Huna maana hata iweje. . .

blea,unaweza ukaamini utakavyo lakini ukweli ni tofauti sana.Bahati nzuri ninaongea kitu ambacho nina uhakika nacho!
 
Kongosho,bahati nzuri babu yangu alikua na mke mmoja,baba yangu hakuwahi kuwa na wake wawili at the same time.Najua ninazungumza nini.Apart from that,najua Mungu ameniumba nikiwa mkamilifu,hata kama ningekua nimekulia kwenye malezi mabaya kiasi gani,upendo nilionao ni kwaajili ya mmoja peke yake.Unafikiri kama mwanadamu angekua hawezi Mungu angeahidi kibano kwa wazinzi?Wazinzi wanatafuta sababu ya kuhalalis uzinzi wao,lakini nakuambia litabaki kuwa tendo la hovyo na ni kujidhalilisha kwa mwanadamu.Huwezi kuwa kama ng'ombe bana.Hizo kauli za heri shetani nimjuae kuliko malaika nisiemjua ni kauli za kujifariji,shetani ni shetani hata awe vipi!
 
Ukitaka kuujua utamu wa ngoma, uingie ucheze....

Utoto ni wa mtoto, akikua atajua afu ataacha.

Baada ya kusema hayo nawasalimuni nyote kwa mpigo.
 
you are the most luckiest gel Kaunga i wish so do i. and Eiyer please practice what you preach. that it so sweet ma dears.

Don't worry,hapa hakuna zile za usifuate matendo yangu fuata maneno.Hapa maneno na vitendo vinaendana!
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kuujua utamu wa ngoma, uingie ucheze....

Utoto ni wa mtoto, akikua atajua afu ataacha.

Baada ya kusema hayo nawasalimuni nyote kwa mpigo.

huna lolote najua hili kwa kipengele cha cheat responsibly hakipo so unaona ukae mbali kuepusha shari.
 
Ukitaka kuujua utamu wa ngoma, uingie ucheze....

Utoto ni wa mtoto, akikua atajua afu ataacha.

Baada ya kusema hayo nawasalimuni nyote kwa mpigo.
 
Tumeshavamiwa na akina Asprin,hapa kakuna cha utoto,kwanza mtoto sijui ni yupi!

kwanza sijui nani kamuita, manake ni mbaya sana mtu na kiembe kukaa pamoja kubishana Eiyer nisaidie kumfukuza manake Asprin hatakiwi hapa mm kiembe wake nikohapa.asije ninyima mkwe bure.
 
Last edited by a moderator:
jei efu's new couple, KAUNGA + EIYER = ..................! KUDOS TO YOU 2! YM anawasalimu, hata job hataki kwenda kanigeuza platform! lolest!
 
Bora umemwambia,maana ana matatizo na akina dada huyo!

duh! halafu sasa mwanangu kachumbia kwake eti ni kiembe wangu lol! si aibu hii sijui kama mwanae atasalimika kwenye somo la mafiga 3.
 
jei efu's new couple, KAUNGA + EIYER = ..................! KUDOS TO YOU 2! YM anawasalimu, hata job hataki kwenda kanigeuza platform! lolest!

sasa kiembe wangu nimekwamba utoke humu ndani, mbona waninyima raha? yaani sijui kama hao wakwe watapona mwaka huu lolol Gson kuwa mwanangu huyu ndo bamkwe
 
Kampeni yenu itashindwa.

Mwanaume rijali hawezi kuwa na mwanamke mmoja bana!
:majani7:

heheheh! eiyer njo umsikie huyu eti urijali unapimwa kwa kuwa na wwanawake wengi. Lol kuna mwenzenu kateguka ub... kwasababu hiyo ngoja nyie mvunjike kabisa. kisa kutoboa toboa. mashimo mengine yana mwamba ohooo! shauri yako.
 
duh! halafu sasa mwanangu kachumbia kwake eti ni kiembe wangu lol! si aibu hii sijui kama mwanae atasalimika kwenye somo la mafiga 3.

Mh!Hii mbaya sana,ataharibu watoto huyu!
 
heheheh! eiyer njo umsikie huyu eti urijali unapimwa kwa kuwa na wwanawake wengi. Lol kuna mwenzenu kateguka ub... kwasababu hiyo ngoja nyie mvunjike kabisa. kisa kutoboa toboa. mashimo mengine yana mwamba ohooo! shauri yako.

mwambie huyo
 
Back
Top Bottom