Huna maana hata iweje. . .

heheheh! eiyer njo umsikie huyu eti urijali unapimwa kwa kuwa na wwanawake wengi. Lol kuna mwenzenu kateguka ub... kwasababu hiyo ngoja nyie mvunjike kabisa. kisa kutoboa toboa. mashimo mengine yana mwamba ohooo! shauri yako.

Achana na Asprin,hana mpya huyo,mpuuze.MWANAUME KAMILI Hawezi kufanya upuuzi huu!
 
heheheh! eiyer njo umsikie huyu eti urijali unapimwa kwa kuwa na wwanawake wengi. Lol kuna mwenzenu kateguka ub... kwasababu hiyo ngoja nyie mvunjike kabisa. kisa kutoboa toboa. mashimo mengine yana mwamba ohooo! shauri yako.
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa endapo mwanamme hatatoka nje ya ndoa, basi mkewe ni lazima atoke. Sasa basi, ili mamsapu wangu asitoke, acha tu mi nijisevie nje huko mtoto wa watu asije kutenda dhambi bure.
 
hizi tafiti zilifanyika rombo na watafiti walikuwa wamelewa wako baa so data collection na analysisi ilifanywa katika mazingira hatarish kidogo.
 
MMh, unadhani hiyo ya babu na baba kuoa mke mmoja inatosha kukutenga na jamii ilioyokuzunguka?

Ukiingilia kwenye mambo ya imani, muulize Mfalme Daudi hadi aliua Jemedari wake ili aoe mkewe na bado aliongoza taifa la Mungu.

Njoo mfalme Suleiman, alioa wanawake lukuki na masuria juu, bado alipewa heshima ya kujenga hekalu.

Tena ukiingiza mambo ya imani, inakuwa more 'complex' maana kuna watoto watoto waliozaliwa nje ya ndoa na wakatazwa kuwa manabii (kama kumbukumbu yangu ni sahihi Jeremiah-zao la zinaa, na biblia inasema wazi Jer 1:5 Kabla sijakuumba nalikujua . . .) Hapo hapo, ukiangalia yule aliyezaa Daudi kwa mke wa mtu alikufa

Kama ni dhambi, hata wizi, uongo n.k, kwa nini mkazo ni kwenye zinaa tu? Selfishness na kulinda Interests, Period!

Kongosho,bahati nzuri babu yangu alikua na mke mmoja,baba yangu hakuwahi kuwa na wake wawili at the same time.Najua ninazungumza nini.Apart from that,najua Mungu ameniumba nikiwa mkamilifu,hata kama ningekua nimekulia kwenye malezi mabaya kiasi gani,upendo nilionao ni kwaajili ya mmoja peke yake.Unafikiri kama mwanadamu angekua hawezi Mungu angeahidi kibano kwa wazinzi?Wazinzi wanatafuta sababu ya kuhalalis uzinzi wao,lakini nakuambia litabaki kuwa tendo la hovyo na ni kujidhalilisha kwa mwanadamu.Huwezi kuwa kama ng'ombe bana.Hizo kauli za heri shetani nimjuae kuliko malaika nisiemjua ni kauli za kujifariji,shetani ni shetani hata awe vipi!
 
Eiyer umeoa?
Here we go....! Great Thinker!!

Ngoja tusubiri majibu yake.

We Chauro, ulikuwa wapi siku zote? Watu wanazungumzia mahusiano ya kusadikika hapa... yaani kitamthilia flani hivi. Ndo maana nikawaambia wakue kwanza wayaone.
 
Last edited by a moderator:
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa endapo mwanamme hatatoka nje ya ndoa, basi mkewe ni lazima atoke. Sasa basi, ili mamsapu wangu asitoke, acha tu mi nijisevie nje huko mtoto wa watu asije kutenda dhambi bure.

hahahaha wewe kutoka nje unapata thawabu?
 
Babu (Asprin) siku hizi hata nguvu za kuongea zimeisha ndio maana hunioni mjukuu wako,macho na masikio yanaona na kusikia mengi mpaka yameanza kuingia uchakavu.

HAKUKOSEA ALIYESEMA KUA UYAONE!!!!

Here we go....! Great Thinker!!

Ngoja tusubiri majibu yake.

Chauro, ulikuwa wapi siku zote? Watu wanazungumzia mahusiano ya kusadikika hapa... yaani kitamthilia flani hivi. Ndo maana nikawaambia wakue kwanza wayaone.
 
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa endapo mwanamme hatatoka nje ya ndoa, basi mkewe ni lazima atoke. Sasa basi, ili mamsapu wangu asitoke, acha tu mi nijisevie nje huko mtoto wa watu asije kutenda dhambi bure.

Kama sayansi inasema hayo to hell,Mungu alieniumba anasema NAWEZA na NINAWEZA!
 
MMh, unadhani hiyo ya babu na baba kuoa mke mmoja inatosha kukutenga na jamii ilioyokuzunguka?

Ukiingilia kwenye mambo ya imani, muulize Mfalme Daudi hadi aliua Jemedari wake ili aoe mkewe na bado aliongoza taifa la Mungu.

Njoo mfalme Suleiman, alioa wanawake lukuki na masuria juu, bado alipewa heshima ya kujenga hekalu.

Tena ukiingiza mambo ya imani, inakuwa more 'complex' maana kuna watoto watoto waliozaliwa nje ya ndoa na wakatazwa kuwa manabii (kama kumbukumbu yangu ni sahihi Jeremiah-zao la zinaa, na biblia inasema wazi Jer 1:5 Kabla sijakuumba nalikujua . . .) Hapo hapo, ukiangalia yule aliyezaa Daudi kwa mke wa mtu alikufa

Kama ni dhambi, hata wizi, uongo n.k, kwa nini mkazo ni kwenye zinaa tu? Selfishness na kulinda Interests, Period!
Mimi bana mimi.....

Mimi kazi yangu leo ni kuyagongomelea maLIKE mayuziful posts kama hili....

Mtoto unamwaga neno utafikiri pacha wa Bikira Maria .... khaa!
 
Hivi, ina maana wanamme wote waliowahi 'cheat' ni wabaya sana ukilinganisha na ambao hawajawahi cheat?

Na je, ubaya wa mwanamme au mwenza ni kucheat tu?

Je kama mwanamme hajawahi cheat, lakini ni fisadi, jambazi huyo analinganishwaje na ambaye amewahi cheat?

Babu Dark City, am confused, hebu naomba msaada hapa kidogo.

Kama sayansi inasema hayo to hell,Mungu alieniumba anasema NAWEZA na NINAWEZA!
 
Last edited by a moderator:
Utafiti wa kisayansi umethibitisha kuwa endapo mwanamme hatatoka nje ya ndoa, basi mkewe ni lazima atoke. Sasa basi, ili mamsapu wangu asitoke, acha tu mi nijisevie nje huko mtoto wa watu asije kutenda dhambi bure.

Asprin naona unaleta chokochoko zako, kunigombanisha na my Eiyer; nitoke nje kutafuta nini? Vibamia, ptuufuuuh! Huo utafiti hauna credibility hata robo.

Tinatoshana wenyewe, wee endelea na mainsecurity yako tu. Sisi twajiamini na kujithamini! Ours are platinum si vya kuonwa na kila mtu!
 
hahahaha wewe kutoka nje unapata thawabu?
Sipati thawabu yoyote. Ila ni bora niikose kuliko milume inikongomelee mai waifu asee....

Babu (Asprin) siku hizi hata nguvu za kuongea zimeisha ndio maana hunioni mjukuu wako,macho na masikio yanaona na kusikia mengi mpaka yameanza kuingia uchakavu.

HAKUKOSEA ALIYESEMA KUA UYAONE!!!!
Kuna Basi moja linaitwa Meridian.... Nyuma limeandikwa: Ni utoto tu, Akikua ataacha.....

Ndo nasoma maoni ya wajukuu zangu wengi kwenye hii thread. Kabla sijaoa nilijiapizaga, sitokaa nije nimtamani mwanamke mwingine (achilia mbali kugongomela).............. Maweeeeeeeeee!!!
 
Hao wanaolambwa huwa ni akina nani? Si wake za watu pia? Kwanini aibu iwe upande mmoja? Kuna wake za watu siku hizi wanatongoza wanaume kama hawana akili nzuri. Au ukimtania tu keshakukubalia. yaani tuseme tu dunia hii hivi sasa ni balaa tupu! Eiyer anasema yeye hatajaribu, lakini atashangaa na roho yake atakapojua kwamba mkewe anagawa hadi kwa wauza mkaa hapo mtaani kwake. Ni jambo la kawaida tu hilo. Ukiona mme ametulia, basi mke kipanga and the vice versa.

mada ya leo inahusu wanaume.......

Hata kama mwanamke kajilengesha, ndo kusema huwezi kumuacha?

Na uswazi si wote walioolewz...mwanaume anaacha tupu take kila mwanamkd aishuhudie....

Mwisho akioita barabarani wanamcheka tizama 'yule imepinda' au 'kibamia' si ndo kumdhalilisha hadi mkewe na watoto....

Baada ya kusema haya niangalie na upande wz wanawake pia ingawa mada ilihusu wanaume......kama wanagawa kwa kila kidume huko majumbani, wanawadhalilisha waume zao.....
 
Back
Top Bottom