Elections 2010 Hukumu ya Igunga leo WANANCHI KUAMUA NANI AWE MBUNGE WAO

Hahahahahaa,mkuu acha kuwapa watu matumaini hewa chadema washinde igunga???nakunywa tindikali labda wazoe wapiga kura toka arusha kiufupi kama sio ccm basi ni cuf,watz wameamka hawawezi kuongeza wasusia vikao bungeni kiufupi,dhambi ya tindikali kwa yule kijana,na kuudhalilisha uislamu italipwa kesho labda nafasi ya tatu mtashika lakini ubunge sahauni kabisa!
 
haya mwita 25 na id mpya ya juzi hata ufanyaje leo nape hasaini allowance yako ...

Join Date : 27th September 2011
Location : tanzaniano
Posts : 18
Rep Power : 0

Hahahahahaa,mkuu acha kuwapa watu matumaini hewa chadema washinde igunga???nakunywa tindikali labda wazoe wapiga kura toka arusha kiufupi kama sio ccm basi ni cuf,watz wameamka hawawezi kuongeza wasusia vikao bungeni kiufupi,dhambi ya tindikali kwa yule kijana,na kuudhalilisha uislamu italipwa kesho labda nafasi ya tatu mtashika lakini ubunge sahauni kabisa!
 
unajitahidi kujifanya unaupinga ukweli wa mambo!!!!!!!!!! wewe ndo unayejifanya kujipa matumaini hewa! wewe pamoja na hao magwanda wako kwishnei!!!
 
Mie niwatakie uchaguzi mwema wana Igunga na kesho naenda kuwaombea church na hapa pia najiandaa kwa hilo,Mungu Ibariki Cdm ishinde kesho Igunga
 
kama kawaida people powerssssssssss usiku mwema nawatakia ulinzi mwema wa kura hapo kesho wana igunga msikubali maisha ni magumu sana mabadiliko lazima kama huku kwetu arusha mwanza hai iringa na kwingine
 
kumekuwa na tuhuma kila tunapokuwa na uchanguzi hapa nchini hasa zinazo husu kuchakachuliwa kwa matokeo. Nilikuwa na waomba wanaJF hebu tujaribu kutoa mawazo yetu ya kujenga, kuwa nini kifanyike ikiwa matokeo yatagundulika kuwa yamechakachuliwa.

Maandamano ya kuing'oa CCM...
 
kha...kwanini mnaandikia wino na mate yapo?tulieni wajameni ni suala la mda tu
 
Kuna habari kwamba uongozi wa CCM unahofia kuwa Chadema kwa kushirikiana na kundi la wana CCM wana mpango wa kuiba kura. Sababu ya hofu hiyo ni pale gari la viongozi wa juu wa CCM lilipopita eneo walipokua wasimamizi wa vituo, wakashangaa wasimamizi wakionyesha alama ya vidole viwili ikiwa ni ishara ya kuwa wao ni Chadema.

Taarifa zilizofuatia zikasema kwamba baada ya hapo na CCM ikaamua kuwapa baadhi ya mawakala fedha na inasemekana baadhi wamepewa laki moja moja na mashuhuda wametuambia hapa Nzega kwamba wameona wasimamizi 20 waliopokea fedha hizo.

Tunakumbuka uchaguzi wa 1995 aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Ali Ameir Mohamed alisema hatakubali matokeo maana CUF waliiba kura kule Zanzibar, matokeo yake CUF walionja joto ya jiwe na hadithi ndio hiyo kabla ya ndoa ya majuzi. More to come.
 
Kuna habari kwamba uongozi wa CCM unahofia kuwa Chadema kwa kushirikiana na kundi la wana CCM wana mpango wa kuiba kura. Sababu ya hofu hiyo ni pale gari la viongozi wa juu wa CCM lilipopita eneo walipokua wasimamizi wa vituo, wakashangaa wasimamizi wakionyesha alama ya vidole viwili ikiwa ni ishara ya kuwa wao ni Chadema.
Taarifa zilizofuatia zikasema kwamba baada ya hapo na CCM ikaamua kuwapa baadhi ya mawakala fedha na inasemekana baadhi wamepewa laki moja moja na mashuhuda wametuambia hapa Nzega kwamba wameona wasimamizi 20 waliopokea fedha hizo. Tunakumbuka uchaguzi wa 1995 aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Ali Ameir Mohamed alisema hatakubali matokeo maana CUF waliiba kura kule Zanzibar, matokeo yake CUF walionja joto ya jiwe na hadithi ndio hiyo kabla ya ndoa ya majuzi. More to come.

Mwizi akiona mtu amevaa koti jeusi anadhani ni mwizi mwenzake....
 
Magamba bwana,kila uovu wanaoutenda wanaugeuza kwa CDM...
 
Naona ndio utakuwa muda rasmi wakung'oa CCM madarakani, pamoja na ukweli kwamba jeshi limewekwa standby Arusha, Mwanza, Mbeya, Shinyanga na Dar es Salaaam.

Ombi letu kwa jeshi na polisi haswa wale wa vyeo vya chini ambao ndio wengi na ambao haki zao wananyimwa ni kuwa kusimama kulinda nchi na mali zake na sio kuua ndugu, jamaa na marafiki kwa ajili ya tabaka la walio waroho wa madaraka. Ombi letu kwa jeshi na polisi ni kuwa waige mfano wa Jeshi na Polisi wa Misri, wasiwe vibaraka wa viongozi ambao ni vipofu na wasio kuwa tena credibility ya kuongoza hii nchi.

Ombi letu kwa Jeshi na Polisi wa tanzania ni kuwa hakika damu ya kila mtanzania watayoimwaga kukidhi matakwa ya viongozi waporaji na wasiojali future ya tanzania itakuwa laana kwao na kwa vizazi vyao.

Tunacho waomba jeshi na polisi kusimama upande wa upande utakoa shinda na kulinda matakwa ya watanzania kwa kuwa wanastaili ya kuchagua nani atakaye waongoza na sio kuchaguliwa na tume ya uchaguzi wa CCM kwa matokeo ya kuchakachuliwa.
 
Back
Top Bottom