bibikuku
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 832
- 495
Wana JF
Nakumbuka kesi ya Uchaguzi jimbo la Njombe ilikuwa ya kwanza kabisa kufunguliwa na CHADEMA huku kukiwa na matumaini makubwa pia kuwa kesi hii itakuwa na ushindi rahisi kutokana na rafu zinazodaiwa kufanywa kwa ukaribu zaidi na PM Pinda aliyekuwa huko siku ya kupiga kura. Lakini kwa sasa hali ni kimya na haijulikani kesi imefikia wapi.
kama kuna mtu ana taarifa za maendeleo ya kesi hii hebu atupe taarifa tujue kinachoendelea huko.