Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

Status
Not open for further replies.
anapnekana alikwepa umande...kweli shule za kata zimezalisha matatizo makubwa sana..graduate hajui kuandika???
Waonw wenye njaa hawa. Ulikuwa wapi siku zote, na kwa nini uje kusemea huku, kasimawe kwenye jukwaa uyasema haya kama wewe siyo ndiyo ngozi ya kondoo usiye maanisha unachosema. Kuandika kwenyewe shida halafu unataka kuwa kiongozi. Shame on you.
 
Vijana wa CCHADEMA, akitajwa Slaa wanapaniki. Mwelezeni arudishe kiwanja cha Wahanga! Pia akabidh mradi.
 
CDK- Chadema Kaskazini,jibuni hoja,sio kutaja majina ya watu wasio husika hapa,Mungu akubariki Tunteneke uendelee kuishi.
 


Nakana Tuntemekekutumkika kama ID ya hao waliotajwa,Tuntemeke imezaliwa mwaka 2009 kamainavyonesha,hao wengine na kundi tajwa limezaliwa lini?.Haipo hapa kuchafuawatu bali kufichua maovu na kusifia mema.

Tuntemekeninawatakieni Heri ya x mass na mwaka mpya. wana Jf wote
Nawasilisha

mkuu tunazie hapa ni akina nani wanaoitumia hii ID yako na kukuchafua??
 
anapnekana alikwepa umande...kweli shule za kata zimezalisha matatizo makubwa sana..graduate hajui kuandika???

mbona unatokwa na povu jomba,kama hajui kuandika mbona wewe umesoma na umeelewa,hongera Tunteneke.Slaa aje kukana kama uongo.
 
Tunteneke,umeongea ukweli,DR slaa ni fisadi kama ccm wenzake,na yule mchumba wake ndio anamchanganya kabisa,Namshauri mchumba wa Slaa asome alama za wakati,anamuharibu slaa na sasa slaa hafai kabisa.
Kumbe na wewe upo humu humu.
Kweli njaa kali sana, unajitahidi sana kupambana lakini wapi.
 
Ngoma bado mbichi kumbe Dr Slaa ana mtoto mwingine Karatu.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Huo ni uhuni tu,DR SLAA ni mtu makini kama marehemu Sokoine!

Dah,kuna watu wanaakili ndogo,yaani Slaa ni mtu makini?kweli huu ni mwisho wa dunia,Mtu makini anauza majimbo ya wabunge na kutimua timua viongozi kwa majungu.
 
Jina lako lina umaarufu wa kumuchafua dr slaa na chadema kwa malengo yenu,jina lako lilifanya kazi kubwa ya kumchafua Lema na Nasari kwenye uchaguzi,ata hIvyo unajichanganya unasema mradi niwa sh 200 milioni na dr slaa amehujumu sh 400 ww ni mzima? Kwanza peleka ujinga wako na kundi lenu huko,nakwambia hamtapona wala hamtabaki salama,poleni MP7
 
inawezekana kabisa wakawa wanahoja za msingi sana na tena wakawa wanasema mambo ya ukweli kabisaaa ila mimi nnachojiuliza ni hivi kwann kila siku huyu TUNTEMEKE aje na hoja za Dr slaa peke yake? na kwann kila siku aje na hoja za kumtetea zitto na kuupinga ukaskazini?? je ndio kazi uliyopewa ama uliyotumiwa??
 
Last edited by a moderator:
inawezekana kabisa wakawa wanahoja za msingi sana na tena wakawa wanasema mambo ya ukweli kabisaaa ila mimi nnachojiuliza ni hivi kwann kila siku huyu TUNTEMEKE aje na hoja za Dr slaa peke yake? na kwann kila siku aje na hoja za kumtetea zitto na kuupinga ukaskazini?? je ndio kazi uliyopewa ama uliyotumiwa??

Slaa alichukuwa mke wa Tunteneke na kamera za Tunteneke haziwezi kumuacha kwa ufisadi wake.
 
Last edited by a moderator:
Vijana wa Chadema, akitajwa Slaa wanapaniki. Mwelezeni arudishe kiwanja cha Wahanga! Pia akabidh mradi.

mnambiwaga kila siku nyie tuntemeke mbwa ukijua jina hakung'ati,. Tushawaju hawa mbwa wa huu mtaa wa pm7 wakibweka tu tunawaita jina mnakuja kimyakimya mkitikisa mkia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom