johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,020
Kwani kilichowaingiza akina Halima Mdee na wenzake bungeni ni ubovu wa Katiba au Uhuni tu wa Wanasiasa?
Fikiria Mdee ni Mbunge lakini Katiba ya sasa haimtambui wala Katiba ya Chadema haimtambui lakini ni Kiongozi wa Kamati pale bungeni akiwaongoza Wabunge wanaotambuliwa na Katiba ya JMT
Ndio Sababu Huko duniani Wanaishi kwa Imani ya Nikea siyo vijitabu kwa Majina ya Katiba
Chadema fikirini kidunia Zaidi msiwe kama akina Gachagua wa hapo nchi jirani 😂
Mlale Unono!