Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

Status
Not open for further replies.
Dah,kuna watu wanaakili ndogo,yaani Slaa ni mtu makini?kweli huu ni mwisho wa dunia,Mtu makini anauza majimbo ya wabunge na kutimua timua viongozi kwa majungu.

Mawazo yako hayawez kuwa ya watanzania wote! Hayo majungu ya kimakundi.Pia inaonesha huna ufahamu na mwisho wa Dunia! Dr Slaa,is clean.!
 
pia ni mzee wa kuaga kwao aka mzee wa kula viapo vya ulozi/sangoma
TUNTEMEKE, umesahau ya Goodluck Ole Medeye na ukwapuaji wa viwanja vya burka kule Arusha?

Ndani mwako umejaa uchafu wa kila ina maana haya yanayokutoka ndiyo yameujaa moyo wako, wewe ni mwasherati,mwizi, muuaji, una tamaa mbaya,una hila, wewe ni fisadi, una matusi, una kiburi, pumbavu mwana wa ibilisi.

Yule dada wa wimbo wanawake na maendeleo kibosile wako amemwacha au anamwunganishia tanesco......
 
Hahahahahahahahahah
Yani TUNTEMEKE ndio ushhuhuda tosha aliyo yasema ben!
Tunajua tatizo lako si ufisadi bali ni Dr slaa!
 
Last edited by a moderator:
Kipolo; Dr.Slaa ana majukumu mengi sana ya ujenzi wa chama,wala hana mda mchafu wakujibizana na nyie akina Shonza, tuntemeke na masalia wengine mnao tapa tapa.
 
Sijasoma pumba zako juu lakini nakujibu kwa usahihi.
Huwezi kuwa kama Dr.Slaa.
Dr.Slaa anakubalika zaidi ya Muua Panya.
Kelele zako zakuchafua wewe mwenyewe.
Pole sana kwa jazba!
 
Me naona bora muende kula kiapo kingine maana siri zimevuja na mkasajili kabisa chauma!

Nadhani umeamini niliyo kwambia kuwa Dr slaa hawezi kutetemeshwa na swala la card japo wewe hukuwa na uelewa huo kutokana na kutegemea waganga!
 
Kwani chadema kinaongozwa sasa na mchumba wa dr.slaa????..kazi kweli kweli.... Dr.slaa ndio kinara wa kuua chadema na sio zito..... Unatoa povu majukwaani kukemea ufisadi huku wewe mwenyewe ndo kinara wa ufisidi????... Hiyo ya karatu ccm tayari wameiweka stoo thubutu yenu 2015 mumuweke dr.slaa 2015 mtamjua wasira
 
Mwambieni Slaa ajibu tuhuma hizo..

Dr W. P slaa hawezi jibu pumba kama hizi za taasisi ilele kwa mambo yaleyale kila siku kama vile huyu tuntemeke ni mtani wa dr.

Kinana na meno ya Tembo mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Mkapa na kiwira coal mine mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Chenge na Rada mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Zile bilion 16 za wilaya ya Kishapu mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Mizengo Pinda na mabasi ya sumri na ugawaji wa maelfu ya ekari kwa wagen bila utaratibu mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Lowasa na Richmond mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Kamuhanda na mauwaji ya Daud mwangosi mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Adamu malima na SMG (bunduki-morogoro) mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Ni wapumbavu wachache wanaoshabikia upuuzi huu. sanasana tujadiliane kwa maana ya kijiweni lakini hizi ni pumba tu.
 
Juliana hivi umeahidiwa cheo gani CHAUMMA!... Mtaoana lini na ALHAJ ZITO?!!... Au bado ni wachumba wapima mafuta?!.. Akiwa rais utakuwa festi ledi na waziri wa nini vile? Mchange atapewa cheo gani CHAUMMA?.. Mwampamba je?...

WANAJUKWAA,Naomba kuanika kwamara nyingine tena ubadhilifu,Ufisadi na uhujumu wa mali unaofanywa na katibumkuu wa CHADEMA taifa Ndugu.Dr.slaa.

Nia yangu sikumchafua huyu katibu mkuu,bali nikuuonesha namna umma unavyoishi na watu wenyengozi ya kondoo ili hali ni mbwa mwitu(simba wenye njaa kali).Dr.slaaanaonekana ni kipenzi cha watu katika ulimwengu huu wa siasa za tanzania.Nyiewa penzi,marafiki na mashabiki wa Dr.slaa huu hapa ni ubadhilifu,ufisadi mkubwa anaoufanya katibu mkuu wa CHADEMA.

TUSITEGEMEE KABISA HIKI KUTOKEA
"KUBEBA MIMBA YAKIFISADI,CHUKI,UBAGUZI THEN TUTEGEMEE KUZAA UKOMBOZI "

Nakana Tuntemeke kutumkika kama ID ya hao waliotajwa,Tuntemeke imezaliwa mwaka 2009 kamainavyonesha,hao wengine na kundi tajwa limezaliwa lini?.Haipo hapa kuchafuawatu bali kufichua maovu na kusifia mema.

Tuntemeke ninawatakieni Heri ya x mass na mwaka mpya. wana Jf wote
Nawasilisha
 
Dr.W.Slaa....Nakuona Dr.slaa ukila jaramba hapo chini,karibu sana mzee wangu ujibu tuhuma hizi.Najua utakuwa na cha kujitetea.Welcome
 
Kipolo;Mosi; Dr.Slaa ana majukumu mengi sana ya ujenzi wa chama na yupo kwenye maandalizi ya kuchukua dola ifikapo 2015. Hivyo hana mda mchafu wa kujibizana na nyie masalia akina shonza na tuntemeke. Pili kamanda saa nane alisha maliza biashara asubuhi na mapema,nashangaa mnatuletea hoja mfu au ndo' mna amka nyie magamba?
 
TUNTEMEKE,

Kama wewe ni mwanaume, Slaa alikuchukulia mke? Sijaona thread ambayo umeanzisha haijamlenga Slaa/wachagga. Inatufanya wengine tushindwe kukuamini. Tunakuona kama upo hapa for a mission. Badilika mkuuuuuu

jibu hoja acha kupambana na jina la mtu.huu ndio ugonjwa mbaya utakaokiumiza chama,badala ya kutatua matatizo mnapigana na watu
 
Last edited by a moderator:
Dr W. P slaa hawezi jibu pumba kama hizi za taasisi ilele kwa mambo yaleyale kila siku kama vile huyu tuntemeke ni mtani wa dr.

Kinana na meno ya Tembo mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Mkapa na kiwira coal mine mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Chenge na Rada mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Zile bilion 16 za wilaya ya Kishapu mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Mizengo Pinda na mabasi ya sumri na ugawaji wa maelfu ya ekari kwa wagen bila utaratibu mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Lowasa na Richmond mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Kamuhanda na mauwaji ya Daud mwangosi mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Adamu malima na SMG (bunduki-morogoro) mbona Tuntemeke haandiki hizi Insha zake

Ni wapumbavu wachache wanaoshabikia upuuzi huu. sanasana tujadiliane kwa maana ya kijiweni lakini hizi ni pumba tu.
Wazo lako nimelipokea,CCM ni aduia yangu hadi kaburini.nakuhakikishia nitawaanika wote
 
Kwani chadema kinaongozwa sasa na mchumba wa dr.slaa????..kazi kweli kweli.... Dr.slaa ndio kinara wa kuua chadema na sio zito..... Unatoa povu majukwaani kukemea ufisadi huku wewe mwenyewe ndo kinara wa ufisidi????... Hiyo ya karatu ccm tayari wameiweka stoo thubutu yenu 2015 mumuweke dr.slaa 2015 mtamjua wasira
nenda kale sumu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom