Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,425
Taarifa iliyosambazwa na Chadema Duniani kote , inaeleza kwamba Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya mauaji , George Sanga, Mwanachama wa Chadema na diwani wa zamani wa Njombe , ambaye alisingiziwa kesi hiyo ili kumkomesha, baada ya kukataa kujidhalilisha kwa kununuliwa na ccm , Itaanza kusikilizwa mfululizo mwezi october 2023.
Hebu fikirieni wenyewe , mtu kakamatwa 2020 tena mapema kabla hata ya Uchaguzi Mkuu , anapelekwa Mahakamani october 2023! Huu ni Unyama wa kiwango cha kutisha sana!
Bali Kama ilivyo kanuni ya Mungu Mwenyezi , kwamba kila ubaya utalipwa , basi wahusika wote wajiandae kwa malipo yao hapahapa Duniani