Huna maana hata iweje. . .

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Huu umekua ni msimamo wangu kama MWANAUME.Yeyote anetoa haki ya mke wake kwa mwanamke mwingine hafai kuitwa mume.Haiwezekani Mungu akuumbe na kukupa sifa nyingi na mamlaka yote ya kuisimamia jamii halafu ufanye jambo la kijinga namna hii.MWANAUME anaridhika na mkewe na anamheshimu mkewe.Hata mke huyo anajisikia fahari kumtambulisha kwa rafikize.Siyo kila mwanamke anaujua utupu wako una urefu gani,yaani anakuona kama hujavaa vile.Yanini raha ya mkeo uigawe hovyo hovyo?Enyi wanawake mkimgundua mwanaume wa aina hii,mkimbie hakufai!Tafadhali wanaume tujiheshimu!
 
Asante kakangu. Mbona wifi yangu atapata raha, mume mstaarabu na mawifi wa kishua!
Ngoja cheaters waamke manake saa hizi wanakimbia kuvalia soksi kwenye magari manake walirudi home midnite!
 
Asante kakangu. Mbona wifi yangu atapata raha, mume mstaarabu na mawifi wa kishua!
Ngoja cheaters waamke manake saa hizi wanakimbia kuvalia soksi kwenye magari manake walirudi home midnite!

Yaani we acha tu,atapata raha sana.Lazima nimpe heshima yake bana.Raha yake ni yake yeye tu!
 
Umenena. Hapo kwenye ushauri kwa wanawake ndoao nyingi zitavunjika kwa wanawake kukimbia
 
Umenena. Hapo kwenye ushauri kwa wanawake ndoao nyingi zitavunjika kwa wanawake kukimbia

Si bora zivunjike,ya nini kukaa na mwanaume ambae wanawake karibu wote wa mtaani wanaujua utupu wake?
 
Eiyer na King'asti ni kweli tupu jamani kuwa kuvua vua nguo kwa watu tofauti hakuna maana yyte ile zaid ya kujidhalilisha tu. Ila hili halipo kwa wanaume tu hata wanawake kuchokonolewa na la mtu utafikiri ni dimbwi la maji mtu anapima urefu wa kina siyo busara.

kwangu mimi heshima ni kujitunza toka uko kijana, kisha ukampata mmoja wa milele. Ikitokea basi hukubahatika mmoja upite basi kwa wawili lol lakini mtu hadi 5 au 6 kweli ni maisha au? kwanza hivi hamkunaga aibu?

nakumbuka enzi naolewa mwanamke ulikuwa unapimwa kama bikra usiku mmelala ndani wanajua lazima sebene litalia tu asubuhi unaamsha na shuka zako kwenda kufua wakina mama wakiona hivyo lol vigelegele kweli kwamba mmwanetu alikuwa mwali. yaani ilikuwa hata shela huvai kama tayari ushaonja tunda. turudishe ile mila tuone wangapi watoka na shuka asubuhi,
 
Last edited by a moderator:
Hahaha! Usiongee habari ya description za tupu zenu aisee! Wanawake wenyewe tumepinda kama mishale! Siku ukimuacha anampigia mkeo anamuambia shosti nakushangaa, kibamia chenyewe kilema kile. Unaishije mwenzangu? Nimekuachia balaa lako (natumia lugha ya kistaarabu hapa). Nimeshuhudia twice mtu anapakazwa 'jamaa anahonga huyu kilimo chenyewe jembe halina mpini'

Kakangu, maadamu wifi kakukubali ww, mfichiane vikasoro vyenu. You ar my favourite bro leo. Naomba nikutoe luncheon
Si bora zivunjike,ya nini kukaa na mwanaume ambae wanawake karibu wote wa mtaani wanaujua utupu wake?
 
gfsonwin umenichekesha sana!Kuchokonolewa. . . Lol. !
 
Dada yangu King'asti,umenichekesha mpaka baasi,kwamba kibamia chako nimekuachia ha,ha,ha,haaa!. . . Wengine koni zetu hazigawiwi hovyo,utam unazidi zile za Azam mara 5,naogopa kujaza watu bure!Watoto wa kike wataja jinyonga nipate kesi.Hii atakuja ataifurahia mai waifu atakaepatikana. . . . Dada tatizo lako umezoea kula kwenye hizo hoteli zenu mnaita za kileo,mi nimezoea kula kwa mama nijazie na wewe huendagi huko,sie kule tunakula na mikono usiposhiba unaongezewa ugali mkubwaaa!Twende huko leo!
 
Eiyer ,
yaani leo umenikuna.......
Unayosema ni kweli kabisa....

Kuna baadhi ya wanaume wanalamba kila mwanamke mtaani kuanzia housegirlwa nyumbani kwake mpaka wanaojikalisha vibarazani.... Jamani aibuuuuuuu wanaume muache....

Au maofisini atalamba wa ofisiyake hadi ofisi za jirani jamani aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu muacheee mnadhalilisha wake zenu, mnaaibisha ndoa zenu , kukunyong'onyesha watoto wenu..........

Kula tano Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Asante BADILI TABIA,ujumbe utakua umefika loud and clear!
 
Ila hawa wanaume na wenyewe ndio Bazazi anaasema eti hwawtoshi so watadandia tu hadi tukome. Mimi huwa najiuliza kama mwanaume unatoka kwasababu huridhiki kwanini usimwambie patna kuwa mpaka vilie visita ndo naona niko sawa? uzuri mwanamke wewe ukipata chakwako hata kimoja tu unweza mwachia uwanja hadi azimie.

experience inaonyesha wanalala na wanawake weng huwa hawana hizzzzo nguvu kusudiwa ukimpa ni kamoja tena kamyama kana kota kona fasta kabla hata hujafika unakotaka kwenda. halafu kesho unamkuta kwa mwingine lol......... kumbe wanajichra tu.
 
Last edited by a moderator:
YES!,yani nikutose wewe?Usihofu hakibadiliki kitu hapa,mi sina longolongo bana!

You said yes as in Y.E.S
I can't believe;
I am the luckiest woman in the whole world, ngoja niwahi ticket; leo leo nakuja kutoa mahali hapo Rock city. Pls cancel your lunch date with King'asti, not because sikuamini (najua you r mine alone kama nilivyo mimi from this momento) but because u have to come n pick me at the airport!

Love u more!
Kisses!
 
Duh!gfsonwin,hayo makombora yako mh!Taratibu mama!
 
Back
Top Bottom