Huu ni ugonjwa au ndo kumwogopa Mungu?

Jamaa mmoja alikuwa na mawasiliano na dada mmoja(wakiitana mme/mke).jamaa alikuwa masomoni Dar na dada alikuwa nyumbani .Sasa muda wa mazoezi ukafika, jamaa akaenda mazoezini(kufundisha) karibu kabisa na yule dada(ndani ya wilaya).Basi wakakubalian kukutana kwa maana ya dada kwenda kwa jamaa.Dada aKasafiri salama na kufika kwa jamaa.Usiku mzima ukapita jamaa "NO ACTION" .Dada kakosa raha kabisa kiasi kwamba hata chai ikawa ni ngumu kunywa.Mchana ukapita,usiku mwingine tena "NO ACTION". Kesho yake dada akakosa amani zaidi na kusababisha kuwa mtu mwenye huzuni mda wote.Basi mwalimu wakike(naye alikuwa mazoezini) akapewa jukumu la kumdadis yule dada na akapata kufunguku kuwa jamaa hataki "KUDO".Kwanza analala na nguo na nikimsogelea anashuka kitandani na kutandika shuka chini na kulala.Jamaa alipo ulizwa akasema ni dhambi.Dada(mwalimu) akamwelekeza juu ya huzuni aliyokuwa nayo rafiki yake na sababu yake, jamaa akajibu kwamba atalekebisha ile hali.Usiku tena "NO ACTION".Asubuhi dada(mwalimu) anakuta bado yule dada yuko na huzuni kiasi cha macho kuwa mekundu.Basi yule dada akashauriwa kurudi nyumbani(SIKU YA NNE) kwao kama alivyokuja. Sasa Je! Huu ni ugonjwa au ndo kumwogopa mungu?.

Huyo jamaa nae, si akawe PADRI hukoo!
 
Ku-do kabla ya ndoa halali ni uzinzi. Inapowezekana ni bora kuliepuka hilo kama alivyofanya kijana.

Alichofanya kijana ni ulimbukeni! Huwezi mkaribisha dada kwako (na huna chumba cha wageni) mlale wote kitanda kimoja usingizie unaepuka uzinzi.
Pili, Kwa huzuni aliyoonyesha binti ni dhahiri kulikuwa na either makubaliano au mazungumzo yaashiriayo kutukia kwa tukio hilo pindi binti atakapofika.

hapo hakuna uchamungu wala kumuogopa mungu si mzima huyo

Mwanaume huyu either ana erectile dysfunction ama hajawahi ku-do ze nidful...anaogopa kuanza!
Either case, anahitaji msaada wa kisaikolojia!
 
Huyo hamwogopi Mungu atakuwa ni mwoga tu basi maana angekuwa anamuogopa Mungu angeikimbia zinaa na asingemkaribisha huyo dada nyumbani kwake kulala mpaka kukakucha
 
Tatizo haiko wazi kwamba walipanga kuonana ili nini kifanyike then huyo dada hakusema anataka nini toka kwa kaka.
Mimi sioni kama kaka ana tatizo lolote coz walipanga kuonana na walionana na hilo ndo lilikuwa lengo.
 
labda ana ugonjwa anahofia kumuambukiza si unajua maradhi mengi:embarrassed:
 
huo ni ujinga na kutofahamu sawasawa mambo ya mungu. kama alikuwa anamwogopa Mungu kwanini mwanzoni walikuwa wanawasiliana kama mme na mke?
 
kamnyima mtu kitu angali anacho!!??? Bwana weeee hakuonaa aiiibuuu!??
 
Jamaa mcha Munga nampa five, hakupenda dhambi kabla ya ndoa, labda tatizo hakumshauri binti vzuri ndio maana aliondoka na huzuni.
 
Haya mambo ya ajabu kabisa, kama hutaki usikaribie!! Mtu umesikia kuna ajali, unakimbilia ukifika pale unasema unaogopa kuona damu!! If you dont want to have sex, dont put yourself in situations that implies/leads to having sex.
 
Back
Top Bottom