Asante CCM

JF-Expert Member
Jun 22, 2023
346
1,301
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania

Mkataba huo utaruhusu kampuni ya uendeshaji wa masuala ya Bandari ya DP World kutoka Dubai, kusimamia bandari kubwa zote za Tanzania.

HRW inaitaka Tanzania iache kuwanyanyasa na kuwakamata wakosoaji wa mkataba huo.

Mtafiti wa Tanzania kutoka Human Rights Watch, Oryem Nyeko amesema "Kitendo cha Serikali ya Tanzania kuwakandamiza wakosoaji wake ni dalili inayotia wasiwasi uvumilivu wake mdogo kwa wanaotoa maoni yanayopingana nayo. Badala ya kuwabana wakosoaji, serikali inapaswa kuheshimu haki ya uhuru wa kujieleza na kukusanyika, na kuwasikiliza."

Juni 10, 2023 Bunge la Tanzania liliidhinisha “makubaliano ya kiserikali” ambayo serikali ya Tanzania iliingia na Falme za Kirabu kutoka Dubai Oktoba 2022 yenye lengo la “kuendeleza, kuboresha, kusimamia na kuendesha bandari za bahari na maziwa katika maeneo kama kanda maalum za kiuchumi, mbuga za usafirishaji na korido za biashara."

Tangu wakati huo mamlaka zimekabiliana vikali na waandamanaji na wanaharakati waliokosoa makubaliano hayo kwa kuipa nchi nyingine udhibiti wa kupita kiasi wa bandari za Tanzania. Wakosoaji hao wanadai kuwa hatua hiyo ya serikali ilikiuka sheria za Tanzania na kimataifa.

Juni 19, polisi waliwakamata na kuwaweka kizuizini watu 18 kwa siku mbili wakati wa maandamano jijini Dar es Salaam.

Mnamo Julai 10, mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai aliamuru Dk. Rugemeleza Nshala , wakili na mwanaharakati, alitakiwa kuripoti polisi , akisema polisi kuhusu matamshi yake aliyoyatoa siku chache na kukosoa mkataba huo. Nshala aliiambia Human Rights Watch alitoroka Tanzania baada ya kupokea vitisho vya kuuawa kwa sababu ya ukosoaji wake mkubwa wa mpango huo.

=============

Tanzania authorities have detained or threatened at least 22 people since June 10, 2023, including protesters, after they criticized the Tanzania National Assembly’s ratification of an agreement for management of Tanzania’s ports, Human Rights Watch said today.

The agreement would allow a logistics company controlled by the Emirate of Dubai in the United Arab Emirates to manage major Tanzanian ports. Tanzania should stop harassing and arresting critics of the agreement.

“The Tanzanian government’s suppression of its critics is a troubling sign of its low tolerance for dissenting views,” said Oryem Nyeko, Tanzania researcher at Human Rights Watch. “Instead of clamping down on critics, the government should respect the right to freedom of expression and assembly, and listen to them.”

On June 10, Tanzania’s national assembly approved an “intergovernmental agreement” the Tanzanian government entered into with the Emirate of Dubai in October 2022 aimed at “developing, improving, managing and operating the sea and lake ports in areas like special economic zones, logistic parks and trade corridors.”

The authorities have since cracked down harshly on protesters and activists who criticized the agreement for giving another country excessive control of Tanzania’s ports. The critics contend that the government’s action violated Tanzanian and international law.

On June 19, police arrested and detained 18 people for two days during a protest in Dar es Salaam.

On July 10, the director of criminal investigation ordered Dr. Rugemeleza Nshala, a lawyer and activist, to report to the police, saying the police were “conducting investigations” into remarks he made days earlier on the social media application Clubhouse criticizing the deal. Nshala told Human Rights Watch he fled Tanzania after he received death threats because of his vocal criticism of the deal.

On July 12, police summoned Boniface Mwabukusi, also a lawyer, after he held a news conference, alongside an opposition politician, Mdude Nyagali, in Dar es Salaam to protest the agreement. On July 14, the police arrested Mwabukusi and Nyagali, when they responded to the police summons.

The police confiscated Mwabukusi’s phone and interrogated him for eight hours, then released him without charge. Nyagali remained in detention until July 17 and was released on police bond, also without charge. The police gave Nyagali a letter ordering him to hand over his phones, laptop, and other electrical equipment, which he refused to do. Mwabukusi told Human Rights Watch he went into hiding for three days when he began to receive death threats after he shared his views on the agreement in June.

On July 14, the attorney general filed an application to the Advocate’s Committee – Tanzania’s disciplinary institution for lawyers – alleging professional misconduct by Mwabukusi because of remarks he made during a July 3 news conference about the deal, seeking a declaration that he had committed “gross professional misconduct” and an order to bar him from practicing law.

Mwabukusi has filed a petition with the high court challenging the ratification of the agreement. He contended that it violates Tanzanian law because the public was only given two days to submit their views on it, and that the agreement itself contravenes international law and Tanzania’s domestic law by handing the management of natural resources to a foreign entity.

On July 17, police arrested Peter Madeleka, also a lawyer, outside a courtroom in Arusha shortly after the high court canceled his plea bargaining deal with the director of public prosecution in a 2020 economic sabotage case, and charged him with new offenses. Both Mwabukusi and Nshala told Human Rights Watch they believed the authorities were holding Madeleka because he had been publicly critical of the port agreement.

Tanzania’s human rights situation, particularly for freedoms of expression and association, deteriorated badly after the late President John Magufuli came to power in 2015. The government used laws like the 2015 Cybercrimes Act and the 2016 Media Services Act to censor opposition politicians, journalists, and activists for criticizing the government and the president. Around the October 2020 general elections, when Magufuli was re-elected, the government ramped up these restrictions and arbitrarily arrested scores of opposition party leaders and supporters.

President Samia Suluhu Hassan, who was appointed after Magufuli’s death in March 2021, has since taken some measures to respond to rights concerns. In February 2022 the government lifted its ban on four newspapers, and in March it dropped charges against and released Tanzania’s main opposition leader, Freeman Mbowe, after he had been detained for seven months. In January, Hassan ended a six-year ban on politicians holding political rallies and meetings outside of election periods.

The government has yet to review repressive provisions of a raft of laws restricting freedom of expression and association that were passed and enforced after Magufuli took power.

The Tanzanian Constitution protects the freedoms of expression and association in line with the African Charter on Human and Peoples’ Rights and the International Covenant on Civil and Political Rights, and guarantees the public a right to challenge violations of fundamental human rights as a matter of public interest.

“The Tanzanian government should end these arbitrary arrests and take further steps to address the challenges to freedom of expression,” Nyeko said. “Hassan’s government has made important progress on rights, and instead of falling back to the previous government’s stance, it should stem this tide of repression.”

HUMAN RIGHTS WATCH
 
Shirika la kutetea haki za binadamu duniani la human wrights watch, limeitaka serikali ya Tanzania kukoma kuwanyanyasa na kuwafungulia mashitaka ya kubumba wale wote wanaopaza sauti ya kupinga uingiwaji batili wa mkataba wa bandari ya Dar es Salaam na waarabu wa Dubai.

DW.
= rights.
 
Shirika la kutetea haki za binadamu Duniani la Human Rights Watch, limeitaka serikali ya Tanzania kukoma kuwanyanyasa na kuwafungulia mashitaka ya kubumba wale wote wanaopaza sauti ya kupinga uingiwaji batili wa Mkataba wa Bandari ya Dar es Salaam na waarabu wa Dubai.

DW.
Sasa mbona hapa inaonekana kama wewe ndio unasema hivo au
 
1691433639417.png

Kazi imeanza!!
 
View attachment 2711352

Huu ni ujinga uliopitiliza haiwezekani mnauza bandari yetu na mnatutisha kutufunga

Hakikisheni mnaongeza ukubwa wa magereza vinginevyo haitatosha tunataka tanganyika yetu
 
Samia ajue kuwa kuna tofauti kubwa mahali alipoichukua Serikali yeye na pale ambapo Hayati Magufuli aliichukua.

Akiruhusu Serikali yake iendelee na siasa za kisanii bila ya kuwa na dhamira njema, hata kidogo Serikali inachofanya, haitaweza kufanya. Hata mikopo mingi anayoichukua na misaada mbalimbali ambayo Serikali yake imekuwa ikiipata, itakoma. Na ikikoma, utawala wake utapata aibu kubwa sana ukizingatia mapato ya nchi kutokana na exports ni duni sana.

Waarabu anaowapigania wapore mali za Tanganyika, hawatamsaidia kwa lolote. Mwarabu anatafuta faida kubwa kwaajili yake, ndiyo maana huwezi kusikia programu yoyote ya msaada kwa nchi za Afrika inafadhiliwa na nchi za kiarabu kupitia mashirika yao, kama yanavyofanya mataifa mengine, kama zile program zinazofadhiliwa na USAID (USA), FINIDA (Finland), DANIDA (Denmark), JIKA (Japan), CIDA (Canada), SIDA (Sweden), GIZ (Germany).
 
Waarabu wamejaa Tabora, Tanga, Singida sijui Pwani kote huko watu ni masikini wa kutupwa
 
Viongozi wanatakiwa wajue, wao sio wamiliki wa mali, rasilimali za nchi na wala sio wamiliki wa wananchi.

Dhamana waliyonayo ni moja tu, kuwaongoza wananchi kweny yale wanayo yahitaji wananchi, sio wanacho kihitaji wao viongozi.
Wao huwa wanajiona wana hati miliki na nchi
 
Huu ni ujinga uliopitiliza haiwezekani mnauza bandari yetu na mnatutisha kutufunga

Hakikisheni mnaongeza ukubwa wa magereza vinginevyo haitatosha tunataka tanganyika yetu
-Mangungo The Chief nimekusikia
 
Back
Top Bottom