Huna maana hata iweje. . .

Eiyer ngoja nikupe stor ya mkaka mmoja ni kweli kabisa alikuwa na mkewe na wakabahatika kupata mtoto. baada ya baba kuanza kupata hela akaona aanze ufuska lol si akachemka ktk pitapita akampitia hgel wa jirani. Sasa mkewe alikuwa ni mtu bize sana na kazi zake so wapambe wa mtaa wakawa hawamfagilii. siku moja yule hgel akamwambia hgel wa mama husika unajua watu wote hapa mtaani wanamshangaa sana mama yako? akauliza kwanini eti kabamia ka mumewe kadogo kama kipisi cha sigara, binti akamuuliza ulikaonea wapi?akajibu. mimi nimelala naye na hata mama fulani pia yaani, kabamia ni kadogo hata kakiingia huskii na ukikohoa tu kanatoka lol...................... binti husika alishindwa kuvumilia akamwambia mama yake. Mama wacha aangushe kilio jamani nilijua ni siri yangu na muhusika kumbe hata majirani wanajua hivi................ mume kuambiwa hana jibu kwa aibu lol. tell me alijidhalilishaje huyu?
 
Last edited by a moderator:
Don't worry ma love Kaunga,u knw what,i was waiting for this!Don't worry King'asti is ma lovely sister,nitakuja nae kukupokea eapoti halafu tutaenda lunch wote!Love u ,big kissssss!!!!!
 
gfsonwin
Ni mara nyingi wengi ambao au tuna kasoro au hatujiamini kuprove (to our selves mostly) kuwa tunapendeka/tunayaweza basi tunaamua kuwa na multiple lovers au sex partners!

Na ndio maana wengi wetu nyumbani ni wachovu n we know it, so mwanzo inakuwa kama trial kuwa labda mwenye shida ni mimi!

Kwa wanaojiamini kama mimi na Eiyer it is always heavens na kufurahishana everyday of the week na every hour of the day na every minute of the hour na every second of the minute; si eti my cucumber eeh?
 
Eiyer ngoja nikupe stor ya mkaka mmoja ni kweli kabisa alikuwa na mkewe na wakabahatika kupata mtoto. baada ya baba kuanza kupata hela akaona aanze ufuska lol si akachemka ktk pitapita akampitia hgel wa jirani. Sasa mkewe alikuwa ni mtu bize sana na kazi zake so wapambe wa mtaa wakawa hawamfagilii. siku moja yule hgel akamwambia hgel wa mama husika unajua watu wote hapa mtaani wanamshangaa sana mama yako? akauliza kwanini eti kabamia ka mumewe kadogo kama kipisi cha sigara, binti akamuuliza ulikaonea wapi?akajibu. mimi nimelala naye na hata mama fulani pia yaani, kabamia ni kadogo hata kakiingia huskii na ukikohoa tu kanatoka lol...................... binti husika alishindwa kuvumilia akamwambia mama yake. Mama wacha aangushe kilio jamani nilijua ni siri yangu na muhusika kumbe hata majirani wanajua hivi................ mume kuambiwa hana jibu kwa aibu lol. tell me alijidhalilishaje huyu?

Safi sana!Ila pole kwa huyo mke,aliamua kumpenda mumewe kama alivyo,jamaa akawa mjinga!
 
Last edited by a moderator:
Don't worry ma love Kaunga,u knw what,i was waiting for this!Don't worry King'asti is ma lovely sister,nitakuja nae kukupokea eapoti halafu tutaenda lunch wote!Love u ,big kissssss!!!!!

Mwaaaaah!
Later love.
 
The bill is on me broda, kwa hiyo nnakokupeleka ni surprise. Tena nikikupeleka kula ubwabwa wa ndoo kule gerezani hata usinyanyue mdomo, unasifia na kushukuru kama mama alivyotufunza.

Siri yako lakini, kule kwenye zile hotel ndo wanakula na ni waroho ile mbaya! Tunaanza na vimikate na supu kustua tumbo.

Afu ukome kunitambishia ki-azam cola chako hukooo! Mie dadako nisije nikamchukia wifi buree!
Dada yangu King'asti,umenichekesha mpaka baasi,kwamba kibamia chako nimekuachia ha,ha,ha,haaa!. . . Wengine koni zetu hazigawiwi hovyo,utam unazidi zile za Azam mara 5,naogopa kujaza watu bure!Watoto wa kike wataja jinyonga nipate kesi.Hii atakuja ataifurahia mai waifu atakaepatikana. . . . Dada tatizo lako umezoea kula kwenye hizo hoteli zenu mnaita za kileo,mi nimezoea kula kwa mama nijazie na wewe huendagi huko,sie kule tunakula na mikono usiposhiba unaongezewa ugali mkubwaaa!Twende huko leo!
 
gfsonwin,umemsikia my love Kaunga alivyosema?Ukijiamini kila siku inakua mpya na mkeo/mumeo/mpenzi anakua mpya na mtam kila siku.Huna haja ya kurukaruka hovyo huko na huko mwishowe unakumbana na aibu kubwa!. . . . . . . Sweetie hujakosea kabisa,sisi tunajiamini bana!Raha nonstop!
 
Toobah! Yaani mie nakupeleka kwenye ma-lunch ya bei mbaya ushaalika na gf wako tena! Tutashare bill ujue kabisaa.

Kaunga, bahati uliyonayo ya kumpata my bro hapa sio haba. Karibu kwenye familia, mkaja wa wifi kwenye mahari usisahau walau kakitenge ka uholanzi eeh na CL ya matching color.
Don't worry ma love Kaunga,u knw what,i was waiting for this!Don't worry King'asti is ma lovely sister,nitakuja nae kukupokea eapoti halafu tutaenda lunch wote!Love u ,big kissssss!!!!!
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin,umemsikia my love Kaunga alivyosema?Ukijiamini kila siku inakua mpya na mkeo/mumeo/mpenzi anakua mpya na mtam kila siku.Huna haja ya kurukaruka hovyo huko na huko mwishowe unakumbana na aibu kubwa!. . . . . . . Sweetie hujakosea kabisa,sisi tunajiamini bana!Raha nonstop!

na hayo ndo maisha mimi binafsi namkubali sana Kaunga sana she can make a good wife, and you too eiyer you are a good husband. Maisha ya kuruka ruka hadi unaaibika ni mabaya sana tena both sides. Nimewah kuskia tena mtu anadai kabisa mwanamke fulan nimetembea nae ila ana njia kubwa break ni korodani lol niliskia vibaya sana halaf mama mwenyewe ni mwingi wa haya mambo lol. sipend hata kuskia hizi tabia.
 
Last edited by a moderator:
Eiyer ngoja nikupe stor ya mkaka mmoja ni kweli kabisa alikuwa na mkewe na wakabahatika kupata mtoto. baada ya baba kuanza kupata hela akaona aanze ufuska lol si akachemka ktk pitapita akampitia hgel wa jirani. Sasa mkewe alikuwa ni mtu bize sana na kazi zake so wapambe wa mtaa wakawa hawamfagilii. siku moja yule hgel akamwambia hgel wa mama husika unajua watu wote hapa mtaani wanamshangaa sana mama yako? akauliza kwanini eti kabamia ka mumewe kadogo kama kipisi cha sigara, binti akamuuliza ulikaonea wapi?akajibu. mimi nimelala naye na hata mama fulani pia yaani, kabamia ni kadogo hata kakiingia huskii na ukikohoa tu kanatoka lol...................... binti husika alishindwa kuvumilia akamwambia mama yake. Mama wacha aangushe kilio jamani nilijua ni siri yangu na muhusika kumbe hata majirani wanajua hivi................ mume kuambiwa hana jibu kwa aibu lol. tell me alijidhalilishaje huyu?

hzhahahahahaaaa huyo baba kapata alichokuwa anakitafuta, kujidhalilisha bila sababu
 
Last edited by a moderator:
Huu umekua ni msimamo wangu kama MWANAUME.Yeyote anetoa haki ya mke wake kwa mwanamke mwingine hafai kuitwa mume.Haiwezekani Mungu akuumbe na kukupa sifa nyingi na mamlaka yote ya kuisimamia jamii halafu ufanye jambo la kijinga namna hii.MWANAUME anaridhika na mkewe na anamheshimu mkewe.Hata mke huyo anajisikia fahari kumtambulisha kwa rafikize.Siyo kila mwanamke anaujua utupu wako una urefu gani,yaani anakuona kama hujavaa vile.Yanini raha ya mkeo uigawe hovyo hovyo?Enyi wanawake mkimgundua mwanaume wa aina hii,mkimbie hakufai!Tafadhali wanaume tujiheshimu!

maneno yako yanaenda na vitendo?
 
hzhahahahahaaaa huyo baba kapata alichokuwa anakitafuta, kujidhalilisha bila sababu

ndio maana BADILI TABIA, tabia zote za uzinzi huwa sizipend hata kidogo unaweza sema naingia kwa rum na mtu decent akitoka mara oooh! hana lolote yule , mara hoo ana kipisi ya nini kujitesa na kufa na jaka moyo? tulia na uliyenaye uone kama hutofurahia maisha.

yaani aliumbuka mtaa mzima wanajua ana kipisi wakaitungia jina la ndizi kisukari si unajua maisha ya uswahilini wanawake wengi hawaend job basi kutwa story ni hiyo. ana ndizi kisukari huyo lol
 
Last edited by a moderator:
Aaah,dada,King'asti,unamwonea wivu wifi yako tena?Usihofu ule utam wa azam unawapagawishaga sana. . . . Usijali wifi yako Kaunga atauona ule utam unaozidi Azam,atagundua sijui alichelewa wapi!
 
na hayo ndo maisha mimi binafsi namkubali sana Kaunga sana she can make a good wife, and you too eiyer you are a good husband. Maisha ya kuruka ruka hadi unaaibika ni mabaya sana tena both sides. Nimewah kuskia tena mtu anadai kabisa mwanamke fulan nimetembea nae ila ana njia kubwa break ni korodani lol niliskia vibaya sana halaf mama mwenyewe ni mwingi wa haya mambo lol. sipend hata kuskia hizi tabia.

Kwi,kwi,kwiiiii!!Au unasikia wanalalamika eti bwawa la mtera!!
 
Last edited by a moderator:
ili uheshimike kwenye ndoa heshimu familia yako heshimu mke/mme wako mtaishi kwa amani sana lakini hii chovya chovya madhara yake ni makubwa sana kama vile magonjwa, kuonekana uko mtupu, etc.
 
Back
Top Bottom