Najua mtachukia koment yangu, lakini ukweli ni kwamba mtoa mada hajaweka mkataba kama taito ya thread yake inavyosema. Alichoweka ni quote ya kitabu ambacho kila mtu anaweza kukisoma pale library.. Tunachotaki ni kopi ya mkataba uliosainiwa na wahusika. Either uskaniwe na kuwekwa hapa au usambazwe by other means ili watu waujue. Na hcho ndicho Slaa aliwahi kuomba. Nadhani hik ktabu kinajulikana sana na wanazuoni wamekisoma sana.
Tunataka mkataba as a document sio page ya kitabu.
Aliyeleta hio ametoa kwenye kitabu cha aboud jumbe mwinyi 'the partnership - thirty turbulent years of the union'
kisheria hio sio document yenyewe kwa kuwa:-
1. Hau jatiwa saini na spika wala katibu wa bunge.
2. Haujatiwa saini na yeyote mwenye mamlaka anayewakilisha jamhuri ya tanganyika na jamhuri ya zanzibar
wanasheria wataongezea
Huu muungano ni kama wa kijana muhuni aliyeamua kuishi (sio kuoa) na changudoa aliyemzoea. Wanachojaribu kufanya wanaoutetea huu muungano ni kulazimisha tuiite ndoa halali. Upuuzi mtupu!!!!
mkuu nashukuru,,,,,lakini sijaona sahii ya jk nyerere na abed karume,,hivo inaishia kuwa chapisho
Hivi ansard za Bunge la Tanganyika na zile za Baraza la Mapinduzi la Zanziba la tarehe 25/4/1964 zinaonyesha kupitisha hoja hiyo?
Huu ndio utoto tusioutaka hapa JF, ni kwa nini uquote uzi mzima wakati reply yako ni mstari mmoja tu. acha ushamba kumbuka kuna watu wanatumia simu unawapa tabu isiyokuwa na sababu yoyote.mkuu nashukuru,,,,,lakini sijaona sahii ya jk nyerere na abed karume,,hivo inaishia kuwa chapisho
Tatizo sio mkataba wenyewe, tatizo ni kwamba mkataba haukufwatwa tangu mwanzo wake. ulichokiweka hapa ni mkataba ambao ulijadiliwa na bunge la Tanganyika. mkataba ulitaka pia bunge la Zanziba liujadili na kuupitisha ndipo usainiwe kuwa sheria rasmi ya kuanzisha Jamhuri ya Tanganyika na Zanzibar. kwa upande wa Zanzibar hawakupata fursa hiyo kwani hata bunge halikuwepo. na pia hakuna ushahidi wowote kwamba bunge la Zanzibar liliwahi kukaa na kupitisha mkataba huo, hivyo hata kama mkataba ni mzuri kiasi gani - unakosa uhalali wa kisheria.
Huu muungano ni kama wa kijana muhuni aliyeamua kuishi (sio kuoa) na changudoa aliyemzoea. Wanachojaribu kufanya wanaoutetea huu muungano ni kulazimisha tuiite ndoa halali. Upuuzi mtupu!!!!
Zanzibar hawakuwa na bunge bali baraza la mapinduzi kwa kuwa bunge lilivunjwa na mapinduzi ya Januari 12,1964.Tatizo sio mkataba wenyewe, tatizo ni kwamba mkataba haukufwatwa tangu mwanzo wake. ulichokiweka hapa ni mkataba ambao ulijadiliwa na bunge la Tanganyika. mkataba ulitaka pia bunge la Zanziba liujadili na kuupitisha ndipo usainiwe kuwa sheria rasmi ya kuanzisha Jamhuri ya Tanganyika na Zanzibar. kwa upande wa Zanzibar hawakupata fursa hiyo kwani hata bunge halikuwepo. na pia hakuna ushahidi wowote kwamba bunge la Zanzibar liliwahi kukaa na kupitisha mkataba huo, hivyo hata kama mkataba ni mzuri kiasi gani - unakosa uhalali wa kisheria.