Huu ndiyo Mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Articles of Union)

bado hizi ni taarifa za kusikia pia.

Taarifa husikiwa, husomwa NK, unataka ipi. Ngojea muujiza hiyo article itakudondokea kutoka kwa kunguru. Wanzako walikwenda mpaka mahakamani wakashindwa kupata iliyosainiwa. Tuanza kuidai, ni haki yetu. sio nyara ya serikali.
 
kwa haraka haraka kwa mimi kilaza kuna nchi moja na zenji si nchi kama watanganyika nao waliua nchi yao
 
Unaohitajika kutolewa ni ule ambapo karume wanaoneshwa wakisaini...yaani una saini ya nyerere kama mwakilishi wa tanganyika na karume kama mwakilishi wa zanzibar sio
huu "mkataba" ulo uleta hapa bwana mkubwa sio mkubwa ni kama taarifa ya bunge la tanganyika kutibitisha kuwepo nia ama dhamira ya kuungana....hii hati imepitishwa na bunge la tanganyika na kushuhudiwa na karani wa bunge msekwa na spika mkwawa !!! Sio mkataba wa muungano mkataba ni contract ama agreement na wahusika wawili lazima waunguke sahihi zao.
Kama huu ndio mkataba basi mahakama yoyote yenye kujua sheria una ufutilia mbali...leteni mkataba ambaao unazo sahihi za karume na nyerere...inasemekana baada ya kusaini nyerere aliondoka na copy zote za mkataba karume hakuachiwa copy yake..



Muungano 2 (1).jpg
 
Taarifa husikiwa, husomwa NK, unataka ipi. Ngojea muujiza hiyo article itakudondokea kutoka kwa kunguru. Wanzako walikwenda mpaka mahakamani wakashindwa kupata iliyosainiwa. Tuanza kuidai, ni haki yetu. sio nyara ya serikali.

Heshima zako mkuu,

Hivi haiwezekani mtu kufungua kesi kwenye mahakama ya kimataifa, I mean kesi kama zile za Mtikila kudai hizi article ambazo ziwekwe wazi.

Kama ikithibitika kwamba kweli haziko, basi maana yake hazikuwahi kuweko na hivyo muungano ni batili.

Sijui unasemaje na mnasemaje?
 
kama ndo mkataba ,palipaswa kuwepo maelezo ya wananchi kukubali na co jamhuri kukubaliana peke yake.
na vile vpengele vicvyokuwa vya muungano pia vilitakiwa kuoneshwa kinaga ubaga
 
unaohitajika kutolewa ni ule ambapo karume wanaoneshwa wakisaini...yaani una saini ya nyerere kama mwakilishi wa tanganyika na karume kama mwakilishi wa zanzibar sio
huu "mkataba" ulo uleta hapa bwana mkubwa sio mkubwa ni kama taarifa ya bunge la tanganyika kutibitisha kuwepo nia ama dhamira ya kuungana....hii hati imepitishwa na bunge la tanganyika na kushuhudiwa na karani wa bunge msekwa na spika mkwawa !!! Sio mkataba wa muungano mkataba ni contract ama agreement na wahusika wawili lazima waunguke sahihi zao.

Kama huu ndio mkataba basi mahakama yoyote yenye kujua sheria una ufutilia mbali...leteni mkataba ambaao unazo sahihi za karume na nyerere...inasemekana baada ya kusaini nyerere aliondoka na copy zote za mkataba karume hakuachiwa copy yake..



View attachment 53589

KWA KUSHUHUDIA HAPA Julius K. Nyerere, Rais wa Jamhuri ya Tanganyika na Abeid Karume, Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, wametia saini nakala mbili za mkataba huu, hapa Zanzibar siku ya tarehe Ishirini na mbili ya mwezi Aprili, 1964.

1: Unazieleaje hizo za kwenye bold.

2: Toka Jumbe na wengine waliopata ku-publish kopi yake, hakuna aliyewahi kukanusha au kumshtaki aliye-publish kwamba ana-mislead public.

3: Hata humu JF, naona sanasana watu wako sceptical tu, lakini sioni anayekana kwamba content za Mkataba tulizoletewa na mwenzetu SubiriJibu ni za uongo.
 
Mkataba uliotengeneza bomu linalosubiri kulipuka.Ngojeni tu mtakiona walichokiandaa waasisi wa taifa hili.R.I.P J.K.NYERERE.
 
Bila saini inabakia kuwa rasimu. Tuleteeni wenye saini husika ili kukata mzizi wa fitina.
 
Inaelekea hati ya muungano kuna mtu alikuwa na hasira akaichana tusije kuiona. But the article give some of us an indication of what exactly the union was all about.
 
Nilikuwa namalizia weekend yangu vizuri hadi nilipojikwaa kwenye hiki kioja! Jamani, iwe huu ndo mkataba, iwe haupo au haujawahi kuwepo, iwe uko sawa kisheria au hauko sawa, iwe waasisi wa huu muungano walikosea au hawakukosea, kwa wakati wao waliona wanachofanya ni sawa, waliridhika na walichofanya... Inakuwaje ktk kizazi hiki tumekosa watu wenye ujasiri wa kusimama na kusema MUUNGANO HUU KAMA NI FAIDA AU HASARA UMETUPATIA ZA KUTOSHA, TUUWEKE KANDO KWA AMANI TUJIPE MUDA TUPUMUE HALAFU TUTAONA NAMNA YA KUSHIRIKIANA ITAKAYOTUFAA ZAIDI. Kama muungano huu si haramu kwa nini mambo mengi yanayouhusu ni utata mtupu? Kwa nini ni siri mwanzo mwisho, na kwa faida ya nani? Kama muungano huu utakaza roho hadi 2015, kuna haja ya kuweka MOU na wagombea kuwa atakayeingia madarakani ataweka peupe mkataba huo kama upo, na atawaachia wananchi wenyewe waamue hatima ya muungano huu.
 
1: Unazieleaje hizo za kwenye bold.

2: Toka Jumbe na wengine waliopata ku-publish kopi yake, hakuna aliyewahi kukanusha au kumshtaki aliye-publish kwamba ana-mislead public.

3: Hata humu JF, naona sanasana watu wako sceptical tu, lakini sioni anayekana kwamba content za Mkataba tulizoletewa na mwenzetu SubiriJibu ni za uongo.
ni za uongo kwa sababu hata jumbe hajatoa mkataba ulio sainiwa kama unavo ona kwenye picha ile...jeee huu uko wapi ??? kwa nini hautolewi? kuna siri gani? lakini ipo hoja iliotolewa na katibu wa baraza la mapinduzi zanzibar kwamba mkataba huo wanasaini karume pichani basi ulipotea katika mazingira ya kutatanisha mara baada ya kifo cha karume..KWANI MKATABA ULIKUA NA KIPENGELE KWAMBA MKATABA HUU NI WA MIAKA KUMI (10) NA BAADA YAPO IPIGWE KURA YA MAONI KUWA ULIZA WANACHI WANATAKA AINA GANI MUUNGANO.....NJAMA ZILIPIKWA KU ZUIA HILI LISIFANYIKE...
KUMBUKA MAREHEMU ABDULRAHMAN BABU ALIPOTAKA KUWA MGOMBEA MWENZA WA MREMA ?
NYERERE WAKATI HUO AKIMPIGIA DEBE MKAPA ALITAMKA YA KWAMBA HUYU BABU MHAINI KWA MAUAJI YA KARUME HAWEZI KUGOMBEA?..UNAFAHAMU BABU ALIMJIBI NINI NYERERE ? ALIMWAMBIA AKOME NA FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE !!!!! SASA TAFUTA TAFSIRI YA MANENO YA BABU MWENYEWE
 
Mkataba feki wa muungano, tunavumilia miaka nenda rudi huku tukiambiwa ni siri, imefuata mikataba ya feki ya uwekezaji nayo tunaambiwa ni siri tunavumilia, kweli sisi wa ajabu.
 
wanasema kujadili Muungano kwenye ishu ya Katiba ni kosa la jinai? Je, kuu-print? imaruhusiwa?
 
Original copy ya kiingereza hii hapa

No. 22 OF 1964
J
An Act to ratify the Article s of Union be twe e n the Re public of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar, to provide for the gove rnme nt of the Unite d Re public and of Zanzibar, to make provision forthe Modification and Amendment of the Constitution and Laws of Tanganyika forthe purpose of giving effectto the Union and the said Articles, and formatters connected therewith and incidental thereto
[]
WHEREAS by Articles of Union entered into between the Government of the Republic of Tanganyika and the Government of the People's Republic of Zanzibar on the twenty-second day of April, 1964, it was
agreed that, subject to the enactment of laws by the Parliament of Tanganyika and by the Revolutionary Council of the People's Republic of Zanzibar acting in conjunction with the Cabinet Ministers thereof ratifying the said Articles and providing for the Government of the United Republic and of Zanzibar in accordance therewith, the said Republics shall be united in one Sovereign Republic:
NOW THEREFORE BE IT ENACTED by the Parliament of Tanganyika:
1. This Act may be cited as the Union of Tanganyika and ZanziSbhaort title Act, 1964, and this Act and the law of Zanzibar entitled the Union of Zanzibar and Tanganyika Law, 1964, may be together cited as the Acts of Union of Tanganyika and Zanzibar.
Interpreta-
tion
immediately before Union Day (including a law enacted or made by any enactment or instrument passed or made before, and coming into operation after, that day), but does not include the
Constitution of Tanganyika insofar as it provides for the govern- ment of. the Republic of Tanganyika or any declaration or law,
I AS S ENT,
us K.
President
25TH APRIL, 1964
2. In this Act, unless the context otherwise requires-
"existing law'' means the written and unwritten law as it exists
2
No. 22 Union of Tanganyika and Zanzibar 1964
or any provision thereof, which expires with effect from the
commencement of the interim Constitution;
''the interim Constitution'' means the constitution declared by section
5 to be the Constitution by which the United Republic is to be governed during the interim period, as from time to time modified or amended;
''the interim period'' means the period commencing on Union Day and expiring immediately before the commencement of a Constitu- tion adopted by a Constituent Assembly in accordance with section 9;
''Union Day'' means the day following the day on which the Acts of Union of Tanganyika and Zanzibar are enacted or, if they are enacted on different days, the day following the day of the later e na ctme nt.
3. The Articles of Union between the Governments of the Republic of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar (which Articles are set out in the Schedule to this Act) are hereby approved and ratified.
4. The Republic of Tanganyika and the People's Republic of Zanzibar shall, upon Union Day and ever after, be united into one Sovereign Republic by the name of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar.
5. (1) Subject to the provisions of this section and to any Act of the Parliament of the United Republic whereby the provisions of the interim Constitution of the United Republic may be altered, the United
Republic shall be governed during the interim period in accordance with the provis ions of the Cons titution of the Re public of Ta nga nyika as so modified as to provide-
(a) for the reservation to the Parliament and Executive of the Unite d Re public of the following ma tte rs :-
(i) the Constitution and government of the United Republic, (ii) External Affairs;
(iii) Defence; (iv) Police;
(v) Emergency Powers; (vi) Citizenship;
(vii) Immigration;
(viii) External trade and borrowing;
(ix) the Public Service of the United Republic;
(x) Income tax, corporation tax, customs and excise duties;
(xi) Harbours, civil aviation, posts and telegraphs;
and for the exclusive authority of the said Parliament and Executive in such matters throughout and for the United Republic and in all other matters in and for Tanganyika;
Ra tifica tion of Articles of Union
Declaration
of the United Republic
interim Constitu- tion of
the United Re public

No. 22 Union of Tanganyika and Zanzibar 1964
(b) for a separate Legislature and Executive for Zanzibar constituted in accordance with the existing law of Zanzibar (or as so varied or replaced from time to time in accordance with such existing law), and for the exclusive authority of the said Legislature and Executive in and for Zanzibar in matters other than those reserved, in accordance with paragraph (a) of this subsection, to the Parliament and Executive of the United Republic;
(c) for the appointment of two Vice-Presidents of the United Republic, one of whom shall be a person normally resident in Zanzibar, and for such Vice-President to be the principal assistant of the President of the United Republic in the discharge of his executive functions in relation to Zanzibar and, under the style of President of Zanzibar, to be the head of the aforesaid Executive for Zanzibar;
(d) for the representation of Zanzibar in the Parliament of the United Republic; and
(e) for such other matters as may be expedient or desirable to, give effect, or enable effect to, be given, to the Union and to the Articles ofUnion.
(2) The modifications to the Constitution of Tanganyika provided
for in subsection (1) of this section shall be made by Decree of the President of the United Republic and the power of the said President in that behalf may be exercised from time to time; and such Decrees, and any amendments, variations or substitutions thereof made in the like manner, shall have effect for the modification of the Constitution of Tanganyika for the purposes of this section and for the alteration, of the interim Constitution of the United Republic, notwithstanding the provisions of section 35 of the said Constitutions.
(3) In this section-
(a) references to the Constitution of Tanganyika include references to sections 3, 19, 20, 21, 23 and 26 of, and Parts I, II and III of the Second Schedule to, the Republic of Tanganyika (Conse- quential, Transitional and Temporary Provisions) Act, 1962;
(b) references to an Act of the Parliament of the United Republic by which the provis ions of the inte rim Cons titution ma y be
altered are references to an Act the Bill for which has been passed in the manner prescribed by section 35 of the said interim Cons titution;
(c) references to the exclusive authority of the Parliament of the United Republic or of the Legislature for Zanzibar shall not be construed as precluding that Parliament or Legislature from conferring on any person or authority the power to make provisions in relation to matters within their respective authorities which ha ve the force of la w or from confe rring the force of law on any such provisions made by any person or authority, and references to the exclusive authority of the Executive of the United
Republic or of Zanzibar shall not be construed as precluding a competent legislature from conferring or providing for the delega- tion of functions in relation to matters within its authority upon or to any other person or authority.
3

4 No. 22 Union of Tanganyika and Zanzibar 1964 The 6.-(1) The first President of the United Republic shall be Mwalimu
administra-
tion of the
gove rnme nt
of the
United with the modifications provided for in paragraph (c) of subsection (1) Re public
JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
(2) The first Vice-President appointed from Zanzibar in accordance
of section 5 shall be Sheikh ABEID KARUME.
(3) On the commencement of the interim Constitution, the said President shall make such provision for the constitution of offices in the service of the United Republic, and for appointments to such offices (including appointments by way of transfer of persons who, immediately before Union Day held office in the service of the Republic of Tanganyika or the People's Republic of Zanzibar) as he shall think necessary or expedient.
No
separate
constitution Republic, the Constitution of Tanganyika shall cease to have effect for
7. On the comme nce me nt of the inte rim Cons titution of the Unite d
for the government of Tanganyika as a separate part of the United Tanganyika Republic.
The laws of the United Re public
8.-(1) Subject to the provisions of this section, on and after Union Day the existing law of Tanganyika and of Zanzibar shall continue
to be the law in the territories of Tanganyika and of Zanzibar respectively, save in so far as it is thereafter amended, modified, repealed or revoked by competent authority or any provision thereof expires, but shall be construed with such modifications, adaptations, qualifications and exceptions as may be necessary to bring it into
conformity with the Union of the two Republics and with the provisions of the interim Constitution and of this Act; and for the avoidance of doubts it is hereby declared that the operation of the existing law on and after Union Day in accordance with the provisions of this sub- section, shall not be affected by the cessation of the Constitution of Tanganyika for the government of Tanganyika as a separate part of the United Republic or by the amendment, modification, abrogation or revocation of any declaration or law of Zanzibar under which the existing law of Zanzibar was enacted or made.
(2) The President of the United Republic may, during the interim period, by Decree-
(a) extend any existing law of Tanganyika which relates to any of the matters set out in paragraph (a) of subsection (1) of section
5 to Zanzibar as part of the law thereof and repeal or revoke any law of Zanzibar corresponding to, or inconsistent with, any law so extended;
(b) make such amendments, adaptations and modifications (includ- ing provisions for the construction of laws) to the existing law of Tanganyika (including any such law extended to Zanzibar under paragraph (a) of this subsection) as may appear to him to be necessary or expedient for bringing the same into conformity with the provisions of the interim Constitution or for giving effect or enabling effect to be given to the Union;
(c) make such transitional, consequential and temporary provision in respect of any of the matters set out in paragraph (a) of sub- section (1) of section 5, or in relation to the existing law of Tanganyika, as may appear to him to be necessary or expedient for giving effect or enabling effect to be given to the Union.

No. 22 Union of Tanganyika and Zanzibar 1964 5
(3) Where the President makes a Decree under this section in relation to an Act of the Common Services Organization, that Decree shall have effect so to amend that Act in and m relation to any person or matter connected with the United Republic, or to any part thereof to which the decree relates, notwithstanding any provisions of the Interpretation
and General Clauses Ordinance.
Cap. 1
9.-(1) A Constituent Assembly summoned m accordance with the Constituent Articles of Union shall have power to ratify and adopt a Constitution Assembly for the government of the United Republic, to make provision con- sequential on, and supplemental to, the new Constitution and to make
such other provision as the Constituent Assembly think fit, and such powers may be exercised notwithstanding any power in that behalf vested in the Parliament of the United Republic or in the Legislature for Zanzibar.
(2) The provisions of the Constituent Assembly shall be made in such form and manner as may be prescribed by decree of the President of the United Republic, acting with the agreement of the Vice- President who is the head of the Executive for Zanzibar, and when so ma de s ha ll ha ve the force of la w throughout the Unite d Re public, or such parts thereof as may be specified therein, and may be cited as Acts of the Constituent Assembly.
(3) Subject to any Act of the Constituent Assembly, nothing in this section shall be construed as affecting the exercise by the Parliament of the United Republic, or the National Assembly of the Parliament their respective functions under any law in force during the continuance of the interim Constitution.
(4) On the commencement of a Constitution adopted by the Constituent Assembly, the power to summon a Constituent Assembly and the powers of the Constituent Assembly to make any provision which it is empowered to make under the Articles of Union or this Act shall expire.
10.-(l) Decrees of the President of the United Republic made in Decrees
accordance with the provisions of this Act-
of the President
(a) shall be published in the Gazette of the United Republic and shall be laid before the National Assembly of the Parliament of the United Republic;
(b) shall have effect as if enacted in this Act;
(c) may provide for the making of rules, orders and schemes thereunder and for the delegation of powers.
(2) The provisions of paragraph (a) shall not affect the operation
of any Decrees of the President of the United Republic prior to the date on which they are laid before the said National Assembly, but subject to the foregoing, the provisions of section 27 of the Interpreta- tion and General Clauses ordinance shall apply in relation to such Decrees.

6 No. 22 Union of Tanganyika and Zanzibar 1964 THE SCHEDULE
THE ARTICLES OF UNION
between
THE REPUBLIC OF TANGANYIKA AND THE PEOPLES' REPUBLIC OF
ZANZIBAR
WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic
of Zanzibar being mindful of the long association of the peoples of these lands and of their ties of kinship and amity, and being desirous of furthering that association and strengthening of these ties and of furthering the unity of African peoples have met and considered the union of the Republic of Tanganyika with the Peoples Republic of Zanzibar:
AND WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar are desirous that the two Republics shall be united in one Sovereign Republic in accordance with the Articles hereinafter contained:-
It is therefore AGREED between the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar as follows: -
(i) The Republic of Tanganyika and the Peoples' Republic of Zanzibar shall be united in one Sovereign Republic.
(ii) During the period from the commencement of the union until the Constituent Assembly provided for in Article (vii) shall have met and adopted a Constitu- tion for the united Republic (hereinafter referred to as the interim period) the united Republicshallbe governed in accordance with the provisions ofArticles (iii) to (vi).
(iii) During the inte rim pe riod the Cons titution of the unite d Re public s ha ll be the Constitution of Tanganyika so modified as to provide for-
(a) a separate legislature and executive in and for Zanzibar from time to time
constituted in accordance with the existing law of Zanzibar and having exclusive authority within Zanzibar for matters other than those reserved to the Parliament and Executive of the united Republic;
(b) the offices of two Vice-Presidents one of whom (being. a person normally resident in Zanzibar) shall be the head of the aforesaid executive in and for Zanzibar and shall be the principal assistant of the President of the Unite d Re public in the dis cha rge of his e xe cutive functions in re la tion to Zanzibar;
(c) the representation of Zanzibar in the Parliament of the United Republic;
(d) such other matters as may be expedient or desirable to give effect to the united Republic and to these Articles.
(iv) There shall reserved to the Parliament and Executive of the united Republic the following matters-
(a) The Constitution and Government of the united Republic. (b) External Affairs.
(c) Defence.
(d) Police.
(e) Emergency Powers.
(f) Citizenship.
(g) Immigration.
(h) External Trade and Borrowing.
(i) The Public Service of the united Republic.
(j) Income Tax, Corporation Tax, Customs and Excise. (k) Harbours, Civil Aviation, Posts and Telegraphs.
And the said Parliament and Executive shall have exclusive authority in such ma tte rs throughout a nd for the purpos e s of the unite d Re public a nd in a ddition exclusive authority in respect of all other matters in and for Tanganyika.
(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in their respective territories subject-
(a) to any provision made hereafter by a competent legislature;
(b) to such provision as may be made by order of the President of the united Republic for the extension to Zanzibar of any law relating to any
of the matters set out in Article (iv), and the revocation of any corre s ponding la w of Za nziba r;
(c) to such amendments as may be expedient or desirable to give effect to the union and to these Articles.

No. 22 Union of Tanganyika and Zanzibar 1964 7
(v) (a) The first President of the united Republic shall be Mwalimu Julius K. Nyerere and he shall carry on the Government of the united Republic in accordance with the provisions of these Articles and with the assistance of the Vice-Presidents aforesaid and of such other ministers and officers as he may appoint from Tanganyika and Zanzibar and their respective public services.
(b) The first Vice-President from Zanzibar to be appointed in accordance with the modifica tions provide d for in Article (iii) s ha ll be S he ikh Abe id Karume.
(vii) The President of the united Republic: in agreement with the Vice-President who is head of the Executive in Zanzibar shall-
(a) Appoint a Commission to make proposals for a Constitution for the united Republic.
(b) Summon a Constituent Assembly composed of Representatives from Tanganyika and from Zanzibar in such numbers as they may determine to meet within one year of the commencement of the union for the purpose of considering the proposals of the Commission aforesaid and to adopt
a Constitution for the united Republic.
(viii) These Articles shall be subject to the enactment of laws by the Parliament of Tanganyika and by the RevolutionaCryouncil of the Peoples' Republic of Zanzibar in conjunction with the Cabinet of Ministers thereof, ratifying the same and providing for the Government of the united Republic and of Zanzibar in accordance therewith.
IN WITNESS WHERE Julius K. Nyerere, the President of the Republic of Tanganyika, and Abeid Karume the President of the Peoples' Republic of Zanzibar have signed these Articles, in duplicate, at Zanzibar, on this twenty-second day of April, 1964.
Passed in the National Assembly on the twenty-fifth day of April, 1964.
Msekwa
Clerk of the National Assembly
I hereby certify that the Bill for this Act was passed by the National
Assembly in accordance with the provisions f on 35 of the Cons titution.
25th April, 1964
S peaker
 
ni za uongo kwa sababu hata jumbe hajatoa mkataba ulio sainiwa kama unavo ona kwenye picha ile...jeee huu uko wapi ??? kwa nini hautolewi? kuna siri gani? lakini ipo hoja iliotolewa na katibu wa baraza la mapinduzi zanzibar kwamba mkataba huo wanasaini karume pichani basi ulipotea katika mazingira ya kutatanisha mara baada ya kifo cha karume..KWANI MKATABA ULIKUA NA KIPENGELE KWAMBA MKATABA HUU NI WA MIAKA KUMI (10) NA BAADA YAPO IPIGWE KURA YA MAONI KUWA ULIZA WANACHI WANATAKA AINA GANI MUUNGANO.....NJAMA ZILIPIKWA KU ZUIA HILI LISIFANYIKE...
KUMBUKA MAREHEMU ABDULRAHMAN BABU ALIPOTAKA KUWA MGOMBEA MWENZA WA MREMA ?
NYERERE WAKATI HUO AKIMPIGIA DEBE MKAPA ALITAMKA YA KWAMBA HUYU BABU MHAINI KWA MAUAJI YA KARUME HAWEZI KUGOMBEA?..UNAFAHAMU BABU ALIMJIBI NINI NYERERE ? ALIMWAMBIA AKOME NA FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE !!!!! SASA TAFUTA TAFSIRI YA MANENO YA BABU MWENYEWE

Sijui unawezaje kudhani logically unaweza kudanganya watu wazima kama sisi. Unaposema kulikuwa na kfingu cha kura ya maoni baada ya miaka 10, basi kifungu eleza hicho kilinyofolewa lini.

Maana Bunge la Tanganyika lilipoujadili ndiyo ukaenda public kwa mara ya kwanza na hivyo kingeonekana au kisingeonekana basi ingeleta kashehe.

Unadhani Jumbe angepoteza nini kueleza ukweli kwamba ile aliyotoa si kopi halisi kwani mwaka 1994 wakati anaandika hiki tayari ilikuwa miaka 10 yuko nje ya madaraka.
 
Mimi nakataa huu sio mkataba wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kama ni mkataba ilikuwaje ukasainiwa na karani wa bunge msekwa badala ya viongozi wa serikali zote mbili. Halafu Nyerere ame-ascent maana yake amekubaliana na mswaada huo uliopitishwa bungeni uwe sheria. Nakataa katakata huu sio mkataba bali ni mswaada uliowasilishwa bungeni kwa ajili ya kukubaliana kuungana baina ya Tanganyika na Zanzibar. Hapa inaonekana Nyerere alihofia kuonekana anaburuza wananchi akaamua serikali iwasilishe mkataba bungeni wa kuridhia kuungana na Zanzibar na pia kujadili mambo ambayo yangeingizwa kwenye mkataba. Baada ya mswaada huu kukubaliwa bungeni ndipo Nyerere naye akasaini kuonyesha kuridhia kama Rais wa nchi. Hiki ndicho kikawa kama kibali cha Nyerere kwenda kifua mbele kuweka saini pamoja na Karume wakiziwasilisha nchi zao kuunganisha nchi zao kwa niaba ya wananchi wake. Kwa hiyo bado tunahitaji mkataba wenye kuonyesha saini za Nyerere na Karume. Short of that ni maoni tu ya mwandishi wa kitabu hicho ulichokinukulu na kudai ni mkataba wa muungano.
 
Back
Top Bottom