda chetu na Bibi ni kitakatifu sana...hakiweza kuguswa na uchafu wa aina yoyote....Imagination zangu zimekwama hapa dada...!!
3. Habari ya kuacha mashuka machafu...tena akijua mke wake atarudi muda si mrefu...??? Ni vigumu kuamini mtu mwenye akili zake kamili anaweza kufanya kituko kama hicho!
4. Reaction ya Ziada baada ya kunfumania live mume wake, tena akiendelea na kibarua cha kuvuta mkokoteni imekaa ndivyo sivyo....Hata wale ambao tunajidai kwamba tuko stable...ukweli ni kwamba tusingeweza kuhandle issue kama hiyo..
5. Baada ya Ziada kuingia ndani na kuona kilichotokea live....na bado akabaki na hasira zinazoweza kumwacha mzima bila kutoa adhabu yoyote.....mhhhh...sijui kama Bibi angebakiza kitu hapo...tena akikumbuka mashuka yake yamebeba zawadi ambayo ni yake kudeal nayo....hapa pia nimekwama mdogo wangu??
6. Reaction ya Juma nayo imekaa kama hitimisho za movies za bongo ambazo huwa zinakuwa dry sana kiasi kwamba hata mtoto anaona kuwa igizo lenyewe likuwa ni fiction ya kulazimisha...

Ila kama kweli haya yametokea (napenda kuamini kuwa hayakutokea)...basi wote Juma na Ziada wana matatizo...wanahitaji kumwona pyschologist haraka....their minds are insane..tutarajie yasiyo ya kawaida zaidi ya haya!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu DC umeniacha njia panda hapo. Fafanua please?


Nilimaanisha story za jinsi watu (tena midume ya kweli) wanavyohangaika kutuharibia watoto ama kwa kuwafanya mabwabwa au kuwaomba huduma...

Haya yatapita salama??

Babu DC!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nilimaanisha story za jinsi watu (tena midume ya kweli) wanavyohangaika kutuharibia watoto ama kwa kuwafanya mabwabwa au kuwaomba huduma...

Haya yatapita salama??

Babu DC!!

Only kama tutaacha unafiki na kukubali reality.
Then, tuliende huo utamaduni wetu na ku-enforce sheria huzika.
Vingenevyo uhalalishwe oficially tuu.
 
anyway, wanaume tumeumbwa, mateso kuhangaika.

Nashukuru kukuona u hali njema.

Moyo wangu umeridhika....

Hivi ushamwona mdogo wako smile huku? Nlijisahau nikamtongoza nikifikiria ni wewe..... Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana..... Ndio maana nakuomba smiles mwenye heri........:a s crown-1:
ahaaaaaaa kwa hiyo unataka kuniacha?
 
Nilimaanisha story za jinsi watu (tena midume ya kweli) wanavyohangaika kutuharibia watoto ama kwa kuwafanya mabwabwa au kuwaomba huduma...

Haya yatapita salama??

Babu DC!!

babu DC zamani mtu ulikua unaogopa kama una mtoto wa kike ataharibikiwa kwa kupata mimba sasa hizi hofu imehamia ukiwa na mtoto wa kiume wazeena ndevu zao wanamuharibu,kweli ambasadors of christ wameimaba kweli
Sayari dunia uliumbwa wapendeza lakini sasa watupeleka wapi?....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom